Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

Tatizo ni

Hawajui mapishi mtoa mada ushawahi ona chapati ya binti wa kichaga ?


Ni magogo kitandani in short hawajitumi


Hawapo romantic kabisa




La mwisho na ambalo ni la umuhimu ni hawana chura
Ww unaoa ili ule chapat?
Kwenye ndoa kuna direction mbili tu..? Unataka mke.wa kukuletea mafanikio. Au wa kukata viuno kitandani.
 
Dunia nzima hakuna mchaga mvivu.

Sisi wachaga ni waisraeli weusi. Jamii yetu ni jamii ya watu wenye akili nyingi sana
Kuna mtu anachuki na wachaga Ila naona umekuwa wa kwanza kumtetea
 
Twende mbele turudi nyuma hilo kabila la kichaga litabaki kuwa juu sana hasa kwa wanawake wa kabila hilo, kwanini nasema wachaga wanafaa kuolewa??... Wakuu dada wakichaga wanapiga sana kazi wanajituma hawa viumbe htr, kumkuta dada wa kichaga hajishughulishi ni nadra sana. Mwanaume ukioa hilo kabila jiandae kuwa tajir soon.

Wanawake wa kichaga wanajua kupenda jaman ukimpata aliekupenda utafurahi, hawana tabia za kimalaya kama makabila mengine akitulia katulia otherwise wewe mwanaume uwe hueleweki.

mwanamke wangu ni moja alochangia mpaka nikapanga japo nilikua sina kazi na nilipanga alinipa sana moyo wa kupambana mpaka now niko vizuri.

Nimefanya research yangu nikagundua wanawake wa kichaga ndo wanaongoza kwa kuolewa why?? Wanaume tunatafuta stability kwenye ndoa na sio mbwembwe za 6x6. Tunapenda mwanamke anayejituma, nenda mavyuoni utaona dada anaeuza boxa, bikini, macava ya cm, ubuyu wengi ni wakichaga.

Tukitoa kasoro zote zingine walizonazo ila hawa viumbe wanafaa kuolewa usiangalie sijui magogo, hawako romantic, wachaga watabak kuwa juu sana hasa kwa upande wa kina dada, huo ndo ukweli.

NOTE: Wachaga hawezi kuwa na wewe kama akiona huna future yoyte hawa wanawake huwa wanaweza kuona mbeleni wewe life ako itakuaje. Utamfanyia yote ila atavumilia.
Naona kichaa kaamua

Hii ni self hate...usikute kuna wadada wazuri kabisa kabila unalotoka ila ulivyo mlamba matako ya wachagga utadharau dada zako

This shows unatoka jamii iliyo nyuma sana mpaka unaona jamii ingine ni bora kuliko yako uliyopo.

I dont respect anybody who despises his own blood,ni ukichaa!
 
Back
Top Bottom