Mimi ndiyo nina kila sababu ya kumshukuru sana Mungu kunipa mke mchaga ya. Maisha yangu na ya ndugu zangu yalibadilika kupitia yeye mama FURAHA wangu. Amenifanya niwe mtu katika jamii, niwe na kipato cha maana kinachotokana na biashara anazosimamia imara kabisa. Na kupitia yeye ndugu zangu na marafiki wote walioa wachagga. Na maisha yao ni babu kubwa. Kwanza ni wavumilivu. Kwa mwanamke wa kichaga kitu talaka huo msamiati hauko kichwani. Yeye ni kupambana na hata kama akiona mume una mapungufu fulani atakazana mpaka umuelewe. Big up my shemejis. I salute and cherish you.