Hii ni kali kuliko zote humu, jf jokes…

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
MASAWE (wa utani) alitaka amgonge (si gari) MANKA (wa utani) ki1 cha fasta fasta ofisini kwao kisha ampatie hela elfu10.
MANKA akagoma!
MASAWE: Nitafanya fasta darling, nitaweka HELA sakafuni wewe ukiinama tu kuokota, mi ntakuwa nimemaliza.
MANKA akaomba ushauri kwa Boyfriend wake Mr. CHUWA (wa utani).
CHUWA: USIACHE HELA Manka!? Mwambie atoe elfu50 kisha okota fasta kabla hajavua eeh mae.
Chuwa akasubiri dakika 45 KIMYA. Akaamua kumpigia MANKA. MANKA akajibu ndio kwanza nimekota nusu kwani MASAWE kaweka CHENJI CHENJI…. (zilikuwa sarafu za hamsini hamsini tu)
THE END…
:hurt::lalala:
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom