goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
Haaha umeamka na akili za mawenge weweKumbe Stunter we wa kunyumba
Hapana bana nimejikuta nipo milima ya usambaaHaaha umeamka na akili za mawenge wewe
Asante mkuu.usingizi wa leo ulikuwa mzuri kabisa wenye utulivuDawa ya uchawi ni kupotezea lakini kwa hali ya kawaida hutaweza kwa sababu wanakuja na mbinu tofauti kijaribu kukutisha ama kukuchukua,
Fanya yafuatayo.
Ukilala omba kawaida au zaidi halafu kama yakikutokea jifanye kama hujasikia kitu. Unapotezea tu yale unayoyaona lazima ujikaze kiume kwa sababu viumbe wengine ukiwaona unaweza kupiga makelele.
Try that
Good morning.usingizi ulikuwa mwake mwake babake..Mkuu chakorii hebu lete mrejesho Usiku wa leo vipi? Walikuja tena?
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Asante na wewe piaAsante mkuu.usingizi wa leo ulikuwa mzuri kabisa wenye utulivu
Umesema vema.naona maimuna, makata, kashikashi, subiani, walikuwa wageni wako, anyway..
ilinitokeaga kipindi hivi ikawa nikiomba kabla ya kulala hali ndo ikawa mbaya zaidi usiku, lakini siku nilizolala bila kuomba nilipiga usingizi murua kabisa,
my take;
usianzishe vita na mapepo/ maruhani kama una imani haba
Tatizo lipo kwako , Ukiweza sema nami PmHakuna namna baba inabidi nirudi aiseeh.
Sitaki kuchuma dhambi juu ya sura ya mtu wangu wa karibu niliyoiona
Ujumbe maridhawa sana huu.asante mkuu ubarikiweShukuru sana Mungu kukupa maono, Kuna wengi wanafanyiwa hayo lakini hawana macho ya kiroho, ukiwa unaota au kuona ni kitu kizuri sana ila sasa usije ukiwaambia wale uliowaona kwanza watakataa, na kukushitaki vile vile shetani anaweza kuvaa sura ya mtu mwingine na kukushambulia, Inatakiwa uende ukaombewe na watumishi ambao Wana proven records za kusaidia watu, kwani wengine ni wakala wa shetani watakufunga zaidi, usipoenda kwenye maombi hayo macho yako ya kiroho watayatoboa hautakuja kuona tena au kuota na unatakiwa ujitahidi kuishi ktk utakatifu na kuhudhuria ibada mara kwa mara, kutubu ukitenda dhambi, kwani, we all sinners, kwa kifupi be righteousness, prayerfully and avoid sins na toa offerings or sacrifices madhabauni kwani hao maadui zako, kuongeza nguvu ya kukushambulia uwa wanatoa sadaka kwa shetani kupitia damu ya ndege,wanyama au binadamu
Sent from my C6806 using JamiiForums mobile app
Asante sana mkuu.ngoja nijiangalie nijione wapi huwa nakosea ili niweze songa mbele.asante sana mkuuNgoja niseme kitu kimoja, shetani ni baba wa uongo.
Kama Mungu atumiavyo maono kusema na watu jua na shetani ni copy cat , ugelezea na kufanya kama hivo....
Ukiona hali hizo jua kuna kitu hakipo sahihi katika mahusiano yako na Mungu either upo mguuu nje n mguu ndani, ume understimate nafasi yako katika ulinwengu wa roho. N.k
Ila unaweza pia ukawa haupo tayari kwa vita vya rohoni, maana kama umejikabidh kwa Mungu harafu kuna roho zinakushika before lazima zinataka ku rise hadi zikumiliki kuna mengi sana.
Lakini yote kwa Yote
Matendo ya Mitume 2:21
[21]Na itakuwa kila atakayeliitia jina la Bwana ataokolewa..
Njia zipo ukipew mwongozo utafanya mwenyewe maan anaefanya ni Mungu na anaweza kukutumia endapo utampa nafasi
siko vile nilivyokuwa, haimaanishi nipo tofauti.