majeshi 1981
JF-Expert Member
- Dec 7, 2013
- 2,090
- 812
Huwezi kulewa kama huna hela, na hela haiokotwi inatafutwa kufa na kupona! TUNALEWA KWA HELA ZETU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kulewa kama huna hela, na hela haiokotwi inatafutwa kufa na kupona! TUNALEWA KWA HELA ZETU.
Mnajitapa Sana ndo maana yanawakuta haya.
Weka data sawa mkuu. Kwamba Mramba aliba kiasi hiki na kiasi hicho kimemfanya akawa tajiri hivi....., Kwa taarifa yako Yona si Mchaga, Hivyo hivyo utoe za Mama Mkapa na Alex Massawe, kuishia kutaja tu ni sawa na wale waliotajwa Mwembe Yanga na Dr. Slaa kama unakumbuka. Kwenye list ile wachaga walikuwa wangapi vile....!Basil Pesambili Mramba, Daniel Yona, Mama Anna Mkapa, Alex Massawe just to mention the few
Hebu search Moshi humu jf utapata nyuzi kibao za kujitapa.tena mnajitapa Kwa kuponda makabila mengine hapo ndipo tatizo linapoanziaTumejitapa wapi sisi tupo busy na maisha yetu.
Ninashangaa kuna watu wanawashwa sijui wapi yaani akikaa kidogo tu anawaza Wachagga.
Mara wanakopa, mara wanaiba. Sasa huo ni ujinga
Hebu search Moshi humu jf utapata nyuzi kibao za kujitapa.tena mnajitapa Kwa kuponda makabila mengine hapo ndipo tatizo linapoanzia
Kwenye serikali ya sssa hawapo kabisa.Wachagga ni akili kubwa sana.
Hazina ya taifa
Mbona ardhi ipo au mimi mgeniShida ya ukosefu wa ardhi kwao ndio imewapa akili sababu hawana kwa kukimbilia inabidi wachacharike.Nchi zote zenye uhaba wa ardhi watu huchacharika Sana mfano Ni jirani zetu Kenya.Makabila yenye ardhi na usalama wa chakula huwa hawachachariki Sana sababu wana uhakika wa kula na kulala hats Kama Hana hata shilingi Mia mfukoni
Vibaya mno, lakini bado tupo imara.Inayopingwa kila kona na serikali
Dhubutu yako.Wachaga wabahili mno Yuko tayari anywe pombe ya milioni Lakini akifika kuoza mtoto anapita kila nyumba kuomba mchango wa kuozesha usipotoa anakununia Hadi Basi.Tofauti Ni kuwamakabila mengine wanafanya sherehe kwa pesa zao wakati wachaga wanafanya sherehe kwa pesa za donors.Yaani Hadi anayeolewa anajisikia vibaya.
Lakini still we are indestructibleKwenye serikali ya sssa hawapo kabisa.
Akili mbovu kabisa hiiMaisha ni kwa ajili ya nafsi. Na kwa kuwa maisha ni mafupi kwann nijitese kwa kujinyima halafu niwekeze wajanja wanakuja kujipigia kiulainiiiii.
Marehemu Mengi si ameacha matirioni, yanamsaidia nn?
Maisha ni leo na kwa ajili ya mtafutaji tu.
Typical bongoBasil Pesambili Mramba, Daniel Yona, Mama Anna Mkapa, Alex Massawe just to mention the few
Wewe ndiyo mwenye inferiority complex. Maneno meengi lakini thinking capacity ni below zero. Yani imeshuka hadi negative na ni infinity! Watu wengine stupid kabisa. No wonder hii nchi iko hapa. Jinga kabisaUna inferiority complex nenda kwa mama Hogan mapema kabla haijadevelop na kuwa ukiwa
Mnawazungumzia wachagga wa nchi gani? Akili yako ni tope kabisaWachaga wabahili mno Yuko tayari anywe pombe ya milioni Lakini akifika kuoza mtoto anapita kila nyumba kuomba mchango wa kuozesha usipotoa anakununia Hadi Basi.Tofauti Ni kuwamakabila mengine wanafanya sherehe kwa pesa zao wakati wachaga wanafanya sherehe kwa pesa za donors.Yaani Hadi anayeolewa anajisikia vibaya.
Kwahiyo uhaba wa ardhi umeanza lini na wachagga wameanza lini kuwa na akili? Una hoja za kijinga kabisa!#BureKabisaShida ya ukosefu wa ardhi kwao ndio imewapa akili sababu hawana kwa kukimbilia inabidi wachacharike.Nchi zote zenye uhaba wa ardhi watu huchacharika Sana mfano Ni jirani zetu Kenya.Makabila yenye ardhi na usalama wa chakula huwa hawachachariki Sana sababu wana uhakika wa kula na kulala hats Kama Hana hata shilingi Mia mfukoni