Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,660
- 7,948
njoo ufanyiwe maombi
Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app
Wapi huko!?
njoo ufanyiwe maombi
Sent from my Infinix HOT 3 LTE using JamiiForums mobile app
Hayajakukuta,hata mleta mada alikuwa haamin na baada ya vimbwanga sasa kaleta mrejesho,uchaw upo na ni hatarHakuna Uchawi wala Wachawi
Na imani nyote ni wazima.
Moja kwa moja kwenye mada.
Ndgu zanguni hapo kabla nilikuwa nilikuwa siamini kuna wachawi ingawa nilikuwa nikisikia watu wakisema.
Hapo kabla nilikuwa nikiota ndoto mbaya sana na wakati mwingine nikijikuta natoka nje bila kujua usiku wa manane wakati huo nakuwa siko ktk hali ya kawaida kbsa.naweza kusema ni Mungu tu.
Ile hali ya ndoto mbaya ikawa inazidi nikaanza kwenda kwenye maombi.nilipoanza maombi ni kama nilizidisha nilikuwa nikiota ndoto mbaya nyingi zikiwa za mijoka mikubwa yenye rangi ya gold na yellow.nikalifikisha kwa mchungaji nikafanyiwa maombi ile hali ikawa inapotea kidogokidogo.ikafikia hatua naota mara chache sana.kwahiyo nikawa najisimamia mwenyew kukemea hizo ndoto
Jana usiku nikawa namsikiliza mwakasege saa tatu usiku(huwa ni utaratibu wangu wa kusikiliza mahubiri yake).lakini jana ile anaanza nikapata usingizi ghafla nakuja kustuka anamalizia.nikalala.
Sasa usiku wa saa saba hivi usingizi ukakata kabisa lkin nikawa nasisimkwa mwili isivyokawaida.najionea giza tu hapo niko macho kumbuka baadae nikawa naona uso wa mtu ila una jicho moja lipo ktkt ya kipanda uso na majitu kama mazombi ya kwenye movie.hee!!ikabidi kiamke nikatoka nje nili niwaamshe majirani.ikumbukwe sina usingizi kabisa na wala sipo ndoton.
Wakati naelekea kuwaamsha majiran nikakumbuka nina maji ya baraka ndani ikabidi nirud nijimwagie maji ya baraka kitanda na sehemu zote za chumban.nikarudi kulala.yani ni kama nimeyafungulia sasa yakaja upya na makucha juu ila kwa sasa yalikuja kama vile naota lkni niko macho kabisa.mwili mzimaaa ulikuwa unasisimka upande wa kushoto na kulia naona giza kabisa.kweli niliogopa sana.
Kilichonichanganya zaidi ni ule uso wa yule mtu.ni sura ya mtu ninaemfahamu tena ni mtu wangu wa karibu kabisa na mimi.kweli katika hali ya kibinadamu naogopa jmn wakti mwingine.naogopa hata kuingia ndani jmn.
Poleni kwa urefu wa uzi.nimeona nishee nanyi hiki kilichonisumbua usiku wa leo.

Ndivyo nilivyo mimi japo kwa siku za hivi karibuni imepungua kidogo.naona maimuna, makata, kashikashi, subiani, walikuwa wageni wako, anyway..
ilinitokeaga kipindi hivi ikawa nikiomba kabla ya kulala hali ndo ikawa mbaya zaidi usiku, lakini siku nilizolala bila kuomba nilipiga usingizi murua kabisa,
my take;
usianzishe vita na mapepo/ maruhani kama una imani haba
Emaus wako vizuri sana, nishawahi kupata huduma ya maombi hapoUkiona kitu kama hicho it's damu ya yesu, njoo kesho ubungo Emaus kituo cha karesmatik kuna kongamano limeanza,muda SAA 3 had sits unafanyiwa deliverence na SAA 8 had 12 ndo Luna kongamano lenyew mahubir na maombez
Asantee mkuu nitajitahidi kuja.si ni pale ubungo??Ukiona kitu kama hicho it's damu ya yesu, njoo kesho ubungo Emaus kituo cha karesmatik kuna kongamano limeanza,muda SAA 3 had sits unafanyiwa deliverence na SAA 8 had 12 ndo Luna kongamano lenyew mahubir na maombez
Asante kwa ushauri mkuu.kuna kitu nimekichukua kutoka kwako.Pole Sana hali hizo zinaweza kutokea.
Ila, hayo uliyoyaona na ndoto hizo zinataka kutumika kukukosanisha na watu wako wa Karibu.
Mfano, jitu lenye jicho moja linabeba sura ya rafiki /mtu wako wa Karibu.
Ushauri wangu kwako, jaribu kuwa makini na lifestyle yako mengine mbwembwe tu.
Yah ni kwel nenda kaombe kama ni yeye muhusika itakuja kujulikana tuHakuna namna baba inabidi nirudi aiseeh.
Sitaki kuchuma dhambi juu ya sura ya mtu wangu wa karibu niliyoiona