Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

NAWAUNGA MKONO WACHINA KUJA KUWEKEZA,WATANZANIA WANAMARINGO NA HAWAJUI CUSTOMER CARE,hutoa Lugha Chafu Kwenye Magari Yao,huduma Mbovu, Wachafu Wananuka Vikwapa,magari Yao Mabovu Na Yanakunguni Ndani.
 
Hayo magari yenu mnaojiita wazawa ukipanda kama upo chini ya mwembe mvua ikinyesha unalowa mpaka unatamani uombe mwamvuli
 
Ba Brio

Bora wachina mara mia, kwasababu mabasi yao ni bora, yana kiyoyozi, bei nafuuu na hawachinji kutoa makafara kama ninyi wabongo na mibasi yenu takataka mliyotengeneza bodi kenya. mmetunyanyasa vya kutosha na kwa miaka mingi sana mkipandisha bei mpendavyo, soko huria linaendelea itafika kipindi mtapaki hayo mangarangara yenu garage.

sisi abiria tunachohitaji sio basi la mtanzania, tunachohitaji ni usafiri bora, hatujali ni wa mtz au mchina au mzungu, na hata wewe ukipata hela yako mimi hainihusu ni yako wewe na watoto wako hivyo niko radhi hata kuungana na mchina ili basi lako life kama kutakuwa na maslahi. kwendeni zenu huko chinjachinja ninyi. mlizoea biashara za mabasi kwa uchawi mchina amekuja kufanya biashara kwa kutumia akili, au naye kawazidi nguvu kwa dini yake ya Confucianism?
Hivi unajua uchumi unavyoporomoka wewe au unajifurahisha. Siku shilingi yako ikiwa sawa na ya Zimbabwe utalia. Hawa jamaa wanachuma hela wanapeleka kwao we unafurahi. Vyovyote utakuwa huzalishi chochote upo tu either unasubili mwisho wa mwezi au mpaka upge sehemu ila siyo mbunifu
 
Last edited by a moderator:
tupo katika dunia ya utandawazi sasa. Lakini naona watanzania wanaomiliki mabasi bado akili zao ni za enzi za ujima. Sasa hivi tunaishi kwenye ulimwengu wa soko huria ambalo msingi wake mkubwa ni ushindani wa ubora wa huduma. Kwa hiyo kama huwezi kushindana utajiondoa mwenyewe na hii dunia sio mahala pako maana utaachwa sana.

Inasikitisha kuona unataka watanzania tuedelee kuunga mkono ujima wa karne ya 10 wakati sasa ni karne ya 21. Unataka tuendelee kusafiria hayo mabasi yako mikweche yenye madereva na makonda wenye lugha chafu za matusi, wanaotupiga na kutulangua nauli. Kwanza wewe ni mbinafsi, unajifikiria wewe kupata pesa na sio huduma bora kwa abiria. Kama unataka kufanya biashara badilika uende na wakati. Hakuna mtu wa kukuonea huruma kwenye hizo huduma zako mbaya.

Asante mungu maana saa ya ukombozi imewadia. Sasa ni muda wa hawa wachawi waliotuangamiza kwa ajali, waliosababisha uyatima, na ulemavu kwa sababu zao za kishirikina na uzembe kuondoka barabarani.

Na ukiona mtu anakuja jf kulialia ujue tayari hali yake ni mbaya. Mbaya ziadi unajieleza kwa watu ambao umekuwa ukiwanyonya na kuwanyanyasa. Sijui unategemea wakupe sapoti gani maskini. Uliyeshindwa biashara ya usafirshaji uwapishe wanaoiweza, wewe kafanye shughuli nyingine.
mkuuu kig

soon jamaa atawafwata scandnavia nawenzake...jipange tukayakomboe wanauzaga bei zakutupa mpwa mamarwakatare aliyadaka kamakuku akayaweka kubebea watotowashule..usishangae kukutana nae kwenye mnada jipange

ukisikia mama anamshukuru mungu kaanza namabasi 5 leo ana 150 ndiohayo

ahimidiwe mwokozi
kufakufaana
 
Mlaji anachotaka ni ubora wa huduma apatayo na kwa bei anayoweza kuifikia kwa wepesi na salama. Bravo wachina!!!!! Hapo siungani na mleta hoja kwa sababu anataka waendelee kutuua kwa mabasi chakavu na kwa ulanguzi wautakao wenye mabasi. Wachina wanaturahisishia mambo mengi sana. China iko juu sana sasa hivi kiuchumi kwa kuwa hawaendekezi ushambenga bali kazi bora. Watanzania wengi sana sasa wana ajira kwa wachina. Wako very strict kikazi ingawa wakitaka kustarehe pia hawajambo lakini hawachanganyi kazi na starehe kama wabongo. Wabongo akianza kupata faida anachanganyikiwa na kuharibu mazingira kwa kutumia pesa yake pasi kujali usalama wa wengine. Sasa nafurahi wafanyabiashara wa Bongo wameanza kutambua kwamba wako hatarini wakiendelea kumpuza mlazi ambaye ndiye mfalme wa utajiri wao. Wachina hao naamini watafungua viwanda vya kutengeneza magari hapahapa nchini na kunenepesha uchumi wa nchi. Ingieni udau kwenye biashara zao mpate akili ya kibiashara. Sitakaa kumhurumia mtu ambaye kila siku anapiga hesabu ya kuninyonya kiuchumi kwa kutumia udhaifu wangu kiuchumi. Hatuoni wabongo wanarehjeshaje fadhila ya utajiri wao kwa wananchi wenzao, lakini wachina wanawajali wateja ndio maana wananunua magari mapya mara kwa mara ili kulinda uhai wa wateja wao. Ukiniua leo kwa madawa yako na pia kwa magari yako mabovu sitakuwa mteja wako tena. Mlinde mteja wako akulinde.
 
