Wachungaji baadhi yenu mnakera

Wachungaji baadhi yenu mnakera

Achilia hio kuna kubaki baada ya ibada ile. Siku nyingine anarudi saa 10 jioni na kanisa lilikuwa Lutheran church. Ati wanabaki wanahesabu mavuno sijui aisee.

Yani siku ya mnada lazma achelewe kurudi.
 
Ni wapuuzi mno baadhi ya watu hawa! Mimi niliwahi kuwachana, nikawaambia sitaki kuokoka kwa sasa. Hawakuamini *****
Hahahaha

Kuna mchungaji mmja yuko moro mjanja janja fulani anawapiga sana waumini wake hela za sadaka...na mauwongo mengi
Mm mwenyewe kitambo sana alishanipigaga hela fulani
Nlisikiaga ana kanisa moro,kawa mch dah nkastukaa
Kuna siku akajileta mwenyewe tukqzungumza,nkajifanya ya zamani nmesahau
Kwenye mazungumzo yake yesu,bwana,amina nyingi sana kumbe mm hapo namliaa timing
Maanq hapo najua wajanja wote tumekutana
Nkasema hyu ananilia timing tena nn
Basi kwenye maongezi akasema anataka gari
Kimoyomoyo nkasema ehe anajaaa hyu
Nkqmwambia gari lipo dar we tanguliza hela nkakulipie down-payment chap
Hapo mapicha asharushiwa ashaongea na mpaka mmiliki wa gari boshen
Akatoa 1m ....hiyo ndy ikawa imetokaaaa
Nkamuashaaa na mm
Wacha alalamike 😂😂😂😂😂
Nkamwambia unakmbka lakn kuna wkt ulinipiga hela yangu na ushahidi nnao ukahaidi kulipa hukulipa,basi mm nmejilipa

Dah alinungunika sanaaa
Ngoma ikaishia draw hiyooo

Ova
 
M

Wacha alalamike
Nkamwambia unakmbka lakn kuna wkt ulinipiga hela yangu na ushahidi nnao ukahaidi kulipa hukulipa,basi mm nmejilipa

Dah alinungunika sanaaa
Ngoma ikaishia draw hiyooo

Ova
Ila si ni mwanao?
 
Ukristo sio dini, iweje utoke hapa ukasali sehemu tofauti ukaulizwe?
Dini ya kweli hii uislam unatoka hapa tz unaensa nchi yoyote unaingia msikiti wowote unapiga zako ibada unaondoka, hakuna mtu ataanza kukuhoji wewe dhehebu gani unasali wapi.
Banaeeee, Kuna wale wa suruali fupi, ukija kivingine mnazinguana!
 
sasa ukifa utazikwa kwa taratibu za kanisa gani unapotangatanga hivyo? Tulia kwenye kanisa moja ujulikane ni mshirika wa mahali hapo
 
Tena wakiona umekuja na usafiri wako ndio shida... Maana watakuganda na kwako waje .. ..

Kuna dada namfahamu ...yalimkuta na matokeo amefilisika na ndoa kuvunjika .. utadhani kuna kitu walimpa akawa Kama hajielewi ... Pesa zote anapeleka kanisani!

Mchungaji anashinda nyumbani kwake na mume anaishi mbali kikazi!

Kafikia kuuza mpaka Mali za familia!
Duuhh !!!?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom