Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Mchina mmoja alienda danguro akaomba apewe changudoa mzuri na mwenye maujuzi ya kutosha kitandani.Alipopewa chaguo sahihi,akaondoka naye mpaka gheto kwake.Mchina akaanza ku-do,akapiga cha kwanza,mara ghafla yule mchina akaruka kitandani,akaenda dirishani kuvuta hewa,akaingia uvunguni mwa kitanda,akatokea upande wa pili wa kitanda,akapanda na kuendelea kupata ladha adimu duniani na yule changu. Alipopiga cha pili alirudia utaratibu ule ule,kwenda dirishani,anaingia uvunguni,anatokea upande wa pili kisha anarudi kitandani.Yule mchina alirudia mchezo wake huo mara nane mfululizo mpaka changudoa akamsifia kwa stamina yake ya hali ya juu.Changudoa naye akaamua kumuiga yule mchina,akashuka kitandani,akaenda dirishani,ile kuingia uvunguni....akakutana na wachina wengine nane(8) wakiwa uvunguni wametulia tuli.