Mr Attorney
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,536
- 34,680
unaelewa tofauti ya traditions vs customs ?Mzee sahv interactions zimesaidia hv mchaga alokulia dar utacompare na alokulia uchagan??
unaelewa tofauti ya traditions vs customs ?Mzee sahv interactions zimesaidia hv mchaga alokulia dar utacompare na alokulia uchagan??
Kupika siyo kipaji ni kufundishwa kipaji ktk kupika mhhh sijui...sasa inawezekanaje wanawake wengi wa Pwani wawe na kipaji kimoja hahahaaaKupika ni kipaji kama vingine hiyo shortcouse yako madaftari yatarudi nyumbani makabatini
unaelewa tofauti ya traditions vs customs ?
Kupika siyo kipaji ni kufundishwa kipaji ktk kupika mhhh sijui...sasa inawezekanaje wanawake wengi wa Pwani wawe na kipaji kimoja hahahaaa
pole maharage naweza kupika mimi na akapika mwengine yangu yakawa matamu kuliko ya huyo mwengine au hujui hilo .. so wanawake wa pwani kipaji chao kupika tu ?! Na nyie wachaga wanawake zenu vyao kutafuta pesa au wana kingine ?!
pole na hobby pia jumlisha hata aende kusoma Vipi kama sio hobby yake ataacha tu madaftari yatajaa vumbi atarudi kukupikia macharari na dada wakazi atasonga ugali na mchicha Kila siku ndio ratibaAlafu wana akili sana.
Wengi HAWANA UTEGEMEZI KWA WANAUME.
Huyu wangu Hana tabia ya kuomba omba hela
Yeye umpe usimpe sawa.
Yeye mwenyewe fighter

Mkuu mchaga wangu Mimi tulikutana sina kitu kabisa na kwetu kulikuwa ni fukara. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mpaka niliogopa nitampelekaje kwetu maana alitaka akapaone na wazazi kabla ya Mimi kwenda kwao. Ikabidi nimwambie ukweli kuwa kwetu ni hakuna kitu zaidi ya nyumba ya udongo imeezekwa majani. Mimi ndiyo nilikuwa nimemaliza Chuo na yeye akiwa Chuo mwaka wa pili. Tulipofika kwetu sikuamini macho yangu kwa jinsi alivyochangamkia wazazi, ndugu na majirani. Ilipofika jioni nikamwambia tuondoke tukalale guest akakataa akasema atalala hapo wanapolala dada ZANGU na Mimi nilale hapo ninapolala siku zote. Daaaah yaani nikikumbuka huwa tunacheka sana. Sasa ikafika zamu yangu kwenda kwao kusalimia tu bila hata kupeleka barua (niseme kwao wanathamini mtu kuliko hizo barua). Niipofika sikuamini nilichokikuta maana kwao walikuwa na nyumba ya block self contained kijijini na umeme na maji. Kaka zake pia walijenga nyumba za block na zimefungwa maana wanaishi mijini. Kifupi eneo lako lilijengwa na mmoja alikuwa amejenga ghorofa. Kilichonishamgaza zaidi ni kwamba siku zote nilizokuwa naye kabla ya kwenda kwao hakuwahi kuelezea utajiri wa kwao.Hao wachagga wa wapi ambao mmeoa kwao? Nachojua mchagga kama ukoo wenu wenyewe hamnaga Line za kupiga hela ni ngumu sana kudumu nao.
Mchaga anapenda mahali penye uhakika wa pesa! Hata kama huna ila uwe na network ya kuzipata hela soon. Ukiwa kapuku mchaga utamuona iddi amini tu kwa ile harsh treatment atakayokupa.
Mimi sijafa na nilianzia Sifuri na sasa niko maisha tofauti mno. Yaani kifupi tuko vizuri. Acheni fikra potofu. Wenzeni kila Jumamosi ndoa zinazofungwa makanisani asilimia kubwa wanawake ni wachaga wanaolewa na makabila mengine ikiwemo wachaga wenzao. Jiulize ni kwa nini.Ipo hiyo... nilwahi onyeshwa nyumba kadhaa pale Moshi, kama unaelekea RAU kushoto kwako.. zipo nyumba zina wamama na watoto pekee, inasemekana wababa WALISHATANGULIZWA MBELE ZA HAKI...
