Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,491
- Thread starter
- #221
Kumbuka pia Kuna kuwaishwa ufike makazi ya milele mkishapata gari, nyumba na watoto wawili
Sio kweli mkuu
Kumbuka pia Kuna kuwaishwa ufike makazi ya milele mkishapata gari, nyumba na watoto wawili
SureTwende mbele turudi nyuma hilo kabila la kichaga litabaki kuwa juu sana hasa kwa wanawake wa kabila hilo, kwanini nasema wachaga wanafaa kuolewa??... Wakuu dada wakichaga wanapiga sana kazi wanajituma hawa viumbe htr, kumkuta dada wa kichaga hajishughulishi ni nadra sana. Mwanaume ukioa hilo kabila jiandae kuwa tajir soon.
Wanawake wa kichaga wanajua kupenda jaman ukimpata aliekupenda utafurahi, hawana tabia za kimalaya kama makabila mengine akitulia katulia otherwise wewe mwanaume uwe hueleweki.
mwanamke wangu ni moja alochangia mpaka nikapanga japo nilikua sina kazi na nilipanga alinipa sana moyo wa kupambana mpaka now niko vizuri.
Nimefanya research yangu nikagundua wanawake wa kichaga ndo wanaongoza kwa kuolewa why?? Wanaume tunatafuta stability kwenye ndoa na sio mbwembwe za 6x6. Tunapenda mwanamke anayejituma, nenda mavyuoni utaona dada anaeuza boxa, bikini, macava ya cm, ubuyu wengi ni wakichaga.
Tukitoa kasoro zote zingine walizonazo ila hawa viumbe wanafaa kuolewa usiangalie sijui magogo, hawako romantic, wachaga watabak kuwa juu sana hasa kwa upande wa kina dada, huo ndo ukweli.
NOTE: Wachaga hawezi kuwa na wewe kama akiona huna future yoyte hawa wanawake huwa wanaweza kuona mbeleni wewe life ako itakuaje. Utamfanyia yote ila atavumilia.
Tatizo lako unadhani maisha bora ji kuwa tajiri.. Njoo Tanga tukuelekeze

Hujaoa Siku ukioa ,utaelewa amani ya Ndoa haiko huko. Kujituma bila amani ndani ya nyumba ni kazi Bure , kifo kinawanyemelea wote wawili.Twende mbele turudi nyuma hilo kabila la kichaga litabaki kuwa juu sana hasa kwa wanawake wa kabila hilo, kwanini nasema wachaga wanafaa kuolewa??... Wakuu dada wakichaga wanapiga sana kazi wanajituma hawa viumbe htr, kumkuta dada wa kichaga hajishughulishi ni nadra sana. Mwanaume ukioa hilo kabila jiandae kuwa tajir soon.
Wanawake wa kichaga wanajua kupenda jaman ukimpata aliekupenda utafurahi, hawana tabia za kimalaya kama makabila mengine akitulia katulia otherwise wewe mwanaume uwe hueleweki.
mwanamke wangu ni moja alochangia mpaka nikapanga japo nilikua sina kazi na nilipanga alinipa sana moyo wa kupambana mpaka now niko vizuri.
Nimefanya research yangu nikagundua wanawake wa kichaga ndo wanaongoza kwa kuolewa why?? Wanaume tunatafuta stability kwenye ndoa na sio mbwembwe za 6x6. Tunapenda mwanamke anayejituma, nenda mavyuoni utaona dada anaeuza boxa, bikini, macava ya cm, ubuyu wengi ni wakichaga.
Tukitoa kasoro zote zingine walizonazo ila hawa viumbe wanafaa kuolewa usiangalie sijui magogo, hawako romantic, wachaga watabak kuwa juu sana hasa kwa upande wa kina dada, huo ndo ukweli.
NOTE: Wachaga hawezi kuwa na wewe kama akiona huna future yoyte hawa wanawake huwa wanaweza kuona mbeleni wewe life ako itakuaje. Utamfanyia yote ila atavumilia.
Joe Kusaga
Paskal Maya
Pou Makonda
Mwakyembe
List ni ndefu sana
Ukitaka mke tajiri oa mchaga
Hahaahahahahaha mwana umetishaTatizo ni
Hawajui mapishi mtoa mada ushawahi ona chapati ya binti wa kichaga ?
