Wadada acheni hii kitu

Wadada acheni hii kitu

mwambie aje geto kuchukua laki.
na akija kavaa pedi yake feki mwambie pedi kila mtu anaweza kuvaa unamuonyesha na wewe umevaa ya mfano.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja kala hela yangu kama mara tatu na ikifika siku ya kutoa mzigo hapokei simu, nimempiga tego sasa hivi anatoka damu mfululizo karudi kijijini huko analiwa pesa na waganga na tatizo lipo pale pale [emoji16][emoji16]
Ila sio fair chief, kama hela alizoliwa zimeshafika alizokulia, muonee huruma muondoshee huo udhia, mtafute mpe na onyo tu, mwambie "Sio kila mtu, hela yake inaliwa kizembe"

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom