Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

Tatizo ni

Hawajui mapishi mtoa mada ushawahi ona chapati ya binti wa kichaga ?


Ni magogo kitandani in short hawajitumi


Hawapo romantic kabisa




La mwisho na ambalo ni la umuhimu ni hawana chura

Dah bahati nzuri haya ni mazungumzo ambayo sio serious, otherwise ningesikitika sana na uwezo wako wa akili 😅
 
Tatizo ni

Hawajui mapishi mtoa mada ushawahi ona chapati ya binti wa kichaga ?


Ni magogo kitandani in short hawajitumi


Hawapo romantic kabisa




La mwisho na ambalo ni la umuhimu ni hawana chura
Sanchi mwenyewe mchaga, Hana chura?? Wachaga wanachura mnoo na wapo vizuri Sana
 
subiri siku moja wakupuzishe kwa sir God kwaajili ya kutaka umiliki wa mali na ukiwa huko kuzimu utaturejea mrejesho
Twende mbele turudi nyuma hilo kabila la kichaga litabaki kuwa juu sana hasa kwa wanawake wa kabila hilo, kwanini nasema wachaga wanafaa kuolewa?. Wakuu dada wakichaga wanapiga sana kazi wanajituma hawa viumbe htr, kumkuta dada wa kichaga hajishughulishi ni nadra sana. Mwanaume ukioa hilo kabila jiandae kuwa tajir soon.

Wanawake wa kichaga wanajua kupenda jaman ukimpata aliekupenda utafurahi, hawana tabia za kimalaya kama makabila mengine akitulia katulia otherwise wewe mwanaume uwe hueleweki.

mwanamke wangu ni moja alochangia mpaka nikapanga japo nilikua sina kazi na nilipanga alinipa sana moyo wa kupambana mpaka now niko vizuri.

Nimefanya research yangu nikagundua wanawake wa kichaga ndo wanaongoza kwa kuolewa why?? Wanaume tunatafuta stability kwenye ndoa na sio mbwembwe za 6x6. Tunapenda mwanamke anayejituma, nenda mavyuoni utaona dada anaeuza boxa, bikini, macava ya cm, ubuyu wengi ni wakichaga.

Tukitoa kasoro zote zingine walizonazo ila hawa viumbe wanafaa kuolewa usiangalie sijui magogo, hawako romantic, wachaga watabak kuwa juu sana hasa kwa upande wa kina dada, huo ndo ukweli.

NOTE: Wachaga hawezi kuwa na wewe kama akiona huna future yoyte hawa wanawake huwa wanaweza kuona mbeleni wewe life ako itakuaje. Utamfanyia yote ila atavumilia.
 
subiri siku moja wakupuzishe kwa sir God kwaajili ya kutaka umiliki wa mali na ukiwa huko kuzimu utaturejea mrejesho
Kwamba wanaume wengine ambao hawajaoa uchagan huwa hawafi kabisaaa, acha hizo hamna mtu wa kukuua shida tu zinatosha kumaliza sio binadamu mwenzio
 
Me naaamin mbele ya mafanikio hakuna kabila!! Hawa wachaga sio wote wametajirika na sio wote wapiga kazi. Kwanza ni wanywaji, wauaji wachawi, pia wabaguzi haya hujayaona?
 
Back
Top Bottom