Ni magogo kitandani in short hawajitumi
Hawapo romantic kabisa
La mwisho na ambalo ni la umuhimu ni hawana chura
Wewe dizaini ya wale wanaume unaacha elf 2 alafu unakula nyama uulizi imetoka wapiutakua ni choko la pemba kama hujaelewa nilichokimaanisha.
mi naachaga hela kwa mke wangu na mke wako.Wewe dizaini ya wale wanaume unaacha elf 2 alafu unakula nyama uulizi imetoka wapi
Huyo kukotoa meno n roho sio issue,wakorofi n wababe sanaOngezea na Wameru hapo mkuu.
Tukutane hugos bill juu yangu na kitochiBado miezi 6 tukaulizwe mwaka huu tumewekeza wapi. Hakuna muda wa kupoteza kabisa
Wacha tupambane
Tatizo ni
Hawajui mapishi mtoa mada ushawahi ona chapati ya binti wa kichaga ?
Ni magogo kitandani in short hawajitumi
Hawapo romantic kabisa
La mwisho na ambalo ni la umuhimu ni hawana chura
Twende mbele turudi nyuma hilo kabila la kichaga litabaki kuwa juu sana hasa kwa wanawake wa kabila hilo, kwanini nasema wachaga wanafaa kuolewa??... Wakuu dada wakichaga wanapiga sana kazi wanajituma hawa viumbe htr, kumkuta dada wa kichaga hajishughulishi ni nadra sana. Mwanaume ukioa hilo kabila jiandae kuwa tajir soon.
Wanawake wa kichaga wanajua kupenda jaman ukimpata aliekupenda utafurahi, hawana tabia za kimalaya kama makabila mengine akitulia katulia otherwise wewe mwanaume uwe hueleweki.
mwanamke wangu ni moja alochangia mpaka nikapanga japo nilikua sina kazi na nilipanga alinipa sana moyo wa kupambana mpaka now niko vizuri.
Nimefanya research yangu nikagundua wanawake wa kichaga ndo wanaongoza kwa kuolewa why?? Wanaume tunatafuta stability kwenye ndoa na sio mbwembwe za 6x6. Tunapenda mwanamke anayejituma, nenda mavyuoni utaona dada anaeuza boxa, bikini, macava ya cm, ubuyu wengi ni wakichaga.
Tukitoa kasoro zote zingine walizonazo ila hawa viumbe wanafaa kuolewa usiangalie sijui magogo, hawako romantic, wachaga watabak kuwa juu sana hasa kwa upande wa kina dada, huo ndo ukweli.
NOTE: Wachaga hawezi kuwa na wewe kama akiona huna future yoyte hawa wanawake huwa wanaweza kuona mbeleni wewe life ako itakuaje. Utamfanyia yote ila atavumilia.
Unayajua mashetani ya kimeru wewe?![]()
report ya leo ubaoniChampagnee, hii habari ni wewe umeandika au ni huyo mchaga wako? nakupa miaka miwili kuanzia sasa kuna uzi mwingine utakuja nao wenye jina "WANAWAKE WA KICHAGA HAWAFAI"
Kufanya kazi na kujituma ni utamaduni wao, wao wako tayari kutafuta pesa kwa njia yoyote ile kuanzia kudanga, kafara, tambiko, kuiba, kuua Mume, kugeuza mtoto taahira, nk nk.
Wao ndio wanao ongoza kwa kuolewa hapa mjini, na ndio hao hao waliobadirisha takwimu za talaka, Wengi wanaolewa wengi wana achika.
Hawa ndio wanao ongoza kutelekeza familia (mume na watoto), na kwenda kupanga au kuhamia kwake.
Hawa ni wale wanawake aina ya "ALFA FEMALES" -Nenda google tabia zao.
Kifupi hawa watu wana tabia hizi:
Hawashauriki,
Ni katili(wengi sura ni za kigaidi hivi)
Ni watesaji wa hisia,
Wakosoaji, na walalamishi sana,ni watu wa kunung'unika kila kitu,
Ni watu wa kunena mauti zaidi kuliko Baraka,
watu wa kujilinganisha sana na wengine,
Ni washauri wazuri lakini hawaishi kama ushauri wao,
Ni washindani na wapinzani kwenye ndoa,
wanaongoza kwa kumtaja Mungu kila mara lakini ni ukoo mmoja na shetani
Ndugu wa mwanamke ndio waamuzi wa maisha yenu ya ndoa,
upendo ni wa mwisho baada ya pesa (hapa hakuna romance/wanawake baridi),
KAMA UNATAKA KUWA NA NDOA NGUMU.basi endeleeni kuoa huko,
bango ni kubwa ishi mpka maxDunia nzima hakuna mchaga mvivu.
Sisi wachaga ni waisraeli weusi. Jamii yetu ni jamii ya watu wenye akili nyingi sana
Sawasawa mkuuTukutane hugos bill juu yangu na kitochi