Kuwa makini asikupopoe.Aiseee hi ni kweli hata mimi naomba niseme hapa ushuhuda wangu..
Nipo nyumba mpya niliyo amia hapa kama miezi miwili iliyopita, huyu mama nahisi ni wichi au wizzad maana mwanzoni alikua ananichekea chekea sana akanichimba weee akajua mi nani ila.sikumwambia kazi nayifanya..
Kinachotokea sasa usiku hakulaliki an unaweza kulala ukawa unahisi kuna mtu kabisa anakushika mgongoni. Nikistuka naona kimya na nipo peke yangu.
Alafu nashangaa kwanini anishike mgongoni kmmmk nawaza sana ninpopo bawa au
Naendelea....
Bro oaAiseee hi ni kweli hata mimi naomba niseme hapa ushuhuda wangu..
Nipo nyumba mpya niliyo amia hapa kama miezi miwili iliyopita, huyu mama nahisi ni wichi au wizzad maana mwanzoni alikua ananichekea chekea sana akanichimba weee akajua mi nani ila.sikumwambia kazi nayifanya..
Kinachotokea sasa usiku hakulaliki an unaweza kulala ukawa unahisi kuna mtu kabisa anakushika mgongoni. Nikistuka naona kimya na nipo peke yangu.
Alafu nashangaa kwanini anishike mgongoni kmmmk nawaza sana ninpopo bawa au
Naendelea....
Acha mambo yakoKuwa makini asikupopoe.
Acha mambo yakoKuwa makini asikupopoe.
Kuoa uwongo bado sana nataka kwanza nile ya kila aina ili nikioa nitulieBro oa
Sasa papaswa hapo na maza houseKuoa uwongo bado sana nataka kwanza nile ya kila aina ili nikioa nitulie
Haya,sawa.Mola awe nawe.Acha mambo yako
..🫵🫵🫵🫵😬😬😬😬
Nalala huku nimeplat quran yaan huyu mbwa akijichanganya tuu nastuka chap nakemea huku kuran ipo.inamkaanga
Mmmmh maza haouse hapna hapan naona kama ntakaova dozi haka.....Sasa papaswa hapo na maza house
AmeeenHaya,sawa.Mola awe nawe.
Popo bawa kesha fanya yake. Na hapo kuhama ni majaliwaAiseee hi ni kweli hata mimi naomba niseme hapa ushuhuda wangu..
Nipo nyumba mpya niliyo amia hapa kama miezi miwili iliyopita, huyu mama nahisi ni wichi au wizzad maana mwanzoni alikua ananichekea chekea sana akanichimba weee akajua mi nani ila.sikumwambia kazi nayifanya..
Kinachotokea sasa usiku hakulaliki an unaweza kulala ukawa unahisi kuna mtu kabisa anakushika mgongoni. Nikistuka naona kimya na nipo peke yangu.
Alafu nashangaa kwanini anishike mgongoni kmmmk nawaza sana ninpopo bawa au
Naendelea....
Pepo la uzinziAlafu nashangaa kwanini anishike mgongoni kmmmk nawaza sana ninpopo bawa au
Hakuna uchawi!