Mangi Mlay
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 5,743
- 7,091
- Thread starter
-
- #101
Kuzaliwa na kuuona Mlima Kilimanjaro ukikua ni bahati sana unakuwa na vision na matumaini makubwa, tofauti na wenzetu wamezaliwa wakiona mawe yanakaribia kuangukia nyumbaTayari mbege imeanza kufanya kazi. Uko kata 🥤 🥛 ya ngapi vile
Na tofauti yao ni ipi😅Kuna wakikuyu Tanzania miongoni mwa "Wachagga"
Wako blended humo, Wakikuyu, Wakamba, Wataita wote wapo ndaniKuna wakikuyu Tanzania miongoni mwa "Wachagga"
Ni kweli tunamshukuru kwakuwa hakuthubutu kugusa ardhi yetu kwenye Ujamaa wake uliofailPunguza Konyagi kijana.
Kwanza katika jamii iliyotakiwa kila ikiamka asubuhi inamshukuru Nyerere ni "Wachagga"
Unashangaa hilo kwani Wayahudi kwa miaka 2000 si mpaka 1949 ndiyo wamepata nchi yao? Kule USA wako wayahudi wengi kuliko Israel na wanakila ushawishi lakini hawajawahi kuwa na Rais MuyahudiTaifa teule halijawai kutoa hata raia no.1, Mnazidiwa hata na watu wa pwani.
Punguzeni bangi akina Mangi
Umewahi kutoka nje ya Tanzania ukaenda mataifa yaliyoendelea ya G7?IQ ya 120 unaenda kuwa barmaid tena unabambiwa na madogo janja wa maduarani(wale wachaga niliwashangaa tena kuna muhitimu wa chuo pendwa cha Dodoma hapo ndio nguvu ziliisha kabisa).Kwahiyo hii ndio akili kubwa ya wachaga sio?
Miaka ya nyuma wakati mshua akiwa primary walipewa daftari zenye nembo hitoLeo hii kabila gani walishafikia hatua ya kuwa na Bunge lao, Bendera yao na mipango yao kama Wachaga chini ya Chaga Development Manifesto
Ardhi yenu ipi?Ni kweli tunamshukuru kwakuwa hakuthubutu kugusa ardhi yetu kwenye Ujamaa wake uliofail
Ndio unataka kusemajeUmewahi kutoka nje ya Tanzania ukaenda mataifa yaliyoendelea ya G7?
Acheni vangi na konyagi basi, angalu mfanane na babu zenu.Wako blended humo, Wakikuyu, Wakamba, Wataita wote wapo ndani
Kama umewahi huwezi kushangaa Graduate kufanya kazi ya waiter ama waitress wakati anasubiri kupata ajira rasmi.Ndio unataka kusemaje
Wapi Tanzania unaweza ukalinganisha maendeleo na Uchagani? Wapi pataje? Hebu subiri December uone hiyo exdous ilivyokubwa na ufahari wao wakienda kwaoAcheni vangi na konyagi basi, angalu mfanane na babu zenu.
Mmekuwa na akili za kamasi kabisa.
Nadhani kwasasa ndio uchaggani kuna kizazi cha ovyoooo ever kilichowahi kutokea.
DNA inakataaWachaga ni wamasai asilimia 60,hizo nyingine ni kabila nyingine
Mwisho wa wachaga ni akisha miliki Nyumba mbili na bar au gest house na gari la kutembelea na bastora basi kamaliza kinachofuatia ni kushinda kwenye mabaa na kujisifia na kuwatisha mafukara na masikini mtaani kwake basi ...hiyo ndiyo inakuwa the beginning and the end of harakati za mchaga ndiyo maana ni ngumu kukuta tajiri mkubwa wa kichagaUkikaa ukatafakari sana unagundua Wachaga siyo kabila la kawaida ni Taifa teule.
Mungu aliwakusanya watu kutoka sehemu mbalimbali toka Shungwaya Ethiopia, Congo, Cameroon, Uganda, na wengine toka kusini huko umbali hadi Zimbabwe akawakusanya Kilimanjaro.
Akawaweka chini ya ule Mlima mkuu akawagawa katika Koo zaidi ya 720, akawapa Wamangi wawaongoze na lahaja tofauti, akawatenganisha kwa mabonde ya mito akawabariki.
Hakuna tena Africa kabila lililofikia leval ya kuwa Taifa kama Wachaga
Nyerere mwenyewe hakuthubutu kuanzisha vijiji vya ujamaa kule
Nchi ile iliyobarikiwa Wajerumani walipokuja walifurahia system iliyokuwepo na kuiendeleza hiyo hiyo.
IQ za wachaga ni 120 wakati Watanzania wengine ni 60
Ukifika leo Uchagani unaona kabisa hawa kweli ni Taifa Tofauti.
Watu waliokuwa na Bendera yao, mipango yao na chini ya KDC
Wengine mlikusanywa kama Kondoo kwenye operation vijiji. Umewahi kusikia kijiji cha Ujamaa Uchagani?Ardhi yenu ipi?
Mna ardhi??
Aligusa ardhi ya nani?
Nyie kwasasa mnimaishi ardhi ya nani?
Tofauti kubwa sana na Makabila yenu Wazee wanageuka ombaomba na kuwekwa kwenye Makambi ya Wazee. Angalia hata kiwango cha wanufaika wa Tasaf Tanzania linganisha Kilimanjaro na kwengineMwisho wa wachaga ni akisha miliki Nyumba mbili na bar au gest house na gari la kutembelea na bastora basi kamaliza kinachofuatia ni kushinda kwenye mabaa na kujisifia na kuwatisha mafukara na masikini mtaani kwake basi ...hiyo ndiyo inakuwa the beginning and the end of harakati za mchaga ndiyo maana ni ngumu kukuta tajiri mkubwa wa kichaga
Kwahiyo hapa unataka kutetea nini kwamba IQ ya huyo mtu ni kubwa au ndogo.IQ sio kutaja tu ,tunataka ionekane in a practical situation.Kazi za kuhuduma bar(barmaid) inahitaji low level of cognitive abilities ndio maana ukisema mtu mwenye IQ ya 120 anahudumu bar ntakushangaa.Kitu ambacho hujui hata haya mataifa unasema G7 wapumbavu wapo tena wengi sema wanamezwa na wenye akili wachacheKama umewahi huwezi kushangaa Graduate kufanya kazi ya waiter ama waitress wakati anasubiri kupata ajira rasmi.
Ila kwa nyie Iq ndogo mwanamke anatakiwa awe kahaba tu wakati amemaliza chuo