  • Thanks
Reactions: Kig
hayo magari yenu mnaojiita wazawa ukipanda kama upo chini ya mwembe mvua ikinyesha unalowa mpaka unatamani uombe mwamvuli

ukilowa mvua unakauka
ushawahi panda spider wewee basi linakutu nilikuwa naenda nairobi nikashuka arusha kupiga tetenasi baadayakujakata hatari

mvua unajifuta mpwa kama nanii baadayakazi burudika ma come xxxx
 
  • Thanks
Reactions: Kig
Uuuuuiiii.... mkuu ushindani hauwezekani bila governor kutoka serikalini. Level mbili tofauti sanaaaa.... sisi wa gari 5 na wa gari 150 tushindane kivipi? Wao wana access to capital..sisi je?

Wewe mwenyewe hapo kila siku unatamani upate mkopo ujikwamue lkn huna vigezo. Ndiyo tz yetu. Imebaki kulilia serikali tu.

Stop pretending guys. Dont take it so lightly, tutamalizwa. Hali ni mbaya... twaelekea pabaya...

Mkuu watu hyo biashara tushaifanya na syo kwa kumiliki hapana watu tushafanya ukonda miaka ya 90 huko.kulikuwa na bro uswahilini kwetu alikuwa baharia alikuwa na mabasi yanaitwa Italy trans coaster zililetwa mpya wakati huo Gari ikiwa ni 0 km, sisi kila weekend part time job tulikuwa tunapewa ili tupate hela ya shule.
mmiliki wa magari yale alikuwa hataki tuongee lugha chaf na abiria wala kunyanyasa abiria na Wanafunzi,usafi pia tulihimizwa,tulizuiwa kujaza sana abiria kupita kiasi..kulikuwa na ubunifu fulani.
nyie kwa sababu hamjapata changamoto mnaanza kulalama
 
ukilowa mvua unakauka
ushawahi panda spider wewee basi linakutu nilikuwa naenda nairobi nikashuka arusha kupiga tetenasi baadayakujakata hatari

mvua unajifuta mpwa kama nanii baadayakazi burudika ma come xxxx

Hahahahaha
 
ndugu unahisi ukiwa china haki yako itakuwa sawa na yule raia wa kichina? cha msingi ni serikali ingeweka regulations zitakazo saidia kukawa na wawekezaji watakaotoa usafiri bora na nafuu na muda huohuo ikilinda maslahi ya local investors, itakuwa ni uwendawazimu kufurahia mabasi mazuri na wakati huohuo watanzania wakipotezwa kwenye ramani ya biashara, hata nchi kama marekani licha ya ubepari uliokubuhu inayosera ya kulinda wawekezaji wazawa.

Umesoma malalamiko ya mleta mada? Unataka serikali ikulinde ili uweke nauli kubwa akija mshindani akishusha serikali ikulinde? Labda serikali ya TABOA.

Huko uliposema ndio fair trade ilipoanzia, halafu msinga'ang'anie sana mzawa kulindwa unganeni muwe na nguvu mjilinde,umoja ni nguvu.....
 
Hute umenifurahisha sana kwa kumpa Ba Brio za uso. Haahahaaaha
unaweza kuona huyo ni yule mwarabu mwenyekiti wa TABOA, na kwasasa wanao mpango kupinga DART wanasema wanaona magari yao yale yote ya daladala watapeleka wapi kwasababu soon daladala zote hizo zitazuiwa sijui wataziuza burundi au rwanda na congo? badala ya kujiunga kama kampuni kubwa la kushindana na DART wanaona hata dart hao wa strabarg ni adui yao. wana kiburi sana hao wamiliki wa mabasi aisee, hawana tofauti na wenye vituo vya mafuta/sheli.
 
Umesoma malalamiko ya mleta mada? Unataka serikali ikulinde ili uweke nauli kubwa akija mshindani akishusha serikali ikulinde? Labda serikali ya TABOA.

Huko uliposema ndio fair trade ilipoanzia, halafu msinga'ang'anie sana mzawa kulindwa unganeni muwe na nguvu mjilinde,umoja ni nguvu.....

