Naunga mkono hoja. Kila mtu kwente ndoa naturally ana majukumu yake. Mwanaume kazi yako ni kutafuta riziki na mwanamke ni kumfurahisha mumewe na kuihudumia familia.Kha yaani nioe gogo kitandani eti kisa wachapa kazi na wanahangaikia future... Sory cant do that... Job namba moya ya mwanamke ni kukata viuno vizuri hayo ya kuweka future vizuri is upon me the man.
mbona umetoa macho? mke anaweza kukuletea mafanikio hata kama hafanyi kazi. kitendo cha yeye kukutia moyo na kukukumbusha kuhusu kujenga au kununua fanicha kunasaidia mwanaume kutojisahau na kupoteza hela kwenye ulabu.Mke wa kukuletea mafanikio!! [emoji15][emoji15][emoji15]
mbona umetoa macho? mke anaweza kukuletea mafanikio hata kama hafanyi kazi. kitendo cha yeye kukutia moyo na kukukumbusha kuhusu kujenga au kununua fanicha kunasaidia mwanaume kutojisahau na kupoteza hela kwenye ulabu.
wanawake wa kichaga wanasaidia kuleta maendeleo kwenye familia kwasababu ukishakua nae unajua kabisa nini kinatarajiwa kutoka kwako aidha na yeye au na baba mkwe wako.
N.B: mke wangu ni mchaga.
Niliyemtolea macho kuna kitu nilielewa kwake, kuletewa mafanikio sio hiyo uliyodadavua wewe... inasaundi vizuri ila haitegemei uchaga.
Kwa mujibu wa hitimisho lako, umeoa mchaga... basi uko ‘biased’.
Twende mbele turudi nyuma hilo kabila la kichaga litabaki kuwa juu sana hasa kwa wanawake wa kabila hilo, kwanini nasema wachaga wanafaa kuolewa??... Wakuu dada wakichaga wanapiga sana kazi wanajituma hawa viumbe htr, kumkuta dada wa kichaga hajishughulishi ni nadra sana. Mwanaume ukioa hilo kabila jiandae kuwa tajir soon.
Wanawake wa kichaga wanajua kupenda jaman ukimpata aliekupenda utafurahi, hawana tabia za kimalaya kama makabila mengine akitulia katulia otherwise wewe mwanaume uwe hueleweki.
mwanamke wangu ni moja alochangia mpaka nikapanga japo nilikua sina kazi na nilipanga alinipa sana moyo wa kupambana mpaka now niko vizuri.
Nimefanya research yangu nikagundua wanawake wa kichaga ndo wanaongoza kwa kuolewa why?? Wanaume tunatafuta stability kwenye ndoa na sio mbwembwe za 6x6. Tunapenda mwanamke anayejituma, nenda mavyuoni utaona dada anaeuza boxa, bikini, macava ya cm, ubuyu wengi ni wakichaga.
Tukitoa kasoro zote zingine walizonazo ila hawa viumbe wanafaa kuolewa usiangalie sijui magogo, hawako romantic, wachaga watabak kuwa juu sana hasa kwa upande wa kina dada, huo ndo ukweli.
NOTE: Wachaga hawezi kuwa na wewe kama akiona huna future yoyte hawa wanawake huwa wanaweza kuona mbeleni wewe life ako itakuaje. Utamfanyia yote ila atavumilia.
Dogo fanya chochote halali report ya mwaka ikae vyema. Tuna miezi6 bado inatoshaa
Dada zangu wako vizuri sema kuna baadhi humu wanawapinga tuu bure hawajajuaTwende mbele turudi nyuma hilo kabila la kichaga litabaki kuwa juu sana hasa kwa wanawake wa kabila hilo, kwanini nasema wachaga wanafaa kuolewa??... Wakuu dada wakichaga wanapiga sana kazi wanajituma hawa viumbe htr, kumkuta dada wa kichaga hajishughulishi ni nadra sana. Mwanaume ukioa hilo kabila jiandae kuwa tajir soon.
Wanawake wa kichaga wanajua kupenda jaman ukimpata aliekupenda utafurahi, hawana tabia za kimalaya kama makabila mengine akitulia katulia otherwise wewe mwanaume uwe hueleweki.
mwanamke wangu ni moja alochangia mpaka nikapanga japo nilikua sina kazi na nilipanga alinipa sana moyo wa kupambana mpaka now niko vizuri.
