Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,596
Hayo mambo ya kanisa kubariki vitu watu washapiga hela sana siku za nyuma kwa kuuza "indulgences". Unaambiwa toa hela tutakupa indulgences za kumsaidia ndugu yako apunguziwe dhambi.nakumbuka wakat nafundishwa masomo ya rc kuingia kwenye ndoa padri akanipa hayo maji,kuna muda akawa anaoneshaa anataka kusema kitu! mwisho wa sk akaja akasema kitu! nikamuuliza hv hayo maji nan anayabariki akaniambia ni wao! toka hapo huwa sielew hayo maji ya baraka! anywys ni iman zaid!
Martin Luther, Against the Sale of Indulgences
Indulgence - Wikipedia
Ujinga mtupu.