Mkuu you are very lucky ulipata mwanamke ambaye amepata malezi sahihi ya wazazi. Amefunzwa nidhamu, utu na ustaarabu wa kuishi na jamii inayomzunguka.Mkuu mchaga wangu Mimi tulikutana sina kitu kabisa na kwetu kulikuwa ni fukara. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mpaka niliogopa nitampelekaje kwetu maana alitaka akapaone na wazazi kabla ya Mimi kwenda kwao. Ikabidi nimwambie ukweli kuwa kwetu ni hakuna kitu zaidi ya nyumba ya udongo imeezekwa majani. Mimi ndiyo nilikuwa nimemaliza Chuo na yeye akiwa Chuo mwaka wa pili. Tulipofika kwetu sikuamini macho yangu kwa jinsi alivyochangamkia wazazi, ndugu na majirani. Ilipofika jioni nikamwambia tuondoke tukalale guest akakataa akasema atalala hapo wanapolala dada ZANGU na Mimi nilale hapo ninapolala siku zote. Daaaah yaani nikikumbuka huwa tunacheka sana. Sasa ikafika zamu yangu kwenda kwao kusalimia tu bila hata kupeleka barua (niseme kwao wanathamini mtu kuliko hizo barua). Niipofika sikuamini nilichokikuta maana kwao walikuwa na nyumba ya block self contained kijijini na umeme na maji. Kaka zake pia walijenga nyumba za block na zimefungwa maana wanaishi mijini. Kifupi eneo lako lilijengwa na mmoja alikuwa amejenga ghorofa. Kilichonishamgaza zaidi ni kwamba siku zote nilizokuwa naye kabla ya kwenda kwao hakuwahi kuelezea utajiri wa kwao.
Baadaye nikawa na hofu huenda akikumbuka hali ya kwetu ataniacha. Lakini ndiyo kwanza mapenzi yalizidi na alipomaliza Chuo tukafunga ndoa wakati huo nikiwa nimeajiriwa. Nilipopata tu kazi kabla ya kuoana aliniambia nisimpe pesa yoyote bali tuanze ujenzi kijijini na ndani ya mwaka nilijenga nyumba ya kufikia ya kawaida. Leo hii Ile nyumba ni kama stoo maana tumeshajenga kasri kijijini pia. Yaliyobaki mengine na maendeleo ya familia ni historia. Kwanza pia wanawake wa kichaga ni walezi wazuri sana kwa watoto maana wanawajenga kisaikolojia toka wadogo kuwa maisha ni kupigana kufa kupona kuanzia elimu. Sijutii mafanikio ya wanangu kielimu na maisha. Her role to them is super.
Hivyo ukiniambia wachaga ni wabaya huwa sitakaa nikuelewe maana wamebadili maisha na mtizamo wangu na ukoo wangu mzima. NILISEMA hapo awali kuwa marafiki na ndugu zangu wote walioa wachaga baada yangu na hawajutii. Na kwa utajiri walio nao bado hawajauliwa na hao wachaga. Na Mimi vijana wangu wa kike na kiume waliishia huko huko nilikoanzia Mimi. Natamani na kizazi changu kitakachofuata kiwe huko huko kwa wachaga wenye ubongo uliotimilifu.
Hio sio imani ni reality.Yeah ila siamin hvo vitu
Sure mkuu ila kikubwa ni kumtanguliza Mungu kwa kila kitu hasa kumuomba akupe mwenza sahihi ambaye mtarejebishana kwa upole. Nikuhakikishie tu kuwa maisha ya ndoa siyo asali kila siku kuna wakati mtatofautiana ila kama mkiwa wanandoa marafiki basi mtafanikiwa. Upendo wa dhati na kukataa vishawishi ndiyo muhimu mno.Mkuu you are very lucky ulipata mwanamke ambaye amepata malezi sahihi ya wazazi. Amefunzwa nidhamu, utu na ustaarabu wa kuishi na jamii inayomzunguka.
Ni baadhi ya mabinti wakichaga wanakuwaga na roho nzuri sana namna hio. Ila wale ambao wamekosa malezi bora ndio wamejaa ubinafsi na makidai.
