Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

Ukitaka

Pia ukitaka wapiga kazi oa wachaga ila ukitaka wenye mapenz oa kabila lingine maana wachaga hawana mda na mapenzi wao wana mda na pesa. Kuoa ni kuchagua

Ausioo naona umekazia kabsa chagua mapenz au pesa[emoji23][emoji23]
 
Kinoma, ndio wachaga wazuri kama wazungu. Whiteeee!!! Ila zile metallic black ziko hapo machame mzee. Ni kwere

Nmebahatika kutembea na mrombo nao wapo vzr ila huyu mmarangu wa sasa ni nomaaa utasema so mchagaa mtamuu balaa ila mautundu kdg kwa bed[emoji23][emoji23]
 
Ila huwa anapata changamoto za hapa na pale.

Simply ni kwamba ukweni hapati ile heshima yaani heshima yenyewe yenyewe
Eeh Jeki si ipo ukweni.

Noma sana mzee. Mi ningekuwa msela ningemtumia manz kupata mafanikio tu pembeni kisha ndio tuoane. Hapo fedhea hazikwepeki yani.
 
Eeh Jeki si ipo ukweni.

Noma sana mzee. Mi ningekuwa msela ningemtumia manz kupata mafanikio tu pembeni kisha ndio tuoane. Hapo fedhea hazikwepeki yani.
Jamaa ni potential when it comes to creative ideas. So wanamtumia kwenye angle hiyo ila hawampi gap awe yeye kama yeye
 
Back
Top Bottom