Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

mimi naona lofa ni mwanaume anaechekacheka wakati wanaume wenzake wakiwa wanajadili mambo muhimu. punguza ULOFA we jamaa mwanaume hachekicheki hovyo utakua shimeli.
Shimeli ndo nini? Halafu mambo muhimu unayojadili ni kuoa mchagga? Punguza uvivu mkubwa .
 
Sitegemei kusaidiwa maisha na mwanamke. Uchapa kazi wa mwanamke siyo kipaumbele katuka kuoa kwangu. So, mwnamke awe kabila lolote, nachotaka kwake ni kufuata maelekezo yangu katika familia yangu.
 
Naunga mkono hoja. Kila mtu kwente ndoa naturally ana majukumu yake. Mwanaume kazi yako ni kutafuta riziki na mwanamke ni kumfurahisha mumewe na kuihudumia familia.

Ukidevela jukumu lako ukampa mwanamke jua lazima uendeshwe tu. Vijana wengi wanaoogopa majukumu wakakimbilia kuoa wanawake wenye kazi nzuri, biashara nzuri, au kuoa kwa kigezo cha "mwanamke wa kuniletea maendeleo" wamejikuta wanapoteza uhuru wao kwa wake zao.

Na hii inajionesha wazi kwa wake wa kichaga. % kubwa ya wanaume wanaooa wachaga kwa kigezo hicho wamejikuta wamepoteza sana uanaume wao. Yani mwanamke anakupiga gear vibaya. Mwanamke ndo ana sauti kiasi kwamba hata ndugu zako kuja kwako mkeo ndo anaamua.

Nafikiri sote tuna watu tunaowajua waliooa aina hii ya wachaga na mnaona jinsi hawa wanaume wao wanavyokuwa watumwa.

Ya nini kuwa boya eti kisa mwanamke anajua kutafuta?? Wanaume tujisimamie tutafute hela, la sivyo tutaishia kuendeshwa tu
Kuna jamaa moja alioa bar maid wa kichaga, wakafungua biashara mtaji wa jamaa. Sasa hivi jamaa haongei mbele ya bar maid na demu anaendesha gari Kali. Na washikaji wanapiga shoo kama kawaida. Mda si mrefu yatankuta mleta uzi
 
mbona umetoa macho? mke anaweza kukuletea mafanikio hata kama hafanyi kazi. kitendo cha yeye kukutia moyo na kukukumbusha kuhusu kujenga au kununua fanicha kunasaidia mwanaume kutojisahau na kupoteza hela kwenye ulabu.

wanawake wa kichaga wanasaidia kuleta maendeleo kwenye familia kwasababu ukishakua nae unajua kabisa nini kinatarajiwa kutoka kwako aidha na yeye au na baba mkwe wako.

N.B: mke wangu ni mchaga.
Utakuwa mpumbavu wa kiwango cha Barbara ya mwendo kasi kama unategemea mwanamke akukumbushe kufanya maendeleo.
 
Mademu wa kichaga wanamvuto/uzuri, makuzi ya kujitambua na kujisimamia, ukimdate akipenda atafukunyua vivutio vya ndoa vipo?, Kama vipo wanajikoki kweli, akili ya maendeleo wanayo, kuhusu ndugu na mahusiano ya kindugu hayo kama mume kabila tofauti mjipange kujuana mapema vinginevyo utaoa mke tu undugu wa pande zote sio lazima, Ndugu yangu kaoa Mchaga hakika anajuta na anashobo za vitu tayari mke shoo za nje anacheza za kichaga na etc, anatumia sana kichaka cha kwaya pale KKT kuu, kurudi home anavotaka. niseme huu wasifu usiwe wa kuwatenga binafsi mademu wa kichaga 98% Ni ndoano za hatari kikubwa akili kichwani. Usipovutiwa kimahaba na mademu wa kichaga basi umemezeshwa sumu ya punyetoza!
 
.
Twende mbele turudi nyuma hilo kabila la kichaga litabaki kuwa juu sana hasa kwa wanawake wa kabila hilo, kwanini nasema wachaga wanafaa kuolewa??... Wakuu dada wakichaga wanapiga sana kazi wanajituma hawa viumbe htr, kumkuta dada wa kichaga hajishughulishi ni nadra sana. Mwanaume ukioa hilo kabila jiandae kuwa tajir soon.

Wanawake wa kichaga wanajua kupenda jaman ukimpata aliekupenda utafurahi, hawana tabia za kimalaya kama makabila mengine akitulia katulia otherwise wewe mwanaume uwe hueleweki.

mwanamke wangu ni moja alochangia mpaka nikapanga japo nilikua sina kazi na nilipanga alinipa sana moyo wa kupambana mpaka now niko vizuri.

Nimefanya research yangu nikagundua wanawake wa kichaga ndo wanaongoza kwa kuolewa why?? Wanaume tunatafuta stability kwenye ndoa na sio mbwembwe za 6x6. Tunapenda mwanamke anayejituma, nenda mavyuoni utaona dada anaeuza boxa, bikini, macava ya cm, ubuyu wengi ni wakichaga.

Tukitoa kasoro zote zingine walizonazo ila hawa viumbe wanafaa kuolewa usiangalie sijui magogo, hawako romantic, wachaga watabak kuwa juu sana hasa kwa upande wa kina dada, huo ndo ukweli.

NOTE: Wachaga hawezi kuwa na wewe kama akiona huna future yoyte hawa wanawake huwa wanaweza kuona mbeleni wewe life ako itakuaje. Utamfanyia yote ila atavumilia.
Mahaba niue...! Umeoa mwanamke mmoja tu wa kichaga na umekuja na mtazamo wa namna hi, huu nao ni ujuha!
 
.

Mahaba niue...! Umeoa mwanamke mmoja tu wa kichaga na umekuja na mtazamo wa namna hi, huu nao ni ujuha!

Nmedate na wachaga 4 mpaka sasa wote sijaona mwenye shida ila mm ndo nilikua shida asee. Inshort nabahat na wachaga
 
Tatizo lako unadhani maisha bora ji kuwa tajiri.. Njoo Tanga tukuelekeze

Back
Top Bottom