Hahahaha
Kuna mchungaji mmja yuko moro mjanja janja fulani anawapiga sana waumini wake hela za sadaka...na mauwongo mengi
Mm mwenyewe kitambo sana alishanipigaga hela fulani
Nlisikiaga ana kanisa moro,kawa mch dah nkastukaa
Kuna siku akajileta mwenyewe tukqzungumza,nkajifanya ya zamani nmesahau
Kwenye mazungumzo yake yesu,bwana,amina nyingi sana kumbe mm hapo namliaa timing
Maanq hapo najua wajanja wote tumekutana
Nkasema hyu ananilia timing tena nn
Basi kwenye maongezi akasema anataka gari
Kimoyomoyo nkasema ehe anajaaa hyu
Nkqmwambia gari lipo dar we tanguliza hela nkakulipie down-payment chap
Hapo mapicha asharushiwa ashaongea na mpaka mmiliki wa gari boshen
Akatoa 1m ....hiyo ndy ikawa imetokaaaa
Nkamuashaaa na mm
Wacha alalamike





Nkamwambia unakmbka lakn kuna wkt ulinipiga hela yangu na ushahidi nnao ukahaidi kulipa hukulipa,basi mm nmejilipa
Dah alinungunika sanaaa
Ngoma ikaishia draw hiyooo
Ova