Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

Wachaga watabaki kuwa wake bora daima...

Twende mbele turudi nyuma hilo kabila la kichaga litabaki kuwa juu sana hasa kwa wanawake wa kabila hilo, kwanini nasema wachaga wanafaa kuolewa??... Wakuu dada wakichaga wanapiga sana kazi wanajituma hawa viumbe htr, kumkuta dada wa kichaga hajishughulishi ni nadra sana. Mwanaume ukioa hilo kabila jiandae kuwa tajir soon.

Wanawake wa kichaga wanajua kupenda jaman ukimpata aliekupenda utafurahi, hawana tabia za kimalaya kama makabila mengine akitulia katulia otherwise wewe mwanaume uwe hueleweki.

mwanamke wangu ni moja alochangia mpaka nikapanga japo nilikua sina kazi na nilipanga alinipa sana moyo wa kupambana mpaka now niko vizuri.

Nimefanya research yangu nikagundua wanawake wa kichaga ndo wanaongoza kwa kuolewa why?? Wanaume tunatafuta stability kwenye ndoa na sio mbwembwe za 6x6. Tunapenda mwanamke anayejituma, nenda mavyuoni utaona dada anaeuza boxa, bikini, macava ya cm, ubuyu wengi ni wakichaga.

Tukitoa kasoro zote zingine walizonazo ila hawa viumbe wanafaa kuolewa usiangalie sijui magogo, hawako romantic, wachaga watabak kuwa juu sana hasa kwa upande wa kina dada, huo ndo ukweli.

NOTE: Wachaga hawezi kuwa na wewe kama akiona huna future yoyte hawa wanawake huwa wanaweza kuona mbeleni wewe life ako itakuaje. Utamfanyia yote ila atavumilia.
Wangu anatokea Rombo.. Namkubali sana, sema akipiga simu nikimuuliza mzima?.. Ananijibu ninaumwa.. Nikimuuliza unaumwa nini tofauti na hela kananijibu hiyohiyo hela sema namuelewa sana huyu mrombo wangu
 
Dam right.
Kuna mke anaechangia kukupandisha zaid kimafanikio. Hata kama anakukuta hauna kitu.
Type hii wapo.. japo ni wachache sana.

Wewe mwenyewe kama mzembe mzembe tu huwezi Kuna na hizo pesa ...
Halafu kumbuka michango mingine huja kwa bahati tu Huyu mke hausiki hata .. niambie labda baada ya kupata hizo pesa ndio azitumie hovyo na anatumiaje hovyo kama wewe mwanaume Una akili zako timamu!? Bs nawe utakua chenga
 
Ww unaoa ili ule chapat?
Kwenye ndoa kuna direction mbili tu..? Unataka mke.wa kukuletea mafanikio. Au wa kukata viuno kitandani.
Kila mtu anaoa kwa sababu zake muhimi kwa mfano hauwezi jua mtoa post ana mafanikio kwa kiwango gami , unaweza kuta ana billions zipo benki na bado makampuni lukuki yanapiga kazi 24/7 sasa akioa ataoa kwa ajili ya maendeleo yapi hayo? Je kama anataka mwanamke mwenye chura+feni+ awe na mvuto ili jamaa aweze kufurahia utajiri wake kwa amani?
Usiwe na mawazo mafupi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mwenyewe kama mzembe mzembe tu huwezi Kuna na hizo pesa ...
Halafu kumbuka michango mingine huja kwa bahati tu Huyu mke hausiki hata .. niambie labda baada ya kupata hizo pesa ndio azitumie hovyo na anatumiaje hovyo kama wewe mwanaume Una akili zako timamu!? Bs nawe utakua chenga
First of all umeshambulia my character badala ya hoja.
Ningekuwa mzembe nisingekuwa na mafanikio haya.
The fact hunijui... hoja yako ni invalid.
My point was mafanikio si bahati.. ni strategy na umakini.
Ukiwa na mtu kihiyo anakuwa mzigo kwako. Hata kama pesa unazo hatokushauri kufanya la maana. Ukiwa na mtu smart anaweza kuchagiza ukapanda mbele zaidi.
 
amna biasness hapo hizo ni facts kabisa. mi nimetembea na makabila mengi ila maendeleo nimepata na huyu mchaga wangu. wengine walibez sana kwenye mapenzi halafu mapenzi yanachuja na kiuno kinazoeleka na mwisho unakikinai.

