Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,351
- Thread starter
- #81
Ko mchizi ni tapeli kitambo?Ahh hawezi hyu
Mzushi tu
Rekodi yake naijua way back
Ova
Ko mchizi ni tapeli kitambo?Ahh hawezi hyu
Mzushi tu
Rekodi yake naijua way back
Ova
Long time,ndomana alipoingia kwenye uchungajKo mchizi ni tapeli kitambo?
Kuna kisa nilisikia redioni mchungaji amezalisha wanawake kibao. Na wengi ni wake za watu. Kumbe behind the scene ni mshirikina akitumia nguvu yake ya uchawi mume anamsindikiza mkewe kwa baba mchungaji. Pepo kama hilo linikomeMwanamke ni kiumbe rahisi kupigika sound. Ukilegea mchungaj atamtmba kabisa ili amshikilie vyema zaidi.



Duuuh, ila anyway! Acha mchizi ale hela za wajinga.Long time,ndomana alipoingia kwenye uchungaj
Tunaomjua tukashangaa
Hko lzm awaumize
Ova
Na likukome kweli.Kuna kisa nilisikia redioni mchungaji amezalisha wanawake kibao. Na wengi ni wake za watu. Kumbe behind the scene ni mshirikina akitumia nguvu yake ya uchawi mume anamsindikiza mkewe kwa baba mchungaji. Pepo kama hilo linikome![]()
EeeeNa likukome kweli.
Kuna mahali waliponiuliza "umewahi kubatizwa kwa maji mengi?" basi ndio wakawa wamenifukuza jumla jumla.Yaani umekwenda kusali, ila wanang'ang'ania uwe mshirika wa kudumu, sio kama RC ambao unasali kanisa lolote na unakuwa huru, hakuna wa kukuuliza.
Ila kwa makanisa haya mengi ya pentecoste hii ni changamoto, mbaya zaidi ukienda kusali na kujulikana ni mgeni utaulizwa kama umeokoka au la! Kama bado wengi huwa wanakulazimisha uokoke.
Yaani hawaelewi ukiwaambia mimi bado bado, wanakera mno! Watu wengine hawajazoea kusali kanisa moja, sasa mnawakatisha tamaa watu wa aina hii, mnakuwa ga na vimaswali vya kipuuzi mno sometimes.
Too boringKuna mahali waliponiuliza "umewahi kubatizwa kwa maji mengi?" basi ndio wakawa wamenifukuza jumla jumla.
Ni kwelo kabisa ukristo siyo dini ila imani katika Bwana Yesu.Ukristo sio dini, iweje utoke hapa ukasali sehemu tofauti ukaulizwe?
Dini ya kweli hii uislam unatoka hapa tz unaensa nchi yoyote unaingia msikiti wowote unapiga zako ibada unaondoka, hakuna mtu ataanza kukuhoji wewe dhehebu gani unasali wapi.
Daa wewe kwani hukutaka kuwa na bamkubwa mchungaji?Nakumbuka maza angu mkubwa alipewa uzee wa kanisa. Watakuwa walikuwa wanamvuna haswa na ukaribu aliokuwa nao na yule mchungaji sina shaka alikuwaga anamgonga kabisa.
Maana mchungaji alikuwa kitu special sana yani. Nshapeleka sana bahasha kwake.
Kwa hiyo hujaokokaYaani umekwenda kusali, ila wanang'ang'ania uwe mshirika wa kudumu, sio kama RC ambao unasali kanisa lolote na unakuwa huru, hakuna wa kukuuliza.
Ila kwa makanisa haya mengi ya pentecoste hii ni changamoto, mbaya zaidi ukienda kusali na kujulikana ni mgeni utaulizwa kama umeokoka au la! Kama bado wengi huwa wanakulazimisha uokoke.
Yaani hawaelewi ukiwaambia mimi bado bado, wanakera mno! Watu wengine hawajazoea kusali kanisa moja, sasa mnawakatisha tamaa watu wa aina hii, mnakuwa ga na vimaswali vya kipuuzi mno sometimes.
Ni kwelo kabisa ukristo siyo dini ila imani katika Bwana Yesu.
Ila suala la waislam kuswali msikiti wowote nalo siyo kweli.Iraq Suni wanalipua Misikiti ya Shia n.k.
Hivi mashia wanaamini nini?Aliyekuambia shia waislam ni nan? Mm nazungumzia waislam. Mashia ni makafiri kama nyie tu. Hata mimi siwezi kuswal nyuma ya maisha maana si waislamu
Tatizo lakuwa na karibu na kanisa halafu liwe jipya na halina watu wengi, kufatana fatana mmm mimi hata kama naabudu hapo maswala yakunifuata nyumbani bila taarifa sitakiKuna mmoja huku anataka avunjishe ndoa za watu kila siku jion yupo kwenye nyumba za watu mtaani anaongoza ibada leo nyumba ya huyu kesho nyumba ya yule alaf waumin wake ni wake za watu tu, Sasa Kuna mke wa rafk yang hapa hajahudhuria hizo ibada za jion kama 3 hivi katumiwa wamama waje wamueke kikao
Mume wake kasema hatak kumuona kwenye hizo mambo za kila jion kwenda kwenye majumba ya watu kufanya ibada ila mchungaji analazimisha matokeo yake mke wa jamaa inabidi atoroke nymban ili amridhishe mchungaji
Watu wanabadilika jamani mbona Saul a.k Paul alikuwa si mtu mwema lakini ona kazi yake ilivyotukuka!Long time,ndomana alipoingia kwenye uchungaj
Tunaomjua tukashangaa
Hko lzm awaumize
Ova
Likome kweli, sasa ndiyo wakisoma hivi tutakuwa haturuhusiwi kwenda ibada.Kuna kisa nilisikia redioni mchungaji amezalisha wanawake kibao. Na wengi ni wake za watu. Kumbe behind the scene ni mshirikina akitumia nguvu yake ya uchawi mume anamsindikiza mkewe kwa baba mchungaji. Pepo kama hilo linikome![]()
Waislamu msione tu mkristo akilalamika kidogo hamkawii kuja na dini zenu, kwani umesikia mtoa mada anataka kuwa mwislamuUkristo sio dini, iweje utoke hapa ukasali sehemu tofauti ukaulizwe?
Dini ya kweli hii uislam unatoka hapa tz unaensa nchi yoyote unaingia msikiti wowote unapiga zako ibada unaondoka, hakuna mtu ataanza kukuhoji wewe dhehebu gani unasali wapi.