huyo mzaramo ameajiriwa na baba mkwe wake hapo.Hizo ni very rare cases mkuu. Inatokea demu anakupenda tu. Ila huyo mzaramo lazma atakuwa na juhudi za kujikwamua sio boya.
Kujikwamua hapo vipi ?
huyo mzaramo ameajiriwa na baba mkwe wake hapo.Hizo ni very rare cases mkuu. Inatokea demu anakupenda tu. Ila huyo mzaramo lazma atakuwa na juhudi za kujikwamua sio boya.
Wachagga wameweza kugundua pesa inakupa heshima na kukufanya uwe jasiri
Wanapenda sana pombe
Waluguru mnawaogopa sana wachagaKwetu ukioa mchaga familia itaangua kilio kama kuna msiba wanajua kitakachokupata
Kmmk hio kweli nzi kufia kwenye kidonda. Au nyuki kutua kwenye makende. Ukijifanya mjuaji lazma unjoy show.huyo mzaramo ameajiriwa na baba mkwe wake hapo.
Kujikwamua hapo vipi ?
Umejuaje?Waluguru mnawaogopa sana wachaga
Waluguru ni communal society while wakina mangi ni capitalists! Lazma maumivu yawe makali.Waluguru mnawaogopa sana wachaga
Nita quote sentensi mbili kutoka kwenye statement yako.Wala sijakushambulia Una inferiority tu... mafanikio yana bahati pia sijui wewe unazungumzia mafanikio yapi ! Yes working hard lazima ila mwisho wa siku unaweza ku workhard ukaishia mafanikio ya kawaida tu ya kuendesha maisha labda kwako pia ni mafanikio... Sio mbaya pia
Maana hayo mafanikio yako sijui yamemfikia tajiri yupi na huyo mke wako wa kichaga...
Jamii za kaarabu wakezao nao ni wachaga ! Na wake zao hawafanyi kazi yoyote zaidi ya kulea na kupika tu na waume zao matajiri mabiashara makubwa
Si mawazo mafupi. Just my ideas.Kila mtu anaoa kwa sababu zake muhimi kwa mfano hauwezi jua mtoa post ana mafanikio kwa kiwango gami , unaweza kuta ana billions zipo benki na bado makampuni lukuki yanapiga kazi 24/7 sasa akioa ataoa kwa ajili ya maendeleo yapi hayo? Je kama anataka mwanamke mwenye chura+feni+ awe na mvuto ili jamaa aweze kufurahia utajiri wake kwa amani?
Usiwe na mawazo mafupi mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hayo mambo yalikua zamani sio siku hizipiga kazi pesa zikuwe mingi kwanza ndo utaelewa.
😀😀😀Waluguru ni communal society while wakina mangi ni capitalists! Lazma maumivu yawe makali.
Kashaoa na wana watoto wanne tayarii
Kmmk hio kweli nzi kufia kwenye kidonda. Au nyuki kutua kwenye makende. Ukijifanya mjuaji lazma unjoy show.
True love never bado ipo mkuu! Jamaa aoe tu aendelee kupata jeki ya maisha.
mimi naona lofa ni mwanaume anaechekacheka wakati wanaume wenzake wakiwa wanajadili mambo muhimu. punguza ULOFA we jamaa mwanaume hachekicheki hovyo utakua shimeli.Naona unatumia kila njia ili ku justify uvivu wako [emoji23][emoji23] , damn! mwanamke anatakiwa aingie ndani tena kwako na sio kwa mtu(umepanga) akute una kila kitu na bado una biashara angalau moja inayokuwana yenye kuonesha mwanga. sio anakuta unategemea kamshahara ,HUO NI ULOFA!
Ndo kama wewe sasa MVIVU mpaka ukumbushwe? Umeshindwaje kusimamia maisha yako?
N.b
Ni ulofa kukumbushwa .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hapa mjini ukitafut mke wa kuoa unakutana na wachaga.Twende mbele turudi nyuma hilo kabila la kichaga litabaki kuwa juu sana hasa kwa wanawake wa kabila hilo, kwanini nasema wachaga wanafaa kuolewa??... Wakuu dada wakichaga wanapiga sana kazi wanajituma hawa viumbe htr, kumkuta dada wa kichaga hajishughulishi ni nadra sana. Mwanaume ukioa hilo kabila jiandae kuwa tajir soon.
Wanawake wa kichaga wanajua kupenda jaman ukimpata aliekupenda utafurahi, hawana tabia za kimalaya kama makabila mengine akitulia katulia otherwise wewe mwanaume uwe hueleweki.
mwanamke wangu ni moja alochangia mpaka nikapanga japo nilikua sina kazi na nilipanga alinipa sana moyo wa kupambana mpaka now niko vizuri.
Nimefanya research yangu nikagundua wanawake wa kichaga ndo wanaongoza kwa kuolewa why?? Wanaume tunatafuta stability kwenye ndoa na sio mbwembwe za 6x6. Tunapenda mwanamke anayejituma, nenda mavyuoni utaona dada anaeuza boxa, bikini, macava ya cm, ubuyu wengi ni wakichaga.
Tukitoa kasoro zote zingine walizonazo ila hawa viumbe wanafaa kuolewa usiangalie sijui magogo, hawako romantic, wachaga watabak kuwa juu sana hasa kwa upande wa kina dada, huo ndo ukweli.
NOTE: Wachaga hawezi kuwa na wewe kama akiona huna future yoyte hawa wanawake huwa wanaweza kuona mbeleni wewe life ako itakuaje. Utamfanyia yote ila atavumilia.
Wamarangu si wazuri, na wanajijuaga!
hayo mambo yalikua zamani sio siku hizi
Hao wachagga wa wapi ambao mmeoa kwao? Nachojua mchagga kama ukoo wenu wenyewe hamnaga Line za kupiga hela ni ngumu sana kudumu nao.
Mchaga anapenda mahali penye uhakika wa pesa! Hata kama huna ila uwe na network ya kuzipata hela soon. Ukiwa kapuku mchaga utamuona iddi amini tu kwa ile harsh treatment atakayokupa.
Wangu anatokea Rombo.. Namkubali sana, sema akipiga simu nikimuuliza mzima?.. Ananijibu ninaumwa.. Nikimuuliza unaumwa nini tofauti na hela kananijibu hiyohiyo hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema namuelewa sana huyu mrombo wangu[emoji119][emoji119][emoji119]
Ipo hiyo... nilwahi onyeshwa nyumba kadhaa pale Moshi, kama unaelekea RAU kushoto kwako.. zipo nyumba zina wamama na watoto pekee, inasemekana wababa WALISHATANGULIZWA MBELE ZA HAKI...