Wachapana makonde kisa mke wangu

Wachapana makonde kisa mke wangu

Pole mkuu naelewa mke anauma sana,chamsingi zidi tuvuta subra tulia kimnya hakuna lisilo kwisha,usichukue maamuzi yoyote hasa kipindi kigumu kama hiki.
 
Kwani ushaongea na mke wako na kusikiliza jibu lake? Ongea nae kwanza ndiyo utoe maamuzi.
 
Wewe jamaa hujui uchungu wa mke yaani ukute watu wanampigania mke wako nyumbani usifanye chochote wewe wewe acha uongo wako.
 
Pedra buyer

mbona tayari unamaamuzi yaan tulia hivyohivyo mbona ni bonge la adhabu usimuulize wala kuuliza yuko wapi kaa kimya kama mna watoto ww lea watoto wako huna mke mbona huyo ni jamvi la wengi atakuua na magonjwa ,na hao ndugu wakikupigia wakisema muyamalize waambie kitu gani myaongee ,??

mkeo ukiona karudi mwenyewe mwambie arudi alikotoka tena usimpe nafasi ya kuongea au kuingia home kama umepanga hama mahala hapo haraka sana ili ashidwe mwenyewe kufika kabisa na kama unampenda mkeo basi uwe tayari kuupenda ukimwi
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine ufumbuzi upo ndani ya tukio lenyewe. Ameona aliyofanya siyo kaamua kukimbia. Sasa wewe unataka kitu gani zaidi? Huenda yupo ni mmoja wa waliokuwa wanampigania!

Ukurasa umefungwa huo, anza mwingine taratibu.
 
Mungu wangu!!!!! yani huyu ni mke wa mtu halafu anakua na mabwna wengi tena nje? ana wagombanisha as if ni kibinti amabacho kiko singo kabisa na hakina hata boyfriend???? kwa kweli hii ni kali ya karne ic..:sleepy:
 
Mimi ungekuta na nguo zake nimeshampekea akafie mbali
 
Pole sana mkuu. Mkeo ameonesha kuwa kuna udhaifu unao na anaujua thats y anaamua kuleta wanaume kwako. Tulia then Rudisha heshima ya nyumbani kwako taratibuu tu. All the best.
 
mbona tayari unamaamuzi yaan tulia hivyohivyo mbona ni bonge la adhabu usimuulize wala kuuliza yuko wapi kaa kimya kama mna watoto ww lea watoto wako huna mke mbona huyo ni jamvi la wengi atakuua na magonjwa ,na hao ndugu wakikupigia wakisema muyamalize waambie kitu gani myaongee ,??

mkeo ukiona karudi mwenyewe mwambie arudi alikotoka tena usimpe nafasi ya kuongea au kuingia home kama umepanga hama mahala hapo haraka sana ili ashidwe mwenyewe kufika kabisa na kama unampenda mkeo basi uwe tayari kuupenda ukimwi

Aisee si mchezo!,yaani nakwambia ukibaki kimya mtu lazima aogope,waswahili wanasema ''Kimya kingi kina mshindo mkuu''.
 
Back
Top Bottom