Wachina wafanikiwa kulima mpunga jangwani huko Dubai

Wachina wafanikiwa kulima mpunga jangwani huko Dubai

FOREIGN201606301625000227779077323.jpg

wanasayansi wa kichina wamefanikiwa kulima na kuvuna jangwani huko dubai kwa kutumia maji ya chumvi baharini.

Wamevuna kutoka kwenye heta moja tani 7.5 wakati wastani wa dunia kwa hekta huwa ni tani 3.

wanaanza na test ya hekta 100 baadae mwaka 2020 watapanua zaidi mradi wao.

source;
How Chinese scientists plan to turn Dubai into rice fields



My take.
wakati sisi tuko misituni huku mvua, mito tele hawa jamaa wakifanikiwa tutaanza migogoro mingine pale kilo ya mchele maji chumvi kutoka jangwani utakapotaka kuuzwa miatano huku huu wa kwetu unauzwa elfu tatu.
trump hataki kusikia izi mambo
 
Sasa hii maana yake nini, ina maana itabidi hao Wachina waje watufundishe hiyo teknolojia yao ili tuongeze uzalishaji make nafikiri sisi kwa hectare moja labda hata tani moja hatuzalishi.

Kilimo ni teknolojia ktk dunia ya leo ila sisi tuko busy tunawekeza ktk vitu visivyoweza kutusaidia, kama ndege. Haiingii akilini hata kidogo kwani kwa uchumi unaosuasua kama huu wenye uwezo wa kupanda ndege hawafiki hata 0.1% ya total population.
Waje waone Kama hawakulimwa mikodi mpk wapagawe
 
hata wayahudi huwa wanalima sana jangwani. Asilimia kubwa ya maji wanayotumia nyumbani na kwenye kilimo hutokana na desalination. wameendelea sana kwenye technolojia ya kutoa chumvi maji ya bahari.

Kwakweli sisi ni mambumbumbu sana. Hela tunazotapanya kwa mambo ya kijinga tungesema tujenge irtigation schemes kwa mtindo wa shule za kata tungeweza double GDP yetu kwa muda mfupi sana.
 
Safi sana hiyo. Thats the kind of brains required wakati mwarabu akili yake ni kufuga hadi wa4 kwa wakati mmoja anawatukana wenzie makafiri huku wakimlisha na sheria kwao mke mmoja, mtoto mmoja.
Halafu kawaajiri analimisha hao wenye akili...
 
FOREIGN201606301625000227779077323.jpg

wanasayansi wa kichina wamefanikiwa kulima na kuvuna jangwani huko dubai kwa kutumia maji ya chumvi baharini.

Wamevuna kutoka kwenye heta moja tani 7.5 wakati wastani wa dunia kwa hekta huwa ni tani 3.

wanaanza na test ya hekta 100 baadae mwaka 2020 watapanua zaidi mradi wao.

source;
How Chinese scientists plan to turn Dubai into rice fields



My take.
wakati sisi tuko misituni huku mvua, mito tele hawa jamaa wakifanikiwa tutaanza migogoro mingine pale kilo ya mchele maji chumvi kutoka jangwani utakapotaka kuuzwa miatano huku huu wa kwetu unauzwa elfu tatu.
Tukazane na sera ya viwanda sio kilimo kwanza inshallah tutafika tuu
 
Safi sana hiyo. Thats the kind of brains required wakati mwarabu akili yake ni kufuga hadi wa4 kwa wakati mmoja anawatukana wenzie makafiri huku wakimlisha na sheria kwao mke mmoja, mtoto mmoja.
Tulia basi ulozaliwa nje ya ndoa.... Si lazima uoneshe watu kuwa wewe kafiri na umepatikana kwa njia ya boyfrnd na galfrendi badala ya ndoa.... Mwenzako anafuga wanne ndio ana akili, mana amewalimisha, yeye bosi anakula tu... we subiria ushikiwe akili na Masanja mkandamizaji
 
Back
Top Bottom