The Counseller (kama siyo The Counsellor), wewe ni dini gani? Sisi katika biblia tunaambiwa Kisasi ni cha BWANA, hivyo tumwachie yeye atatulipizia! Ila kama wewe ni wa dini za Kiafrika najua utaenda kwa akina Dr. MAJI Mafupi na huko jiandae kwa kuchonganishwa na majirani! Kama wewe ni Mkatoliki funga siku 9 ukimlilia BWANA wa majeshi akupe ishara, hakika utaona mambo makubwa!!
Pole sana kiongozi kwa kuondokewa na malaika wako MUNGU akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu!