Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,432
- 746
Kweli
Heading na kilichomo ndani ya post ni tofauti kabisa, "Wachaga watabaki kuwa wake bora"---- je Wachaga wote ni wanawake???
Champagnee, hii habari ni wewe umeandika au ni huyo mchaga wako? nakupa miaka miwili kuanzia sasa kuna uzi mwingine utakuja nao wenye jina "WANAWAKE WA KICHAGA HAWAFAI"
Kufanya kazi na kujituma ni utamaduni wao, wao wako tayari kutafuta pesa kwa njia yoyote ile kuanzia kudanga, kafara, tambiko, kuiba, kuua Mume, kugeuza mtoto taahira, nk nk.
Wao ndio wanao ongoza kwa kuolewa hapa mjini, na ndio hao hao waliobadirisha takwimu za talaka, Wengi wanaolewa wengi wana achika.
Hawa ndio wanao ongoza kutelekeza familia (mume na watoto), na kwenda kupanga au kuhamia kwake.
Hawa ni wale wanawake aina ya "ALFA FEMALES" -Nenda google tabia zao.
Kifupi hawa watu wana tabia hizi:
Hawashauriki,
Ni katili(wengi sura ni za kigaidi hivi)
Ni watesaji wa hisia,
Wakosoaji, na walalamishi sana,ni watu wa kunung'unika kila kitu,
Ni watu wa kunena mauti zaidi kuliko Baraka,
watu wa kujilinganisha sana na wengine,
Ni washauri wazuri lakini hawaishi kama ushauri wao,
Ni washindani na wapinzani kwenye ndoa,
wanaongoza kwa kumtaja Mungu kila mara lakini ni ukoo mmoja na shetani
Ndugu wa mwanamke ndio waamuzi wa maisha yenu ya ndoa,
upendo ni wa mwisho baada ya pesa (hapa hakuna romance/wanawake baridi),
KAMA UNATAKA KUWA NA NDOA NGUMU.basi endeleeni kuoa huko,
sijajua wanawake wakichaga ndo wanaleta pesa au mmana hii mada tungo tata kwahyo mtoa mada unashawishi watu waoe mwanamke wa kichaga sababu ww wako ni mchaga sio ?sasa nn hapo kuoa mchaga kwasabavu anajua kutafuta pesa au ww mwanaume ndo jukumu lako kutafuta pesa na maendeleo umarioo mbya sana mkuu acha kampeni za kitoto kuwa makabila mengne sio huo ni umama.
Wanafanya u hustlee mzee utoboe,



Umekubali kuingia king.bango ni kubwa ishi mpka max
Kama umeajiriwa anakufundisha kuiba hukopia usisahau![]()
Wachaga hoyeee![]()
Mkuu huko sio kabisa mademu zao ni wababe kinoma labda ukute kakulia mjini ila stil kama haja changanya damu zote toka meru lazima ndani mkoromeane kama wote maselaOngezea na Wameru hapo mkuu.
Huyu wa kwangu ni mchanganyiko wa Mmeru na mchaga mkuu.Mkuu huko sio kabisa mademu zao ni wababe kinoma labda ukute kakulia mjini ila stil kama haja changanya damu zote toka meru lazima ndani mkoromeane kama wote masela
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huko sio kabisa mademu zao ni wababe kinoma labda ukute kakulia mjini ila stil kama haja changanya damu zote toka meru lazima ndani mkoromeane kama wote masela
Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa nakupinga kabisa.. nina mchaga wangu hapa anapika balaa! Hata vyakula nilivyokuwa sivipendelei hapo awali, sasa hivi ni my favourites foodTatizo ni
Hawajui mapishi mtoa mada ushawahi ona chapati ya binti wa kichaga ?
Ni magogo kitandani in short hawajitumi
Hawapo romantic kabisa
La mwisho na ambalo ni la umuhimu ni hawana chura
Hapa nakupinga kabisa.. nina mchaga wangu hapa anapika balaa! Hata vyakula nilivyokuwa sivipendelei hapo awali, sasa hivi ni my favourites food