Wachina wafanikiwa kulima mpunga jangwani huko Dubai

Wachina wafanikiwa kulima mpunga jangwani huko Dubai

Maji yatakuwa yamepitishwa kupitia plastic pipes. Lakini akija mtu kutoa wazo la kutumia ocean water for toilet flashing ataaambiwa pipes zitapata kutu. Ila mchina wezetu wanaenda beyond.
Wanayageuza kuwa fresh water kwa kuondoa chumvi,then yanatumika kwa matumizi ya viwanda, majumbani au mashambani. Israel hawana mvua wanatumia technology ya kuugeuza unyevu kuwa MAJI,yaani hewa iliyopoa hasa nyakati za usiku then unaipooza kuwa MAJI,then wanaitumia kupitia drip irrigation mashambani
 
Waambie wachina huku KKKT wamejibu barua ile
 
FOREIGN201606301625000227779077323.jpg

wanasayansi wa kichina wamefanikiwa kulima na kuvuna jangwani huko dubai kwa kutumia maji ya chumvi baharini.

Wamevuna kutoka kwenye heta moja tani 7.5 wakati wastani wa dunia kwa hekta huwa ni tani 3.

wanaanza na test ya hekta 100 baadae mwaka 2020 watapanua zaidi mradi wao.

source;
How Chinese scientists plan to turn Dubai into rice fields



My take.
wakati sisi tuko misituni huku mvua, mito tele hawa jamaa wakifanikiwa tutaanza migogoro mingine pale kilo ya mchele maji chumvi kutoka jangwani utakapotaka kuuzwa miatano huku huu wa kwetu unauzwa elfu tatu.

hii ndo kitu inaitwa innnovation....

Mara nyini huwa nawaza hasa kwenye sekta ya ajira, watu wanataka vyeo na malipo makubwa, ila hao watu huwa hawajishughulishi na kutaka kuwa innovators au wabunifu. Yaani utafanya nini kwenye hiyo kampuni amvacho kitaleta tofauti na hatimaye bila kupingwa ikakufanya uongezewe malipo na cheo pia bila hata kuandika barua au maombi.

Hongera zao, hiyo ndo tunaita, sky is the limit you try everything in this world till the last day.
 
Waje waone Kama hawakulimwa mikodi mpk wapagawe
watatakiwa walipie na kodi ya kuchafua hali yetu ya hewa hapa..watakadiriwa kulipia kabisa hizo tani 7 kabla hata project haijaanza!
 
eti twajinasibu na kilimo kwanza akati kila mwaka bajeti ya kilimo haiajawahi kukamilika ...madeni ya bajeti yanabebana kila mwaka.......bajeti kubwa inapelekwa kwenye utawala....
tutasuburi sana..
 
Safi sana hiyo. Thats the kind of brains required wakati mwarabu akili yake ni kufuga hadi wa4 kwa wakati mmoja anawatukana wenzie makafiri huku wakimlisha na sheria kwao mke mmoja, mtoto mmoja.
Ww mbona mdini sana?? Koment zako zote ni udini tehh, jirekebishe dogo
 
Back
Top Bottom