Kwani ushaongea na mke wako na kusikiliza jibu lake? Ongea nae kwanza ndiyo utoe maamuzi.
Sasa kama ameshaondoka tukushauri nini tena? Labda tukushauri umpigie simu aje kuchukua vilivyo vyake.
...si mke kakimbia na hajui alipo,anahisi yupo kwa ndugu zake ..!? ..au mi sijaelewa story nzima...
Watunzi mmekua wengi sana siku hizi humu..
Umemshauri vizuri sana japo jina lako haliendani na ushauri uliotoaTulia hivyo hivyo usiongee lolote usifuatilie mke wako atapata jibu zuri fanya shambulio la kisaikology tu atajitafuna mwenyewe punguza pressure
kama bado unampenda mkeo mrudishe nyumbani
inaskitisha,uskute wanamla hadi tigo