Ngwananzengo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2012
- 1,911
- 1,320
Msamehe mkeo na mkae kikao (cha wawili) kila mmoja afunguke mapungufu ya mwenzake then msonge mbele. Huenda kwa "ubise" wako umechochea hayo uliyoona.ukiwa busy na majukum ya kikazi huwezi jua yanayoendelea nyumbani kwako