Wachagga wanaiba na kukopa ili wafanye biashara, sisi tunaiba na kukopa ili tufanye sherehe.

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
48,821
2,000
Ni wiki ya pili Sasa mtaani kwetu Kuna sherehe, jamaa kafunga mtaa, anatulisha na kutunywesha. Mabufee ni kuanzia asubuhi hadi usiku.
Leo niomeona kwenye gazeti, jamaa mfanya sherehe anatafutwa na Polisi kwa kumuibia mwajiri wake.
GuDume nakutafuta sana
 
Aikambee

JF-Expert Member
Sep 27, 2017
3,994
2,000
Mnajitapa Sana ndo maana yanawakuta haya.
Tumejitapa wapi sisi tupo busy na maisha yetu.

Ninashangaa kuna watu wanawashwa sijui wapi yaani akikaa kidogo tu anawaza Wachagga.

Mara wanakopa, mara wanaiba. Sasa huo ni ujinga
 
Kyachakiche

JF-Expert Member
Feb 16, 2009
979
250
Basil Pesambili Mramba, Daniel Yona, Mama Anna Mkapa, Alex Massawe just to mention the few
Weka data sawa mkuu. Kwamba Mramba aliba kiasi hiki na kiasi hicho kimemfanya akawa tajiri hivi....., Kwa taarifa yako Yona si Mchaga, Hivyo hivyo utoe za Mama Mkapa na Alex Massawe, kuishia kutaja tu ni sawa na wale waliotajwa Mwembe Yanga na Dr. Slaa kama unakumbuka. Kwenye list ile wachaga walikuwa wangapi vile....!
 
instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
6,777
2,000
Tumejitapa wapi sisi tupo busy na maisha yetu.

Ninashangaa kuna watu wanawashwa sijui wapi yaani akikaa kidogo tu anawaza Wachagga.

Mara wanakopa, mara wanaiba. Sasa huo ni ujinga
Hebu search Moshi humu jf utapata nyuzi kibao za kujitapa.tena mnajitapa Kwa kuponda makabila mengine hapo ndipo tatizo linapoanzia
 
Aikambee

JF-Expert Member
Sep 27, 2017
3,994
2,000
Hebu search Moshi humu jf utapata nyuzi kibao za kujitapa.tena mnajitapa Kwa kuponda makabila mengine hapo ndipo tatizo linapoanzia
Sasa ulitaka tukipondwa tunyamaze???

Ukiniponda kikabila, na mimi ninakunyuka kama ulivyokuja.

Jino kwa jino!
 
cute b

JF-Expert Member
Aug 14, 2014
17,127
2,000
Shida ya ukosefu wa ardhi kwao ndio imewapa akili sababu hawana kwa kukimbilia inabidi wachacharike.Nchi zote zenye uhaba wa ardhi watu huchacharika Sana mfano Ni jirani zetu Kenya.Makabila yenye ardhi na usalama wa chakula huwa hawachachariki Sana sababu wana uhakika wa kula na kulala hats Kama Hana hata shilingi Mia mfukoni
Mbona ardhi ipo au mimi mgeni
 
cute b

JF-Expert Member
Aug 14, 2014
17,127
2,000
Wachaga wabahili mno Yuko tayari anywe pombe ya milioni Lakini akifika kuoza mtoto anapita kila nyumba kuomba mchango wa kuozesha usipotoa anakununia Hadi Basi.Tofauti Ni kuwamakabila mengine wanafanya sherehe kwa pesa zao wakati wachaga wanafanya sherehe kwa pesa za donors.Yaani Hadi anayeolewa anajisikia vibaya.
Dhubutu yako.
Wachaga wana vikundi vingi sana vya sherehe na kufa na kuzikana.
So sherehe inapotokea ni hela zinatoka tuu.
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
22,314
2,000
Maisha ni kwa ajili ya nafsi. Na kwa kuwa maisha ni mafupi kwann nijitese kwa kujinyima halafu niwekeze wajanja wanakuja kujipigia kiulainiiiii.

Marehemu Mengi si ameacha matirioni, yanamsaidia nn?

Maisha ni leo na kwa ajili ya mtafutaji tu.
Akili mbovu kabisa hii
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
22,314
2,000
Una inferiority complex nenda kwa mama Hogan mapema kabla haijadevelop na kuwa ukiwa
Wewe ndiyo mwenye inferiority complex. Maneno meengi lakini thinking capacity ni below zero. Yani imeshuka hadi negative na ni infinity! Watu wengine stupid kabisa. No wonder hii nchi iko hapa. Jinga kabisa
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
22,314
2,000
Wachaga wabahili mno Yuko tayari anywe pombe ya milioni Lakini akifika kuoza mtoto anapita kila nyumba kuomba mchango wa kuozesha usipotoa anakununia Hadi Basi.Tofauti Ni kuwamakabila mengine wanafanya sherehe kwa pesa zao wakati wachaga wanafanya sherehe kwa pesa za donors.Yaani Hadi anayeolewa anajisikia vibaya.
Mnawazungumzia wachagga wa nchi gani? Akili yako ni tope kabisa
 
mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Jan 4, 2016
424
500
Yeah jamaa wana sayansi ya maisha, nawakubali japo wana ubaguz sana km sio mtu wa pande zao huko.
Mchaga anaweza akajenga jumba yake nzuri, anapangisha anapata kodi hlf yeye anaenda kupanga nyumba nafuu.
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
22,314
2,000
Shida ya ukosefu wa ardhi kwao ndio imewapa akili sababu hawana kwa kukimbilia inabidi wachacharike.Nchi zote zenye uhaba wa ardhi watu huchacharika Sana mfano Ni jirani zetu Kenya.Makabila yenye ardhi na usalama wa chakula huwa hawachachariki Sana sababu wana uhakika wa kula na kulala hats Kama Hana hata shilingi Mia mfukoni
Kwahiyo uhaba wa ardhi umeanza lini na wachagga wameanza lini kuwa na akili? Una hoja za kijinga kabisa!#BureKabisa
 
Top Bottom