wachumi,sasa tumefika pazuri

Nov 24, 2010
54
3
nianze kwa kuwapongeza wachumi wenzangu kwa kuelimika sana maana siku hizi unapoingia kwenye forum hii ya wachumi kweli unakuta thread za kichumi na hata mawazo watu wanayochangia ni kichumi zaidi tofauti na zamani ambapo watu walitoa michango pumba tupu na kuweka thread zisizoendana na uchumi.

hongereni sana.
 
Hizo pumba ndizo zilizozaa unachokiona sasa!
 
nianze kwa kuwapongeza wachumi wenzangu kwa kuelimika sana maana siku hizi unapoingia kwenye forum hii ya wachumi kweli unakuta thread za kichumi na hata mawazo watu wanayochangia ni kichumi zaidi tofauti na zamani ambapo watu walitoa michango pumba tupu na kuweka thread zisizoendana na uchumi.

hongereni sana.

Hii thread yako ungeipeleka kwenye forum ya pongezi. maana unaweza kukuta unarudisha hayo mambo ya pumba ya zamani.

Ebu nilimishe

  • mfumuko wa bei nini ( mm sio mchumi nieeezee kwa lugha nyepesi ?
  • Tanzania umefikia % ngapi?
 
mtazamaji kwa lugha rahisi kabisa mfumuko wa bei ni ile hali ya bei za bidhaa kupanda bila kupungua kwa muda mrefu(the ersistance increase of the price of diferent comodities)
hapa bongo mfumuko wa bei umefikia asilimia 12 kama sijakosea.
kuna namna ya kupata asilimia hizo kwa njia ya kimahesabu labda kama utakuwa interested useme wadau washuke mambo.lakini njia mojawappo kubwa ni kwa kutumia price index
 
nianze kwa kuwapongeza wachumi wenzangu kwa kuelimika sana maana siku hizi unapoingia kwenye forum hii ya wachumi kweli unakuta thread za kichumi na hata mawazo watu wanayochangia ni kichumi zaidi tofauti na zamani ambapo watu walitoa michango pumba tupu na kuweka thread zisizoendana na uchumi.

hongereni sana.

wewe umejiunga novemba sasa hiyo zamani unayosema ilikuwa ni lini
 
Back
Top Bottom