Wachagga wanaiba na kukopa ili wafanye biashara, sisi tunaiba na kukopa ili tufanye sherehe.

Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
44,580
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
44,580 2,000
Ni wiki ya pili Sasa mtaani kwetu Kuna sherehe, jamaa kafunga mtaa, anatulisha na kutunywesha. Mabufee ni kuanzia asubuhi hadi usiku.
Leo niomeona kwenye gazeti, jamaa mfanya sherehe anatafutwa na Polisi kwa kumuibia mwajiri wake.
GuDume nakutafuta sana
 
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
20,886
Points
2,000
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
20,886 2,000
Wachaga wale ambao wanaishi na kufanya shughuli zao kule kwao Moshi ni wa kawaida kabisa na wanakunywa sana pombe aina ya mbege. Ni maskini tu na ardhi haiwatoshi.
Wachaga waliotoka Moshi na kwenda kutafuta sehemu nyingine ni wajasiri sana lakini hawana upendo na Wanainchi wanaowakuta kule zaidi ya kuwanyonya na kuwa matajiri.
Mchaga anajua uchumi na hata anapokunywa anatumia sehemu tu ya faida yake na si mtaji.
Wachaga wanatumia pesa nyingi sana kwenye sherehe na misiba kuliko kabila lolote Tz lakini wanajua kutafuta zingine.
Soma Katika Biblia takatifu kuhusu mgawo wa DINARI kumi.
Hawa watu waliogawiwa dinari hizi wengine walizalisha, wengine walihifadhi, wengine waizichezea.
Katika watu hawa kuna wliokuwa na hulka za Kichaga, Kizaramo, Kisukuma nk.
Binadamu tumeumbwa tuwe na tabia tofauti ili tuweze kuishi. Wote tungekuwa matajiri maisha yasingewezekana.
Binadamu tumezaliwa na baadaye kifo ili tuweze kuishi. Kama kungekuwa hakuna kifo tusingeweza kuishi katika Dunia hii.
Hata sijui unaongea vitu gani? Ni sehemu gani nchini hakuna watu matajiri na masikini wanaoishi wilaya moja? Hivi mnatumia nini kufikiri wakati mnaandika? Daah! Nani aliyesema Moshi yote wachagga ni matajiri? Umeenda vyema kasoro hapo mwanzo, na hiyo ni kwasababu ya ujuwaji tu na kudandia treni ya ujinga. Safari njema!
 
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
20,886
Points
2,000
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
20,886 2,000
mkuu mchaga alishawahi kukuibia? ulimpeleka kwenye vyombo vya kisheria? nauliza hili swali kwa sababu kumekuwa na tuhuma nyingi hapa nchini kwamba wachaga ni wezi, lakini nchi hii ina mahakama na vyombo vingine vya kisheria nashangaa hao wezi hawapelekwi huko, TABIA SIYO YA KABILA BALI NI HULKA YA MTU, hamna kabila hapa nchini ambalo hamna wezi, nenda magerezani unipe takwimu za wafungwa wezi wa kichaga, nina uhakika haina tofauti na idadi ya wafungwa wezi wa makabila menine, HUU UBAGUZI NI WANINI?
Hivi mkuu unadhani hii nchi iko hapa kwasababu gani? Wajinga watakuwa ni wengi ndo maana. We shangaa jinchi tajiri kupindukia kwa rasilimali, lakini rasilimali watu ni sawa tu na #BureKabisa
 
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2007
Messages
20,886
Points
2,000
jmushi1

jmushi1

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2007
20,886 2,000
Ungekuwa na hiyo hekima usingeandika udaku wa aina hii.
Eti mtu kafanya sherehe mtaani, halafu Wachagga ni wezi.
Sasa hapo umetafakari nini na busara yako ipo wapi?
Mtu kufanya sherehe ina logical sequence gani kwamba Wachagga ni wezi?
Kukujua kwamba wewe ni fukara sihitaji kukujua sura, bali maandishi tuu yanaashiria uduni ulio nao.
Wazee wa blah blah! Hapo wako fit kishenzi yani.
 

Forum statistics

Threads 1,303,525
Members 500,948
Posts 31,484,597
Top