Wadada acheni hii kitu

Wadada acheni hii kitu

Kuna dada nilikutana naye mtaani nikaona anafaa kwa chakula. Nikamwomba namba nikawa nachati naye kama mwezi hivi nikaweka ombi langu akakubali. Issue ikawa kutoa mzigo kila mkipanga ratiba anarukaruka tu.

Kuna siku akawa na shida ya laki 1. Nikasema nampelekea bila ya taarifa dukani kwake. Nilipofika sikumkuta ila nilikuta wadada wawili. Nikawaambia naondoka akirudi mtampa taarifa. Ukweli sikuondoka nikatulia nje ila wao hawajui. Nikasikia " MASKINI HUYU KAKA ANALIWA HELA ZAKE NA MZIGO HATAPEWA"

Nilistuka nikiwaza hela niliyotoa ndani ya huo mwezi sio chini ya 80,000/=
Kimya kimya nikaondoka na laki yangu, 20000 nikachoma mbuz iliyobaki nikamtumia mama kijijini.

Tahadhari:
WANAUME WENGINE HELA YAO HAILIWI KIRAHISI. MIMI NIMEPOTEZEA ILA SIO KILA MTU ANAMWACHIA MUNGU. MTABAKWA AU MTAPIGWA MTUNGO AU KUFANYIWA KITU KIBAYA. USILE HELA YA MTU KAMA HUMPENDI.
We nae ni pumbafu tu
 
Kwanza nikukosoe ww ni mjinga na ukae hapa chin nikueze mwanamke anakupenda ata km bila cent mzigo na pesa hakuombi hata km ushamla anasubir ww ujiongeze na mwanamke kukukubalia kwa mdomo jua haina maana kuwa anakupenda na kwann uchukue muda mrefu kumueleza mtu hisia sisi huwa tunatongoza siku moja tu cku inayofuata tuomba mzigo akigoma tunasepa huyo dada ashakuona ww fala na bado hapo utakuta alishawaambia had ao wadada kuwa hakupendi anakula pesa tu mambo mengine muwe mnajiongeza ni wanawake wachache sn wenye ujasir wa kumwambia mwanaume live aijupend
 
Inategemea aina ya mwanamke

Hivi mama yako angefanyiwa bleeding au dada zako binti yako ungefurahi, wanaume msio na hela mna roho mbaya sana
Hivi baba yako angeliwa pesa na mama yako halafu asipewe papuchi wewe ungezaliwa? Au kama hataki kwa nini ale pesa za watu? Wanawake msio na akili mnajisababishia matatizo wenyewe.
 
Wanachukulia vitu kirahisi sana hawa wabeijing acha waendelee watakipata wanachokitaka
 
Kuna mmoja kala hela yangu kama mara tatu na ikifika siku ya kutoa mzigo hapokei simu, nimempiga tego sasa hivi anatoka damu mfululizo karudi kijijini huko analiwa pesa na waganga na tatizo lipo pale pale
Tego tena?mbona mambo ya giza kwenye mahusiano tena.wewe hujui kukukataa kwake amekuepusha na dhambi ya zinaa
 
Hata kama hanipendi tungefanya tu butter trade (hela=unyevu) issue ingeisha poa kabisa.
Sina hakika na spellings za neno "butter'
Tatizo ni kula hela kwa kutoa ahadi za uongo, kama alikua hataki kutoa nyuchi si angeacha kula hela za watu
 
Kuna mmoja kala hela yangu kama mara tatu na ikifika siku ya kutoa mzigo hapokei simu, nimempiga tego sasa hivi anatoka damu mfululizo karudi kijijini huko analiwa pesa na waganga na tatizo lipo pale pale

Duu. Msamehe mkuu. Msamehe. Hiyo punishment mbona mbaya.
 
Upo sawa mkuu wapo wanaowekeza nauli kigoma-dar na inaliwa. Cha muhimu tuchague nchi sahihi ya kuwekeza. Mimi niliwekeza Somalia.
Hahahaha unaitwa uwekezaji.
Swali la pili unawekeza vipi kabla ya utafiti wa kina km utapata faida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom