jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,989
- 22,521
Hata sijui unaongea vitu gani? Ni sehemu gani nchini hakuna watu matajiri na masikini wanaoishi wilaya moja? Hivi mnatumia nini kufikiri wakati mnaandika? Daah! Nani aliyesema Moshi yote wachagga ni matajiri? Umeenda vyema kasoro hapo mwanzo, na hiyo ni kwasababu ya ujuwaji tu na kudandia treni ya ujinga. Safari njema!Wachaga wale ambao wanaishi na kufanya shughuli zao kule kwao Moshi ni wa kawaida kabisa na wanakunywa sana pombe aina ya mbege. Ni maskini tu na ardhi haiwatoshi.
Wachaga waliotoka Moshi na kwenda kutafuta sehemu nyingine ni wajasiri sana lakini hawana upendo na Wanainchi wanaowakuta kule zaidi ya kuwanyonya na kuwa matajiri.
Mchaga anajua uchumi na hata anapokunywa anatumia sehemu tu ya faida yake na si mtaji.
Wachaga wanatumia pesa nyingi sana kwenye sherehe na misiba kuliko kabila lolote Tz lakini wanajua kutafuta zingine.
Soma Katika Biblia takatifu kuhusu mgawo wa DINARI kumi.
Hawa watu waliogawiwa dinari hizi wengine walizalisha, wengine walihifadhi, wengine waizichezea.
Katika watu hawa kuna wliokuwa na hulka za Kichaga, Kizaramo, Kisukuma nk.
Binadamu tumeumbwa tuwe na tabia tofauti ili tuweze kuishi. Wote tungekuwa matajiri maisha yasingewezekana.
Binadamu tumezaliwa na baadaye kifo ili tuweze kuishi. Kama kungekuwa hakuna kifo tusingeweza kuishi katika Dunia hii.