Education Mentor
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 395
- 695
Hilo la alama ya kuuliza badala ya kituo ni typing errors.Lichukue hivyo na marekebisho yamefanywa.
Bosi nasubiria majibu yangu
Hilo la alama ya kuuliza badala ya kituo ni typing errors.Lichukue hivyo na marekebisho yamefanywa.
Mkuu,naomba nikuombe tena.tafadhali rudi kausome uzi wangu na uuelewe.na kama umeona sehemu niliyomuandika Mwakasege basi soma vizuri hiyo sehemu ndipo ulirudi kuchangia.Ungetaka asiongelewe katika uzi huu usingalimtaja! Haiwezekani umuongelee na mimi iwe dhambi kumuongelea.Mafundisho yake hayo si anayatoa hadharani sasa kuna kosa gani kumuongelea hapa? Kwani kwenye Uzi mama ulitahadharisha wachangiaji wasimuongelee?
Kuna "majini masafi" mkuu?Huko mnakokwenda kwenye "maombi" ndiyo mnakopachikwa hayo mapepo aka majinni machafu.
Hao wachungaji wakale wapi na wajinga ndiyo waliwao!
Fikiri.
Sasa hivi uko poa si ndioMi kipindi Nasoma sekondari nilikua naota mandoto ya ajabu ajabu pia mara niote kama naona paka ananikaba kwa kutumia mto mpaka nashindwa kupumua vizuri nikipiga kelele watu hawasikii basi nahangaika tu mara sijui nanyweshwa mavitu ya ajabu but I thank God
Cc Smart911
Sent from Mrs Smart911 using JamiiForums mobile app
Wapo. Majinni ni viumbe na wapo wazuri na wabaya kama binaadam.Kuna "majini masafi" mkuu?![]()
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
hahhahah bota nimepata mtu wa 2! sina kwanza hayo maji nahisg kichekesho tupu!Hayo mambo ya kanisa kubariki vitu watu washapiga hela sana siku za nyuma kwa kuuza "indulgences". Unaambiwa toa hela tutakupa indulgences za kumsaidia ndugu yakoapunguziwe dhambi.
Martin Luther, Against the Sale of Indulgences
Indulgence - Wikipedia
Ujinga mtupu.
Yani wewe....hahahshahahahaha umenifurahisha mkuu
Maji ya ajabu ajabu yanayotoka kwa watu wasio kubali sayansi yanaweza kueneza magonjwa vile vile.hahhahah bota nimepata mtu wa 2! sina kwanza hayo maji nahisg kichekesho tupu!
I hope hautumiagi msuba.
Ndio nipo poa kabisa.. Tangu nimalize advance sikuona tena hayo mandoto sa sijui walikua wanafunzi wenzangu sijui kina nani sijui hata make nilisomea bweni na ilikua mchanganyiko wa wanafunzi wengi wengi toka sehemu mbali mbali .Sasa hivi uko poa si ndio
Wapo kwenye axis yao, wanafanya shughuli zao za kila siku bila kuingilia au kujihusisha na shughuli za binaadam kama vile binaadam wazuri hufanya shughuli zao za kila siku bila kuingilia majinni.Wazuri wanafanya kazi gani?kama hawa wabaya wanaharibu watu?
Wewe hujakutana na vitu... nakuonea hurumaHakuna Uchawi wala Wachawi