Wachina wafanikiwa kulima mpunga jangwani huko Dubai

Wachina wafanikiwa kulima mpunga jangwani huko Dubai

Tukazane na sera ya viwanda sio kilimo kwanza inshallah tutafika tuu
Mkuu kama umemsikiliza mkulo leo hii utabaini kitu kikubwa. Jamaa is like ameshaona sera yake ya viwonder inabuma, sasa ameanza kukumbatia kilimo.
 
Hatari sana "" hao " viumbe "" hilo tukio lingekuwa limefanywa na waisrael bandia....tusingekunywa Maji Humu ""...
hahaha
mkuu hao nao ni noma.
ndio wanadamu wa kwanza kulisha dunia kutokea jangwani negev huko kibbutz.
"making the desert bloom"
 
hata wayahudi huwa wanalima sana jangwani. Asilimia kubwa ya maji wanayotumia nyumbani na kwenye kilimo hutokana na desalination. wameendelea sana kwenye technolojia ya kutoa chumvi maji ya bahari.

Kwakweli sisi ni mambumbumbu sana. Hela tunazotapanya kwa mambo ya kijinga tungesema tujenge irtigation schemes kwa mtindo wa shule za kata tungeweza double GDP yetu kwa muda mfupi sana.
huko siku mchicha ukibalance mfukoni pako kwenye list ya site zangu za kutalii duniani.
hasa kusini mwa israel ambako mwingeleza hakutegemea kama watu wangeishi lkn leo kumejaa green houses na projects za hatari za kilimo.
 
Tukazane na sera ya viwanda sio kilimo kwanza inshallah tutafika tuu
inshallah, Mwenyezi Mungu atujaalie ila ni vizuri pia kupewa update tulikuwa wapi,tuko wapi, tunaenda wapi kiviwanda na ikiwa hakuna asubuhi huko mbele hatujachelewa 2020 tutembee na kilimo.
Tuepuke Sunk costs. ila wahusika wanaelewa zaidi kuliko sisi huku wapiga zumari jf.
 
nimefanya kazi na wachina, kwanza hawa jamaa hawakubali kushindwa. pili wao wameweka mbele kazi tu. wanapiga kazi mpaka unajiuliza hawa jamaa hawachoki. na ukiangalia mishahara yao sio mikubwa.
kweli mkuu.
 
FOREIGN201606301625000227779077323.jpg

wanasayansi wa kichina wamefanikiwa kulima na kuvuna jangwani huko dubai kwa kutumia maji ya chumvi baharini.

Wamevuna kutoka kwenye heta moja tani 7.5 wakati wastani wa dunia kwa hekta huwa ni tani 3.

wanaanza na test ya hekta 100 baadae mwaka 2020 watapanua zaidi mradi wao.

source;
How Chinese scientists plan to turn Dubai into rice fields



My take.
wakati sisi tuko misituni huku mvua, mito tele hawa jamaa wakifanikiwa tutaanza migogoro mingine pale kilo ya mchele maji chumvi kutoka jangwani utakapotaka kuuzwa miatano huku huu wa kwetu unauzwa elfu tatu.
Nafarijika sana kusoma thread zako
 
huko siku mchicha ukibalance mfukoni pako kwenye list ya site zangu za kutalii duniani.
hasa kusini mwa israel ambako mwingeleza hakutegemea kama watu wangeishi lkn leo kumejaa green houses na projects za hatari za kilimo.
huko deep sana aisee nimeingia google
 
Sasa hii maana yake nini, ina maana itabidi hao Wachina waje watufundishe hiyo teknolojia yao ili tuongeze uzalishaji make nafikiri sisi kwa hectare moja labda hata tani moja hatuzalishi.

Kilimo ni teknolojia ktk dunia ya leo ila sisi tuko busy tunawekeza ktk vitu visivyoweza kutusaidia, kama ndege. Haiingii akilini hata kidogo kwani kwa uchumi unaosuasua kama huu wenye uwezo wa kupanda ndege hawafiki hata 0.1% ya total population.
Vipaumbele vya viongozi sio vipaumbele vya wananchi
 
nimefanya kazi na wachina, kwanza hawa jamaa hawakubali kushindwa. pili wao wameweka mbele kazi tu. wanapiga kazi mpaka unajiuliza hawa jamaa hawachoki. na ukiangalia mishahara yao sio mikubwa.
Ndo walioanzisha scheme ya umwagiliaji ya mbaralali walichepusha MTO wakaupitisha kati kati ya mji nyumba za watu ili watu watumie MAJI wakaweka na madaraja, wakafua na UMEME wa MAJI ulikuwa bure kwa watu,maji yalielekezwa kwenye mashamba yao ya mpunga walikuwa wakivuna tani na matani.Walipoondoka yakafaa,
 
Maji yatakuwa yamepitishwa kupitia plastic pipes. Lakini akija mtu kutoa wazo la kutumia ocean water for toilet flashing ataaambiwa pipes zitapata kutu. Ila mchina wezetu wanaenda beyond.
 
Back
Top Bottom