Wadada acheni hii kitu

Wadada acheni hii kitu

Kuna dada nilikutana naye mtaani nikaona anafaa kwa chakula. Nikamwomba namba nikawa nachati naye kama mwezi hivi nikaweka ombi langu akakubali. Issue ikawa kutoa mzigo kila mkipanga ratiba anarukaruka tu.

Kuna siku akawa na shida ya laki 1. Nikasema nampelekea bila ya taarifa dukani kwake. Nilipofika sikumkuta ila nilikuta wadada wawili. Nikawaambia naondoka akirudi mtampa taarifa. Ukweli sikuondoka nikatulia nje ila wao hawajui. Nikasikia " MASKINI HUYU KAKA ANALIWA HELA ZAKE NA MZIGO HATAPEWA"

Nilistuka nikiwaza hela niliyotoa ndani ya huo mwezi sio chini ya 80,000/=
Kimya kimya nikaondoka na laki yangu, 20000 nikachoma mbuz iliyobaki nikamtumia mama kijijini.

Tahadhari:
WANAUME WENGINE HELA YAO HAILIWI KIRAHISI. MIMI NIMEPOTEZEA ILA SIO KILA MTU ANAMWACHIA MUNGU. MTABAKWA AU MTAPIGWA MTUNGO AU KUFANYIWA KITU KIBAYA. USILE HELA YA MTU KAMA HUMPENDI.
Duuuuhhh hiyo kali. Ila si ajabu mashine yenyewe ikawa imejaa maji
 
Sasa mkuu hiyo elfu 80 sii ungeenda kwa malaya tuu unajipigia zako kwa raha bila stress. Ukimaliza unaendelea na juhudi za kujikwamua kwenye umaskini
 
Kuna mmoja kala hela yangu kama mara tatu na ikifika siku ya kutoa mzigo hapokei simu, nimempiga tego sasa hivi anatoka damu mfululizo karudi kijijini huko analiwa pesa na waganga na tatizo lipo pale pale

Mwanamke ambaye hujawahi hata kumkiss hatakiwi kula hela zaidi ya vocha,akisema hana salio muunge kifurushi cha wiki uhakikishe mpaka muda wa kifurushi unaisha uwe umeshamla.
 
Hilo Swali LA kitoto lisikutishe mzee
Wewe simama hapo hapo ukilegeza umeliwa anakaza Leo na wewe mpotezee utaona anakuja mwenyewe Mfano ni huyu siku ya kwanza alijibu shombo nikakausha Jana tu mwenyewe amekuja anaitaka hela yangu
Yani kaa ukijua hawa wote Malaya tu wanapishana viwango tu
down View attachment 1573981
Heshima yako Mr transporter

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom