hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,622
- 74,008
Mwanamke ni kiumbe rahisi kupigika sound. Ukilegea mchungaj atamtmba kabisa ili amshikilie vyema zaidi.




Mwanamke ni kiumbe rahisi kupigika sound. Ukilegea mchungaj atamtmba kabisa ili amshikilie vyema zaidi.




Nakumbuka maza angu mkubwa alipewa uzee wa kanisa. Watakuwa walikuwa wanamvuna haswa na ukaribu aliokuwa nao na yule mchungaji sina shaka alikuwaga anamgonga kabisa.
Maana mchungaji alikuwa kitu special sana yani. Nshapeleka sana bahasha kwake.




hahaha hivi bado tu mnapoteza muda na pesa zenu!!! ukishakuwa na jamii inayoamin ktk miujiza ni kazi sn kupata maendeleo


Mambo gani hayo?Nawe unatanga tanga kutafuta nini? Mkiyazoa ya kuyazoa huko muanze kusumbua familia.
Wanaboa sana!Wanakuganda kama wanakudai hizi dini wakumbuke tumeletewa!
Ndio uone hapoDuuhh !!!?![]()
HahahahNisaidie kushangaa![]()
Duuuhnow days ban hakuna ??(out of topic)
Kufanyaje tena?Kuna bint nataka kumuoa alinipeleka kanisani kwao duh!
Inaboa sanaJuzijuzi hapa nilialikwa na rafiki yangu kwenye mkesha wao wa kusifu na kuabudu. Basi mi sikua na hiyana nikatimba.
Sasa ile tunaendelea pale, aisee kuna mama nahisi aliona kabisa kua mi ni mgeni pale, basi alikua hatulii kila muda ananiangalia, tulipoanza maombi yale ya kukemea kemea bwana bwana si anakuja mpaka nilipo mimi anione vizuri.
Bahati nzuri mi nilimsoma na sehemu niliyokuepo hakukua na mwanga sana, hiyo ilimpa tabu so poaa. Mwisho wa ibada ikabide asimame tu aseme tuna mgeni humu tunaomba asimame ajitambulishe.
Hata mi pia napenda kusali kanisa lolote kupata ujuzi zaidi ila hiyo changamoto ya kujitambulisha na wenyeji kukushangaa km vile we ni mwana mpotevu alierud kundini so poa.
Banaeeee, Kuna wale wa suruali fupi, ukija kivingine mnazinguana!
DuuuuhNenda kwenye katoliki yako mambo yasiwe mengi
Exactly, hila Mungu ameweka vifuniko kwenye macho yao na mioyo yao,hawalioni hilo wakristoUkristo sio dini, iweje utoke hapa ukasali sehemu tofauti ukaulizwe?
Dini ya kweli hii uislam unatoka hapa tz unaensa nchi yoyote unaingia msikiti wowote unapiga zako ibada unaondoka, hakuna mtu ataanza kukuhoji wewe dhehebu gani unasali wapi.
Ndio mshkaji huyo, we' unafikiri ushkaji unakuwaje? Ndio hivyo. Next time anaweza hata kukutoa kiasi kadhaa ukiwa na shida.Mwanangu wa mashaka
Ova
Ahh hawezi hyuNdio mshkaji huyo, we' unafikiri ushkaji unakuwaje? Ndio hivyo. Next time anaweza hata kukutoa kiasi kadhaa ukiwa na shida.