Kuna utofauti wa kuchambua mpira na kuusimulia mpira uliouangalia

A swahili Kid

Member
Jan 25, 2013
39
38
Kuna utofauti mkubwa wa kuchambua ,kutumika kupenyeza ajenda za sehemu Fulani au timu fulani,kutumika muamvuli wa uchambuzi ku attack watu fulani na mwengine yanayoweza kufanana na hayo na kuusimulia mpira

Tanzania baada ya ujio wa Azam Media na kujitolea 100% kutangaza na kuonesha ligi zetu za ndani na kufanya mpira kuwa biashara na kuwa content inayouzika sana

Kumeibuka namba kubwa ya watanzania wanaojitambulisha Kama wachambuzi wa mpira wakiwa na mlengo tofauti tofauti ikiwemo kujitengenezea fursa,kitu kibaya wengi wao wanashindwa hata kutofautisha kuchambua mpira na kusimulia mpira.

Mfano,ukiangalia Supersport utamsikia mchambuzi anasema "Odegaard today have completely destroyed Spurs because he opted to receive a ball behind Spurs Defensive Midfielder.

And act right quickly before centre backs stay in a good shape,Arteta saw the distance between Spurs' centre def Midfielder and their Centre back that's why gave that role Odegaard".

Huyu ameuchambua mpira, kiasi kwamba sisi tusio uelewa tumepata at least picha hata kwa udogo ya kilichotokea

Ila wa Kibongo sasa utamsikia "Chama alikuwa kwenye ubora wake, John Bocco kawazima midomo wanaombeza😀".

"Leo Mayele amethibitisha kuwa yeye ndio anayejua kuzifumania nyavu za wapinzani na ndio mchezaji hatari kuliko wote"...Kweli huku ni kuchambua mpira au kusimulia kama tunavyosimuliana kwenye vibanda umiza??

List yangu ifuatayo ni watu pekee wenye uhalali wa kujitanabaisha kuwa ni wachambuzi wa mpira Tanzania
(1)George Ambagile (Wasafi FM)...Jamaa anajua mbinu, ufundi na vitu mbali mbali vya mpira na mara zote huvitumia hivyo kuonesha ubora na udhaifu wa wapinzani.

(2)Gharib Mzinga (Azam Media)....Kilwa finest,ana kila kitu kwenye kichwa chake 'data na detail' na anazitumia kuchanga vyema karata za chambuzi zake.

(3)Amri Kiemba (Clouds Media)....Rasta man,anauongelea mpira katika muktadha wa kiuchezaji zaidi na sio nadharia,kwake ni rahisi kukwambia hili kosa limetokana na uchovu au kutokuweka fikra uwanjani

Sio wote ambao sijawataja kuwa hawajui totally Ila Kuna ambao chambuzi zao zimepitwa na nyakati Kama Shafii Dauda,Edo Kumwembe n.k.
Screenshot_20230118-100818_1.jpg

Pia ambao chambuzi zao zipo kisiasa zaidi na sio kimpira Kama Far han,Jemedari Said n.k
Na mwisho Kuna Hawa ambao wao wanabeba ajenda za watu Fulani kwenye uchambuzi wao Kina George Job,Maulid Kitenge,James Tupa Tupa n.k

Special Appreciation:
Kuna group moja la michezo linaitwa 'DOMINIC SALAMBA SPORTS ARENA' sijui Kama bado lipo au vipi 2019 mule nilikutana na wamba Kama Nazareth Upete,Hussein Machano Renegade na Beki Kisiki kwa ujumla niliwakubali sana

Vipi maoni yenu nyinyi wanajamvi??Jamesmswahili@gmail.com
 
Uchambuzi unahitaji kujua vingi, kama formation za timu zilizotumika kwenye mchezo husika, matumizi ya wachezaji kwenye mchezo husika [ wapo wanaopewa maelekezo maalum ili kuwazuia wapinzani] hapa mchezaji anaweza kuwa mshambuliaji, lakini akarudishwa kuchezwa left/right wing back ili kupunguza makali ya mpinzani.

Bahati mbaya wachambuzi wetu wengi bongo hawana ujuzi huu, wengi huishia kutuambia matukio yaliyotokea uwanjani, kama utata wa penalti [kama mchezaji kaunawa au vinginevyo] au makosa ya waamuzi ambayo wengi tunayafahamu...
 
