Hivi mashia wanaamini nini?
Na ni akina nani?
Ni hawa wahindi akina aga khan au?
Yaani katika vitu ninavyopiga vita sana basi ni hii tabia ya kubaniwa kis€nge s€nge, ukizidisha spidi kidogo malalamiko, nauchukia huu upuuzi ki s€ngekwahiyo utaumia sana ikiwa unabaniwa ila mchungaji anamwachia ajichotee!
![]()
Waislamu msione tu mkristo akilalamika kidogo hamkawii kuja na dini zenu, kwani umesikia mtoa mada anataka kuwa mwislamu
Me tooTatizo lakuwa na karibu na kanisa halafu liwe jipya na halina watu wengi, kufatana fatana mmm mimi hata kama naabudu hapo maswala yakunifuata nyumbani bila taarifa sitaki
Ukiwa mgeni lazima uulizwe.Ukristo sio dini, iweje utoke hapa ukasali sehemu tofauti ukaulizwe?
Dini ya kweli hii uislam unatoka hapa tz unaensa nchi yoyote unaingia msikiti wowote unapiga zako ibada unaondoka, hakuna mtu ataanza kukuhoji wewe dhehebu gani unasali wapi.
Dini ya haki au dini ya majini?Mada ina husu dini, na kila siku mnalalamika kuhusu kutapeliwa na dini ni iman ambayo kiuhalisia inaongoza maisha na baada ya maisha. Sasa lazima tuseme kwamba hiyo si dini na wala sisi hatuwalazimisha maana tumekatazwa kulazimisha kwenye dini ila tunakumbusha maana ukumbusho huwafaa waumini.
Karibu katika uislam dini ya haqi
Sasa kaa kwa kutulia tukihitaji uislamu wenu tutakuambia.Mada ina husu dini, na kila siku mnalalamika kuhusu kutapeliwa na dini ni iman ambayo kiuhalisia inaongoza maisha na baada ya maisha. Sasa lazima tuseme kwamba hiyo si dini na wala sisi hatuwalazimisha maana tumekatazwa kulazimisha kwenye dini ila tunakumbusha maana ukumbusho huwafaa waumini.
Karibu katika uislam dini ya haqi
Dini ya haki au dini ya majini?
Alilogwa na mchungaji.Tena wakiona umekuja na usafiri wako ndio shida... Maana watakuganda na kwako waje .. ..
Kuna dada namfahamu ...yalimkuta na matokeo amefilisika na ndoa kuvunjika .. utadhani kuna kitu walimpa akawa Kama hajielewi ... Pesa zote anapeleka kanisani!
Mchungaji anashinda nyumbani kwake na mume anaishi mbali kikazi!
Kafikia kuuza mpaka Mali za familia!
Ukristo sio dini nini maana ya dini?Kuna mtu kakuita humu..sijui wajinga kama wewe hua mnashida gani.
#MaendeleoHayanaChama
Huyu ni mlokole. Achana naye, hayo maswali yako hataweza kuyajibu.Nithibitishie kwamba uislam ni din ya majini ndugu
Wanawake walokole ni changamoto sana mpaka waje kuelewa unayosema.Wasanii sana hao watu wakimteka kiakili mwanamke wako kazi unayo wana kauli mbiu ya kuwamaliza wanawake kuwa mume na mungu bora nini wakati mungu aliyesema ndoa na ziheshimiwe.
Hapa ninapoishi kuna "maalimu" wa msikiti...Nithibitishie kwamba uislam ni din ya majini ndugu
Wakitolewa majini yatahamia kwako looo.Nawe unatanga tanga kutafuta nini? Mkiyazoa ya kuyazoa huko muanze kusumbua familia.
Waache wahangaike tu!Wakitolewa majini yatahamia kwako looo.
Siri za wagonjwa na daktari wewe umezijuaje? Au wewe unaalikwa kama msikilizaji kwenye hizo huduma? Elezea tena kidogo tukuelewe vizuri.Hapa ninapoishi kuna "maalimu" wa msikiti...
Lakini cha ajabu ni mganga wa kienyeji...
Wanakujaga watu wanataka maadui zao watupiwe majini...na huyo "maalimu" anafanya hivyo
Hapa ninapoishi kuna "maalimu" wa msikiti...
Lakini cha ajabu ni mganga wa kienyeji...
Wanakujaga watu wanataka maadui zao watupiwe majini...na huyo "maalimu" anafanya hivyo
Huyo mwanamke alikosea kuolewa na mtu asiye mshirika mwenzake.Kuna mmoja huku anataka avunjishe ndoa za watu kila siku jion yupo kwenye nyumba za watu mtaani anaongoza ibada leo nyumba ya huyu kesho nyumba ya yule alaf waumin wake ni wake za watu tu, Sasa Kuna mke wa rafk yang hapa hajahudhuria hizo ibada za jion kama 3 hivi katumiwa wamama waje wamueke kikao
Mume wake kasema hatak kumuona kwenye hizo mambo za kila jion kwenda kwenye majumba ya watu kufanya ibada ila mchungaji analazimisha matokeo yake mke wa jamaa inabidi atoroke nymban ili amridhishe mchungaji