Wachapana makonde kisa mke wangu

Wachapana makonde kisa mke wangu

Duh huyo mkeo najaribu kumvutia picha nijue anafanana vipi lakini nashindwa.Kaolewa,anamichepuko miwili,dah kwakweli anastahili kukimbia.

Anyway kwastyle yake ya maisha nadhani sio nzuri kwako,maana inaonekana bado hajawa tayari kuishi maisha ya ndoa.Jaribu kuongea nae vizuri ili aje kuchukua vitu vyake hapo nyumbani then muachie yeye jukumu la kuchagua ni mchepuko upi ataenda kuishi nao.
 
mawazo chanya,asante mkuu
 
Kweli JF kuna visa, na kama ni kweli basi nimeamini duniani kuna mambo. Halaf mke wako anakufanyia hivyo na wewe kama juha unakuja hapa kuomba ushauri!!!??
 
Kwani umeambiwa hili jukwaa LA kutolea sadaka!!?...hapa ni mahali pakupata ushauri kwa jambo linalokutatiza.Elewa binadam tunatofautiana upeo kwa kwako kama unaona no jambo la kusolve mwenyewe basi omba yakutokee ulisolve mwenyewe,kama huna cha kuchangia pita kama vile hukuona thread.
 
Mkuu tatizo lipo kwako kivipi mkeo awe na lundo la michepuko kiasi hicho? Jichunguze vizuri ndipo utoe uamzi sahihi.
 
Back
Top Bottom