Nimefanya research yangu nikagundua wanawake wa kichaga ndo wanaongoza kwa kuolewa why?? Wanaume tunatafuta stability kwenye ndoa na sio mbwembwe za 6x6. Tunapenda mwanamke anayejituma, nenda mavyuoni utaona dada anaeuza boxa, bikini, macava ya cm, ubuyu wengi ni wakichaga.
Tukitoa kasoro zote zingine walizonazo ila hawa viumbe wanafaa kuolewa usiangalie sijui magogo, hawako romantic, wachaga watabak kuwa juu sana hasa kwa upande wa kina dada, huo ndo ukweli.
NOTE: Wachaga hawezi kuwa na wewe kama akiona huna future yoyte hawa wanawake huwa wanaweza kuona mbeleni wewe life ako itakuaje. Utamfanyia yote ila atavumilia.
Nakazia mkuuOngezea na Wameru hapo mkuu.
Unayajua mashetani ya kimeru wewe? [emoji38][emoji38]Nakazia mkuu
Kha yaani nioe gogo kitandani eti kisa wachapa kazi na wanahangaikia future... Sory cant do that... Job namba moya ya mwanamke ni kukata viuno vizuri hayo ya kuweka future vizuri is upon me the man.
Acha Kufanya mambo yawe complicated .Ww unaoa ili ule chapat?
Kwenye ndoa kuna direction mbili tu..? Unataka mke.wa kukuletea mafanikio. Au wa kukata viuno kitandani.
Naona kichaa kaamua
Hii ni self hate...usikute kuna wadada wazuri kabisa kabila unalotoka ila ulivyo mlamba matako ya wachagga utadharau dada zako
This shows unatoka jamii iliyo nyuma sana mpaka unaona jamii ingine ni bora kuliko yako uliyopo.
I dont respect anybody who despises his own blood,ni ukichaa!
Kwa anayejua tafadhali:
Nini siri kwa hawa ‘warembo’ wa kichaga kuwa na umbile la kufanana.?
Eti umbo kama wahindi!
Wakina makisetu,makaaya wote nawafahamuUnayajua mashetani ya kimeru wewe? [emoji38][emoji38]
mbona umetoa macho? mke anaweza kukuletea mafanikio hata kama hafanyi kazi. kitendo cha yeye kukutia moyo na kukukumbusha kuhusu kujenga au kununua fanicha kunasaidia mwanaume kutojisahau na kupoteza hela kwenye ulabu.
wanawake wa kichaga wanasaidia kuleta maendeleo kwenye familia kwasababu ukishakua nae unajua kabisa nini kinatarajiwa kutoka kwako aidha na yeye au na baba mkwe wako.
N.B: mke wangu ni mchaga.
amna biasness hapo hizo ni facts kabisa. mi nimetembea na makabila mengi ila maendeleo nimepata na huyu mchaga wangu. wengine walibez sana kwenye mapenzi halafu mapenzi yanachuja na kiuno kinazoeleka na mwisho unakikinai.
huyu nimekuta automatically napata shauku ya kuwa successful zaidi, wale wengine akili iligota kitandani tu.
Umeongea kweli kabisa Boss.Kazi ya mwanaume ni kutafuta na kufanya shuguli za kimaendeleo?Sasa mtoa mada kwakuwa ni Mario kwa mama wa Kichagga analeta nyuzi zisizo na maanaNaunga mkono hoja. Kila mtu kwente ndoa naturally ana majukumu yake. Mwanaume kazi yako ni kutafuta riziki na mwanamke ni kumfurahisha mumewe na kuihudumia familia.
Ukidevela jukumu lako ukampa mwanamke jua lazima uendeshwe tu. Vijana wengi wanaoogopa majukumu wakakimbilia kuoa wanawake wenye kazi nzuri, biashara nzuri, au kuoa kwa kigezo cha "mwanamke wa kuniletea maendeleo" wamejikuta wanapoteza uhuru wao kwa wake zao.
Na hii inajionesha wazi kwa wake wa kichaga. % kubwa ya wanaume wanaooa wachaga kwa kigezo hicho wamejikuta wamepoteza sana uanaume wao. Yani mwanamke anakupiga gear vibaya. Mwanamke ndo ana sauti kiasi kwamba hata ndugu zako kuja kwako mkeo ndo anaamua.
Nafikiri sote tuna watu tunaowajua waliooa aina hii ya wachaga na mnaona jinsi hawa wanaume wao wanavyokuwa watumwa.
Ya nini kuwa boya eti kisa mwanamke anajua kutafuta?? Wanaume tujisimamie tutafute hela, la sivyo tutaishia kuendeshwa tu
Dada zangu wako vizuri sema kuna baadhi humu wanawapinga tuu bure hawajajua