Anataka tumuone huruma! Tatizo kwenye biashara hii hawajapata ushindani sahv ndy mchina kawastua,
 
Ndgu ushindani ndio biashara yenyewe na hakuna anayeogopa, tatizo hakuna fair ground btn foreign na local investors wao wanapata some exemptions ambazo mswahili utabaki kuzisikia tu! na hiyo ya kupanda nauli december sio kosa letu wasomi mnasema high demand lead to increase in price sasa tatizo la mfanyabiashara liko wapi hapo?
mnapandisha nauli mwisho wa mwaka kwasababu ya demand kubwa siyo? hahaha, hapo ndiu umeonyesha jinsi mlivyo. basi sisi tunawahitaji wachina ambao hawapandishi nauli siku za xmass. pia, naomba zitaje incentives ambazo mchina amepewa wewe umenyimwa kwenye biashara hapa tz ili tuione hiyo unfair ground of competition. kama huna, kaaa kimyaaa.
 
umebuuuuuugi,pole mimi sinunuagi mchina kilichopo Africa,nanunua mchina aliyepo USA NA ULAYA MAGHARIBI
kwahiyo hata makalio umenunua ya mchina yanayouzwa US na ulaya magaribi sio? hapo hujamkwepa mchina bado. yuko na wewe tu uendako.
 
Hivi unajua uchumi unavyoporomoka wewe au unajifurahisha. Siku shilingi yako ikiwa sawa na ya Zimbabwe utalia. Hawa jamaa wanachuma hela wanapeleka kwao we unafurahi. Vyovyote utakuwa huzalishi chochote upo tu either unasubili mwisho wa mwezi au mpaka upge sehemu ila siyo mbunifu
ninyi mnachuma hela kilaghai na kupeleka bank au mnaweka kwenye vibuyu vyenu majumbani huko kwasababu mganga wenu alisema msipeleke bank...ungekuwa na akili za kiuchumi wala usingekuja hapa kulalamika na kulialia ukiomba huruma. kwani mchina akifanyia biashara hapahapa kwenye nchi yako uchumi unapungua vipi? hebu nieleze mimi sio mwanauchumi. tungekuwa tunaongea kuwa mchina ana import vitu vyote toka huko kwao na sisi hapa tuna export kwa kuagizia dola na dola ipo kwenye demand kubwa ningekuelewa. sasa mchina anakusanya nauli zetu kiuhalali anaweka kwenye bank zetu hapahapa anaendelea kuzungusha ile hela hapahapa, na kwa taarifa yako yale mabasi hawanunui wale ni ma agent tu wa zoung tong waliyaleta hapa walipoona hayanunuliwi wakayaingiza kazini ili walau yarudishe ya matengenezo, wakaona yap, hela inapatikana kuliko biashara ya kuyauza kwanini wasipeleke songea na kahama? ndio maana mnalialia. kama ni kushuka kwa shilingi labda itokane na kuayaagiza hayo magari ambayo hayatengenezwi hapa toka china, na kama ni kuagiza huwezi kumlaumu mchina hata wabongo wanaagiza hivyo sisi sote tunaporomosha shilingi hata mchina asipoagiza wachaga wataagiza tu na shilingi itaendelea palepale,

unafikiri kumiliki basi ni kujua uchumi? hapo ulipo umeongea formula ya uchumi kihalisia? pusii
 
Uzalendo tunaouangalia ni serikali kupata kodi yake . Kama kodi inalipwa na Sheria hazivunjwi amna uzalendo zaidi ya huo mengine ni blablaaa
sasa waulize hao TABOA kama wanalipa kodi ipasavyo, utashangaa sana kuona ni wakwepa kodi wakubwa na wakija pale ubungu wanatupandishia nauli tunapoenda makwetu mwisho wa mwaka. wazalendo gani hao?
 
unaweza kuona huyo ni yule mwarabu mwenyekiti wa TABOA, na kwasasa wanao mpango kupinga DART wanasema wanaona magari yao yale yote ya daladala watapeleka wapi kwasababu soon daladala zote hizo zitazuiwa sijui wataziuza burundi au rwanda na congo? badala ya kujiunga kama kampuni kubwa la kushindana na DART wanaona hata dart hao wa strabarg ni adui yao. wana kiburi sana hao wamiliki wa mabasi aisee, hawana tofauti na wenye vituo vya mafuta/sheli.
Hawa wamiliki wa mabasi sahvi unaweza mfananisha na mtu aliyezoea kukaa nyumba ya bure miaka mingi siku nyumba ikiuzwa na akiambiwa ahame anaanza kubwabwaja,
 
Mpwa nmesalimika

Molamkubwa nipohapa kawe dk 8 zilizopita NAONA live nyumbani ikimegwa kipandeq kuelekea mtoni wahusikaw wakishakimbia AMA kuhama

Mungu atujalie nimeona met mpaka tar 20
 
uchumi wa nchi unayumba kila kitu kimeshafeli wachina utasikia hata wanachoma mahindi kariakoo usishangae.
 
Back
Top Bottom