Kuna utofauti mkubwa wa kuchambua ,kutumika kupenyeza ajenda za sehemu Fulani au timu fulani,kutumika muamvuli wa uchambuzi ku attack watu fulani na mwengine yanayoweza kufanana na hayo na kuusimulia mpira

Tanzania baada ya ujio wa Azam Media na kujitolea 100% kutangaza na kuonesha ligi zetu za ndani na kufanya mpira kuwa biashara na kuwa content inayouzika sana

Kumeibuka namba kubwa ya watanzania wanaojitambulisha Kama wachambuzi wa mpira wakiwa na mlengo tofauti tofauti ikiwemo kujitengenezea fursa,kitu kibaya wengi wao wanashindwa hata kutofautisha kuchambua mpira na kusimulia mpira..
Mfano,ukiangalia Supersport utamsikia mchambuzi anasema "Odegaard today have completely destroyed Spurs because he opted to receive a ball behind Spurs Defensive Midfielder
And act right quickly before centre backs stay in a good shape,Arteta saw the distance between Spurs' centre def Midfielder and their Centre back that's why gave that role Odegaard"
Huyu ameuchambua mpira,kiasi kwamba sisi tusio uelewa tumepata at least picha hata kwa udogo ya kilichotokea

Ila wa Kibongo sasa utamsikia "Chama alikuwa kwenye ubora wake,John Bocco kawazima midomo wanaombeza😀"
"Leo Mayele amethibitisha kuwa yeye ndio anayejua kuzifumania nyavu za wapinzani na ndio mchezaji hatari kuliko wote"...Kweli huku ni kuchambua mpira au kusimulia kama tunavyosimuliana kwenye vibanda umiza??

List yangu ifuatayo ni watu pekee wenye uhalali wa kujitanabaisha kuwa ni wachambuzi wa mpira Tanzania
(1)George Ambagile (Wasafi FM)...Jamaa anajua mbinu,ufundi na vitu mbali mbali vya mpira na mara zote huvitumia hivyo kuonesha ubora na udhaifu wa wapinzani
(2)Gharib Mzinga (Azam Media)....Kilwa finest,ana kila kitu kwenye kichwa chake 'data na detail' na anazitumia kuchanga vyema karata za chambuzi zake
(3)Amri Kiemba (Clouds Media)....Rasta man,anauongelea mpira katika muktadha wa kiuchezaji zaidi na sio nadharia,kwake ni rahisi kukwambia hili kosa limetokana na uchovu au kutokuweka fikra uwanjani

Sio wote ambao sijawataja kuwa hawajui totally Ila Kuna ambao chambuzi zao zimepitwa na nyakati Kama Shafii Dauda,Edo Kumwembe n.k
Pia ambao chambuzi zao zipo kisiasa zaidi na sio kimpira Kama Far han,Jemedari Said n.k
Na mwisho Kuna Hawa ambao wao wanabeba ajenda za watu Fulani kwenye uchambuzi wao Kina George Job,Maulid Kitenge,James Tupa Tupa n.k

Special Appreciation:
Kuna group moja la michezo linaitwa 'DOMINIC SALAMBA SPORTS ARENA' sijui Kama bado lipo au vipi 2019 mule nilikutana na wamba Kama Nazareth Upete,Hussein Machano Renegade na Beki Kisiki kwa ujumla niliwakubali sana

Vipi maoni yenu nyinyi wanajamvi??Jamesmswahili@gmail.com
Kilaza namba ni Jemedari Said, huyu mbwiga huyu....
 
kwan
Kuna utofauti mkubwa wa kuchambua ,kutumika kupenyeza ajenda za sehemu Fulani au timu fulani,kutumika muamvuli wa uchambuzi ku attack watu fulani na mwengine yanayoweza kufanana na hayo na kuusimulia mpira

Tanzania baada ya ujio wa Azam Media na kujitolea 100% kutangaza na kuonesha ligi zetu za ndani na kufanya mpira kuwa biashara na kuwa content inayouzika sana

Kumeibuka namba kubwa ya watanzania wanaojitambulisha Kama wachambuzi wa mpira wakiwa na mlengo tofauti tofauti ikiwemo kujitengenezea fursa,kitu kibaya wengi wao wanashindwa hata kutofautisha kuchambua mpira na kusimulia mpira.

