Education Mentor
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 395
- 695
Subiri pakikucha ntakwambiaHivi kwanini usiku wanasema usiite chumvi sababu Ni nini
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Hakuna Uchawi wala Wachawi
Unaweza kuthibitisha uchawi upo?Wewe ni mtu wa kuogopewa kama ukoma ama mbunge wa Tanzania.....wengi wenu mnadanganya watu kuwa hakuna uchawi ila usiku mnawaendea kuwachezea. Umekuwa kama mbunge wa Tanzania kusema kuwa hutambui uchawi ila uchaguzi ukikaribia bungeni huonekani upo kwa sangoma kuangusha mitambo.
Walikuwa wanakukaribisha mahondaw...Kipindi naripot kazini sasa sekeseke jingineee
Usiku Juu ya bati nilikua nasikia kama watu wanacheza ngoma,, siku nyingine ngine kama wanatembea juu ya bati mara nisikie kama mandege makubwa yanatua juu ya bati.. Na kuna siku moja niliona kama nimelala kitandani pembeni ya kitanda naona kama mtu mrefuuu kasimama kavaa linguo jeusi yani mi nimelala ye kasimama pembeni yangu.
Sa sijaelewa sijui ni uwoga wangu labda sijui ni kweli...
Nami Nina maji ya baraka pia
But badae sikuona tena hayo mauzauza
Sa sijui Wachawi walikua wananikaribisha duhhhhhhhhhhh
Cc Smart911
Sent from Mrs Smart911 using JamiiForums mobile app
Boarding zina watu wenye tabia tofauti... Wapo wanga, wachawi, walozi na wengineo...Ndio nipo poa kabisa.. Tangu nimalize advance sikuona tena hayo mandoto sa sijui walikua wanafunzi wenzangu sijui kina nani sijui hata make nilisomea bweni na ilikua mchanganyiko wa wanafunzi wengi wengi toka sehemu mbali mbali .
Sent from Mrs Smart911 using JamiiForums mobile app
Unaweza kuthibitisha uchawi upo?
Uchawi ni nini?
Unaweza kutafuta mchawi aniloge mpaka nikubali uchawi upo?
Sent from my Kimulimuli
Nimekuambia uthibitishe wewe. Mbona unamsukumia mbunge?Mkuu, una mbunge kwenye jimbo lako au hata diwani tu wa kata.....unaye? Waambie kuwa hakuna uchawi na waambie kila kitu kinachokusibu. Jibu lipo hapo.
Narudia tena...hakuna uchawi wala wachawi....Wewe ni mtu wa kuogopewa kama ukoma ama mbunge wa Tanzania.....wengi wenu mnadanganya watu kuwa hakuna uchawi ila usiku mnawaendea kuwachezea. Umekuwa kama mbunge wa Tanzania kusema kuwa hutambui uchawi ila uchaguzi ukikaribia bungeni huonekani upo kwa sangoma kuangusha mitambo.
Kumbe Stunter we wa kunyumbaWenzako ikifika usiku ni marufuku Kulitamka neno CHUMVI,
huwa tunaita MUNYU,
sasa wewe ita chumvi uje ulale na mazonge...( nimetoka ndani mada maramoja, ila nitarudi baadae)
Umejikuta upo tanga shikamoo lakiniHa ha ha ha mazonge nimekumbuka kwetu hilo neno maarufu sanaa