Wachawi wamemchukua mwanangu

Wachawi wamemchukua mwanangu

Wewe group gani, na mke wako group gani
 
diamond name ustar wake wote mtoto Wake alipozaliwa tu alimvalisha bonge LA hiriz linalopumua
 
Pole sana.

Ya kweli haya lakini?

Kufiwa inawezekana ila uchawi! hapana.

Lazima kuna namna tu
 
Daah! Watu kweli wanaangamia kwakukosa maarifa. Pole ndiyo hivyo ushazika. Ila ungekuwa hujazika ningekushauri kanisa lakwenda na mwanao angerudi! Huo ni ushirikina live. Ila dawa ya moto syo moto ndugu yangu. Mtafute Mungu wa kweli akuepushe na hayo!
 
Aisee ukiamini haya mambo yatakutesa kwa muda mrefu sana. Ungejaribu kujielimisha kwa google ama kwa kuzungumza na daktari juu ya sababu iliyokatisha maisha ya mwanao.

Kama ni mpenzi wa kuangalia medical documentaries discovery na geographical channel utagundua wenzetu dunia ya tatu wanachunguza vifo hadi wanajua sababu.

Utaliwa pesa na waganga na wachungaji bila huruma. Baba yake amina chifupa bado anangojea mwanae afufuliwe. Pole ndugu, move on Mungu atakubarikia mtoto mwingine
 
Pole sana mkuu, ila kwa kuamini hivyo wajanja wanaweza wakapata fursa ya kukulia hela zako, na mwisho kilio cha mwisho kitakua kikubwa zaidi.

Nakushauri usiamini sana hayo mambo.
 
Mkuu the Counseller,achana na majonzi baki na hasira kali..ingia vitani!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana, Kwasasa nakushauri utulie tuuu bila kuwaza wht happened maana imeshatokea. Kumbuka Ayubu yaliyomkuta
 
Pole sana Mwenye ez Mungu akujaalie subra ya hali ya juu, na usimgeukie shetani, jua lolote linalotikea basi ni kwa mapenzi na Neema ya Muumba, akitaka lake huwa na kama hataki haliwi abadan, siku yake ilishafika kuwa na Subra na Mola atakujaalia kingine kilichobora, nilishafikwa na mtihani kama huo ni ngumu kuukubali only time heals... Na ujitahidi kuwa na Subra la sivyo utakufuru.
 
Pole Sana..kifo hicho kiliwahi tokea kwa mtoto wa dadayangu ila yeye alikuwa na miez Tisa .alikufa kifo cha namna hiyo..mwachie mungu
 
Hivi kumbe haya mambo ni ya kweli?Pole sana ndugu uliyepatwa na mkasa.

Rafiki acha kabisa wachawi wapo...na kama hujui kupambana nao kiroho watakunyanyasa sana...Pole kwa huyu ndg aliefiwe na Binti yake kiukweli inauma sana....Namshauri asijichanganye na waganga kulipa kisasi watamuumiza sababu hizo ndio anga zao....Km ni mkristo atafute mafundisho sahihi....yakumtoa kwenye hayo matatizo
 
kuna threas ilikua inasema asilimia 60 ya Watanzania wanaamini ushirikina. kwa kusoma comments tu naanza kuamini

Mkuu nizaidi ya hiyo %kuna wakati nilikuwa na KESI Mahakamani...daah...kila MTU ninaekutana nae pale hasa washtakiwa baada ya mastor MTU anakuuliza km umeshaenda kwa BABU mi nilikuwa nawacheka wananiona waajabu...kiukweli nchi hii Uchawi umeshika Hatamu
 
Pole sn kwa msiba huu mkubwa! Mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu! Nakushaur usilipe kisasi! Chakufanya zaidi iwe kufanya maamuzi ya makusudi kuamini ktk JINA KUU LIPITALO MAJINA YOTE... JINA LA YESU KROSTO! Hutaona mchawi akileta mchezo kwako na uzao wako! Kwa msaada zaidi hapo maswa mwone kuna pastor mmoja anaitwa Mapuli atakusaidia...
 
Pole sana ndugu,mi ni mfuasi wa jino kwa jino, hata iwe kwa gharama kiasi gani lazima nilipe kisasi, sijui wewe
 
Back
Top Bottom