Kikubwa nikupe hongera sana mkuu maana umepata mke haswa. Mwanamke anayeweza kukutia moyo namna hio ukiwa deadbroke kwa zama za leo ni wachache sana. Ila we umepata mke ambaye amekuelewa na akakupenda kweri..kweriii ~in magus voice 🤣🤣🤣
Binafsi nimeshadate na mtoto mmoja wa kichaga. She was the sweetest ever toka nimeanza mambo ya mapenzi, very loyal.. ila still wengine ni manyang'au tu!
Kikubwa ni malezi na familia aliyotoka sio njaa njaa. Wanawake wengi much know na wale wanaotokea familia masikini.
Sure mkuu ila kikubwa ni kumtanguliza Mungu kwa kila kitu hasa kumuomba akupe mwenza sahihi ambaye mtarejebishana kwa upole. Nikuhakikishie tu kuwa maisha ya ndoa siyo asali kila siku kuna wakati mtatofautiana ila kama mkiwa wanandoa marafiki basi mtafanikiwa. Upendo wa dhati na kukataa vishawishi ndiyo muhimu mno.

Kuna jamaa yangu mha , yaani akisikia una date na mchaga huwa anaogopa kiasi cha kuhisi unakufa muda wowote uleMkuu you are very lucky ulipata mwanamke ambaye amepata malezi sahihi ya wazazi. Amefunzwa nidhamu, utu na ustaarabu wa kuishi na jamii inayomzunguka.
Ni baadhi ya mabinti wakichaga wanakuwaga na roho nzuri sana namna hio. Ila wale ambao wamekosa malezi bora ndio wamejaa ubinafsi na makidai.
Kikubwa nikupe hongera sana mkuu maana umepata mke haswa. Mwanamke anayeweza kukutia moyo namna hio ukiwa deadbroke kwa zama za leo ni wachache sana. Ila we umepata mke ambaye amekuelewa na akakupenda kweri..kweriii ~in magus voice
Binafsi nimeshadate na mtoto mmoja wa kichaga. She was the sweetest ever toka nimeanza mambo ya mapenzi, very loyal.. ila still wengine ni manyang'au tu!
Kikubwa ni malezi na familia aliyotoka sio njaa njaa. Wanawake wengi much know na wale wanaotokea familia masikini.
ExactlyNi bahati tu uipate... Vinginevyo wapo ambao muda huu wanalia na wengine walishakata pumzi.
AiseeTatizo ni
Hawajui mapishi mtoa mada ushawahi ona chapati ya binti wa kichaga ?
Ni magogo kitandani in short hawajitumi
Hawapo romantic kabisa
La mwisho na ambalo ni la umuhimu ni hawana chura
Nice oneMkuu mchaga wangu Mimi tulikutana sina kitu kabisa na kwetu kulikuwa ni fukara. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Mpaka niliogopa nitampelekaje kwetu maana alitaka akapaone na wazazi kabla ya Mimi kwenda kwao. Ikabidi nimwambie ukweli kuwa kwetu ni hakuna kitu zaidi ya nyumba ya udongo imeezekwa majani. Mimi ndiyo nilikuwa nimemaliza Chuo na yeye akiwa Chuo mwaka wa pili. Tulipofika kwetu sikuamini macho yangu kwa jinsi alivyochangamkia wazazi, ndugu na majirani. Ilipofika jioni nikamwambia tuondoke tukalale guest akakataa akasema atalala hapo wanapolala dada ZANGU na Mimi nilale hapo ninapolala siku zote. Daaaah yaani nikikumbuka huwa tunacheka sana. Sasa ikafika zamu yangu kwenda kwao kusalimia tu bila hata kupeleka barua (niseme kwao wanathamini mtu kuliko hizo barua). Niipofika sikuamini nilichokikuta maana kwao walikuwa na nyumba ya block self contained kijijini na umeme na maji. Kaka zake pia walijenga nyumba za block na zimefungwa maana wanaishi mijini. Kifupi eneo lako lilijengwa na mmoja alikuwa amejenga ghorofa. Kilichonishamgaza zaidi ni kwamba siku zote nilizokuwa naye kabla ya kwenda kwao hakuwahi kuelezea utajiri wa kwao.