huyu nimekuta automatically napata shauku ya kuwa successful zaidi, wale wengine akili iligota kitandani tu.
Naona unatumia kila njia ili ku justify uvivu wako , damn! mwanamke anatakiwa aingie ndani tena kwako na sio kwa mtu(umepanga) akute una kila kitu na bado una biashara angalau moja inayokuwana yenye kuonesha mwanga. sio anakuta unategemea kamshahara ,HUO NI ULOFA!
Ndo kama wewe sasa MVIVU mpaka ukumbushwe? Umeshindwaje kusimamia maisha yako?
N.b
Ni ulofa kukumbushwa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachaga wanawake wengi wana roho ya ubinafsi na wivu, kuna ndugu yangu mmoja kaoa mchaga, kazi zake hazimruhusu kurudi nyumbani kula mchana sometimes hadi usiku, huko anapopiga kazi wamechanganyika jinsia zote na muda mwingi wanaenda kula restaurant. Sasa huyo mkewe sijui alipata taarifa kutoka wapi kua ndugu yangu anaenda kula sehemu akiwa na wanawake, bila hata kufanya uchunguzi wala kuthibitisha au kumuuliza aupate ukweli akaweka kinyongo, siku moja jamaa amelala usiku akashtuka kusikia mlango wa chumbani unafunguliwa wakati kama choo kipo humo humo ndani chumbani kwao, katika ku pay attention akasikia mlango wa jikoni nao umefunguliwa, akiwa pale juu kitandani ana hamaki akashangaa kumuona mkewe amerudi na kisu anataka amchome, bahati nzuri akamuwahi na hapo akaanza kunyeshewa mvua ya matusi, kumpikia weekend akawa hataki yeye anapika anakula na watoto, kila mtu akawa analala chumba chake.
 
Kwenye umalaya nakataa
Twende mbele turudi nyuma hilo kabila la kichaga litabaki kuwa juu sana hasa kwa wanawake wa kabila hilo, kwanini nasema wachaga wanafaa kuolewa??... Wakuu dada wakichaga wanapiga sana kazi wanajituma hawa viumbe htr, kumkuta dada wa kichaga hajishughulishi ni nadra sana. Mwanaume ukioa hilo kabila jiandae kuwa tajir soon.

Wanawake wa kichaga wanajua kupenda jaman ukimpata aliekupenda utafurahi, hawana tabia za kimalaya kama makabila mengine akitulia katulia otherwise wewe mwanaume uwe hueleweki.

mwanamke wangu ni moja alochangia mpaka nikapanga japo nilikua sina kazi na nilipanga alinipa sana moyo wa kupambana mpaka now niko vizuri.

Nimefanya research yangu nikagundua wanawake wa kichaga ndo wanaongoza kwa kuolewa why?? Wanaume tunatafuta stability kwenye ndoa na sio mbwembwe za 6x6. Tunapenda mwanamke anayejituma, nenda mavyuoni utaona dada anaeuza boxa, bikini, macava ya cm, ubuyu wengi ni wakichaga.

Tukitoa kasoro zote zingine walizonazo ila hawa viumbe wanafaa kuolewa usiangalie sijui magogo, hawako romantic, wachaga watabak kuwa juu sana hasa kwa upande wa kina dada, huo ndo ukweli.

NOTE: Wachaga hawezi kuwa na wewe kama akiona huna future yoyte hawa wanawake huwa wanaweza kuona mbeleni wewe life ako itakuaje. Utamfanyia yote ila atavumilia.
 
Ukitaka
Dunia nzima hakuna mchaga mvivu.

Sisi wachaga ni waisraeli weusi. Jamii yetu ni jamii ya watu wenye akili nyingi sana
Kweli kabisa ni wapambanaji na wanapenda maendeleo, lakini pia wajane wengi ni Wachagga.... amua vema uishi vema.
Pia ukitaka wapiga kazi oa wachaga ila ukitaka wenye mapenz oa kabila lingine maana wachaga hawana mda na mapenzi wao wana mda na pesa. Kuoa ni kuchagua
 
First of all umeshambulia my character badala ya hoja.
Ningekuwa mzembe nisingekuwa na mafanikio haya.
The fact hunijui... hoja yako ni invalid.
My point was mafanikio si bahati.. ni strategy na umakini.
Ukiwa na mtu kihiyo anakuwa mzigo kwako. Hata kama pesa unazo hatokushauri kufanya la maana. Ukiwa na mtu smart anaweza kuchagiza ukapanda mbele zaidi.

Wala sijakushambulia Una inferiority tu... mafanikio yana bahati pia sijui wewe unazungumzia mafanikio yapi ! Yes working hard lazima ila mwisho wa siku unaweza ku workhard ukaishia mafanikio ya kawaida tu ya kuendesha maisha labda kwako pia ni mafanikio... Sio mbaya pia
Maana hayo mafanikio yako sijui yamemfikia tajiri yupi na huyo mke wako wa kichaga...
Jamii za kaarabu wakezao nao ni wachaga ! Na wake zao hawafanyi kazi yoyote zaidi ya kulea na kupika tu na waume zao matajiri mabiashara makubwa
 
Back
Top Bottom