Wachina na Changudoa.

Wachina na Changudoa.

jamaa alikuwa honey moon na my wife wake kwenye bafu mama alienda haja ndogo alipokuwa anarudi jamaa alitowa camera na kumpiga picha mama akiwa hana nguo mama alipouliza alijibiwa kuwa naweka picha yako kwenye mfuko wa shati na utakuwa karibu ya moyo wangu kila wakati
Muda kidogo jamaa alienda kujisaidia aliporudi mama alipiga picha jamaa alipouliza mama alimwambia ukiwa hupo nyumbani nita in large picha
 
duh,kua uyaone aisee, nimejifunza jambo....lol:lol::lol:
 
akaaaaa! Inabidi changu yeye kamanua tu? Anapokea maskini hajui km watu tofauti.!?
Aloo hii dunia hii, we acha tu
 
akaaaaa! Inabidi changu yeye kamanua tu? Anapokea maskini hajui km watu tofauti.!?
Aloo hii dunia hii, we acha tu
Ni mmoja tu ndo alikuwa na pesa ya kumlipa changu,wengine waka-take advantage ya kufanana kwao.
 
Nouma inaelekea ugumu wa maisha umekabili na wao pia
 
Back
Top Bottom