Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,489
- 6,883
Siri za wagonjwa na daktari wewe umezijuaje? Au wewe unaalikwa kama msikilizaji kwenye hizo huduma? Elezea tena kidogo tukuelewe vizuri.
Huyo ni mteja wa huyo mshirikina mwenzake, yy aliwahi kuyaona hayo majin?

