Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 29,145
- 51,814
Then that for you bro. Ila usije lalama mke ni kihiyo na achangii chochote kwenye maisha yakoWa kukata viuno
'Maendeleo hayana chama'
Then that for you bro. Ila usije lalama mke ni kihiyo na achangii chochote kwenye maisha yakoWa kukata viuno
'Maendeleo hayana chama'
Kama mafanikio yangekuwa yanatafutwa nadhani kila mwanamke angekuwa tajiri.Acha Kufanya mambo yawe complicated .
Mapishi
Kitandani
Hizo package zina umuhimu wake oa aliekukonga moyo
Mafanikio yapo na yanatafutwa
Dam right.Mke wa kukuletea mafanikio!!![]()
Jia ndae kuwa kwenye kamati ya mirathiSijaoa ila mashemeji zangu wengi ni wachaga ambao wameolewa na kaka zangu.
Mirathi ya nn tena hiyo nijiandae?Jia ndae kuwa kwenye kamati ya mirathi
Shemeji zako umesemaje?Mirathi ya nn tena hiyo nijiandae?
Siwezi fanya huo ujinga mmShemeji zako umesemaje?
Dam right.
Kuna mke anaechangia kukupandisha zaid kimafanikio. Hata kama anakukuta hauna kitu.
Type hii wapo.. japo ni wachache sana.
Semanya kweli mnaweza msielewane sababu hawakubali kucheleweshwa maendeleo kizembeSi wachaga wote wazuri, nenda kaoe machame au kibosho ndio utajuwa nini maana ya mchaga
Utakula mapenzi bashwee ?Mh wachaga hawa hawa wasiojua kupika na mapenzi sifuri?
Komaa nao utakuwa tajiri kama AbrahimovichNina girlfriends wanane wote wachaga daadeq! 😂
Wamarangu si wazuri, na wanajijuaga!Wamarangu kawaida![]()
Hao wachagga wa wapi ambao mmeoa kwao? Nachojua mchagga kama ukoo wenu wenyewe hamnaga Line za kupiga hela ni ngumu sana kudumu nao.Mimi ndiyo nina kila sababu ya kumshukuru sana Mungu kunipa mke mchaga ya. Maisha yangu na ya ndugu zangu yalibadilika kupitia yeye mama FURAHA wangu. Amenifanya niwe mtu katika jamii, niwe na kipato cha maana kinachotokana na biashara anazosimamia imara kabisa. Na kupitia yeye ndugu zangu na marafiki wote walioa wachagga. Na maisha yao ni babu kubwa. Kwanza ni wavumilivu. Kwa mwanamke wa kichaga kitu talaka huo msamiati hauko kichwani. Yeye ni kupambana na hata kama akiona mume una mapungufu fulani atakazana mpaka umuelewe. Big up my shemejis. I salute and cherish you.
Endelea kuwaza hayo machura na magogo kama ndio yanakupa ugaliTatizo ni
Hawajui mapishi mtoa mada ushawahi ona chapati ya binti wa kichaga ?
Ni magogo kitandani in short hawajitumi
Hawapo romantic kabisa
La mwisho na ambalo ni la umuhimu ni hawana chura
Macho kwenye mapene.Hao wachagga wa wapi ambao mmeoa kwao? Nachojua mchagga kama ukoo wenu wenyewe hamnaga Line za kupiga hela ni ngumu sana kudumu nao.
Mchaga anapenda mahali penye uhakika wa pesa! Hata kama huna ila uwe na network ya kuzipata hela soon. Ukiwa kapuku mchaga utamuona iddi amini tu kwa ile harsh treatment atakayokupa.
Wachaga wako Loyal penye hela tu! Usijidanganye hata siku moja eti demu wa kichaga wa hapa mjini anakupenda. Wenye tru love labda wale warombo wa interior! 🤣🤣🤣Macho kwenye mapene.
Ila wachaga wanapenda hela khaaaaaa
Kuna jamaa mzaramo ameoa manzi mmachame.Wachaga wako Loyal penye hela tu! Usijidanganye hata siku moja eti demu wa kichaga wa hapa mjini anakupenda. Wenye tru love labda wale warombo wa interior! 🤣🤣🤣
Hizo ni very rare cases mkuu. Inatokea demu anakupenda tu. Ila huyo mzaramo lazma atakuwa na juhudi za kujikwamua sio boya.Kuna jamaa mzaramo ameoa manzi mmachame.
Huyo mmachame kwao mambo yapo yente ila upande wa mwamba bado life la kuunga unga.
Huoni kama wapo wanaweza kupenda upendo wa dhati regardless pesa ipo au la