Mfano,ukiangalia Supersport utamsikia mchambuzi anasema "Odegaard today have completely destroyed Spurs because he opted to receive a ball behind Spurs Defensive Midfielder.

And act right quickly before centre backs stay in a good shape,Arteta saw the distance between Spurs' centre def Midfielder and their Centre back that's why gave that role Odegaard".

Huyu ameuchambua mpira, kiasi kwamba sisi tusio uelewa tumepata at least picha hata kwa udogo ya kilichotokea

Ila wa Kibongo sasa utamsikia "Chama alikuwa kwenye ubora wake, John Bocco kawazima midomo wanaombeza😀".

"Leo Mayele amethibitisha kuwa yeye ndio anayejua kuzifumania nyavu za wapinzani na ndio mchezaji hatari kuliko wote"...Kweli huku ni kuchambua mpira au kusimulia kama tunavyosimuliana kwenye vibanda umiza??

List yangu ifuatayo ni watu pekee wenye uhalali wa kujitanabaisha kuwa ni wachambuzi wa mpira Tanzania
(1)George Ambagile (Wasafi FM)...Jamaa anajua mbinu, ufundi na vitu mbali mbali vya mpira na mara zote huvitumia hivyo kuonesha ubora na udhaifu wa wapinzani.

(2)Gharib Mzinga (Azam Media)....Kilwa finest,ana kila kitu kwenye kichwa chake 'data na detail' na anazitumia kuchanga vyema karata za chambuzi zake.

(3)Amri Kiemba (Clouds Media)....Rasta man,anauongelea mpira katika muktadha wa kiuchezaji zaidi na sio nadharia,kwake ni rahisi kukwambia hili kosa limetokana na uchovu au kutokuweka fikra uwanjani

Sio wote ambao sijawataja kuwa hawajui totally Ila Kuna ambao chambuzi zao zimepitwa na nyakati Kama Shafii Dauda,Edo Kumwembe n.k.
View attachment 2485950
Pia ambao chambuzi zao zipo kisiasa zaidi na sio kimpira Kama Far han,Jemedari Said n.k
Na mwisho Kuna Hawa ambao wao wanabeba ajenda za watu Fulani kwenye uchambuzi wao Kina George Job,Maulid Kitenge,James Tupa Tupa n.k

Special Appreciation:
Kuna group moja la michezo linaitwa 'DOMINIC SALAMBA SPORTS ARENA' sijui Kama bado lipo au vipi 2019 mule nilikutana na wamba Kama Nazareth Upete,Hussein Machano Renegade na Beki Kisiki kwa ujumla niliwakubali sana

Vipi maoni yenu nyinyi wanajamvi??Jamesmswahili@gmail.com
kwangu list yangu bora ya wachambuzi wa mpira wa miguu Tanzania imebaki kuwa hii: 1. MWALIMU TEOGENES ALEX KASHASHA 2. NAZARETH UPETE 3. AMRI KIEMBA hawa jamaa ni finest at all cost mpaka sasa.
 
kuna mmoja anasimulia pale ITV Kila jumatatu asubuhi jamaa hamna kitu kabisa... anatoa maoni wao wanamwita mchambuzi
ndekio ajitafakari sana
 
Upo sahihi wala usiwe na hofu hao watatu uliowataja ndo wachambuzi wa mpira hao wengine kuna waandishi wa habari za michezo na watangazaji wa habari za michezo ila wamejipa uchambuzi.

Mtu kama edo, shaffih na yule dogo farhan waandishi wa mambo ya mpira ila uchambuzi hawajui kabisa ni wasimuliaji tu wanaouangalia mpira kama mimi ninavoutazama.

Mtu kama james tupa, job,ahmed abdallah hao ni watangazi tu wa habari za michezo.

Mtu kama jemedari na oruma ni watu wa propaganda na hutumika na watu fulan kupnyeza agenda zao ktk mpira kiufupi ni watu wa hovyo ambao wanapaswa kuondolewa ktk uchambuzi wakatangaze taarifa ya habri huko
 
Back
Top Bottom