Wachaga ni Taifa Teule

Wachaga ni Taifa Teule

Status
Not open for further replies.
Ziko DRC na Burundi ila siyo kila shirika kubwa linatakiwa kuvuka mipaka ndio liwe kubwa
Ok hamna shida.Kwahiyo ukubwa kwako ni nini? kuhudumia clients wa ndani tu bila kutanua wigo wa kibiashara?Kwamba CRDB lengo lao ni kuendelea kudominate tu ndani basi ndio dhima yao kibiashara?(kama ni hivyo ndio maana kweli wachanga ni superordinate katika hizi taasisi)
 
Mrombo akiongea.

Mmachame akiongea.

Kila mmoja azungumze kivyao.

Wanaelewana???
Nimeshakuambia hawafanani Ila haikup ushahidi kuwa sio kabila moja,

Sisi hatuna shida ninyi ndo mnataka tufanane na ninyi kitu ambacho sio ?

Wachaga wanaundwa na jamii baadhi ambazo ndani yake, ambao wanatofautiana lugha, rangi, plus hata mionekano yao....

Sasa ukiforce tuwe km wapare sio hiyo ilishatokea,, ni basi....

Km mtu afe utake afufuke ni big no
 
Kwahiyo kina Urio wakiongea wanaweleana na Wamasai??
Urio ,ya rombo , marangu , kibosho , uru , meru na kwa wamasai wote hawaelewani wakiongea ila asili yao ni moja .

Kuna wapare mcharo na kuna wachaga mcharo
Kuna wapare ngowo na kuna wachaga ngowo

Kuna wapare mshanga na kuna wachaga mshanga

Kuna wapare mndeme na kuna wachaga ndeme

Kuna wachaga ndosi na kuna wa meru ndosi

Kuna wakikuyu minja na kuna wachaga minja

Kuna wakikuyu mboya na kuna wachaga mboya

Kuna wataita minja na kuna wachanga wakikiyu na wakamba minja
 
Mzee ulizia kitu inaitwa KNCU toka 1950s wanajenga shule achana na kujenga kwa kodi kuliko anza juzi.
KNCU si chama cha ushirika au unaongelea hipi kiongozi?kama ni shirika lilikuwa lina operate indepently au lilikuwa chini ya serikali?Haya mashirika mbona mengi yapo chini ya serikali mfano KCU,ilikuwaje lenu likamilikiwa na wachaga?naomba muongozo kidogo naweza nikawa nimepotea hapa
 
Ok hamna shida.Kwahiyo ukubwa kwako ni nini? kuhudumia clients wa ndani tu bila kutanua wigo wa kibiashara?Kwamba CRDB lengo lao ni kuendelea kudominate tu ndani basi ndio dhima yao kibiashara?(kama ni hivyo ndio maana kweli wachanga ni superordinate katika hizi taasisi)
Kwa sisi tuliosoma na kubobea kwenye maswala ya Management tunajua expansion inategemea malengo ya kampuni. Leo Tanzania NMB bado haijamaliza kote unataka iende nje?
Hivi unajua ni asilimia ngapi ya Watanzania wanabank account?
Hivi unajua kuna watu bado wanatembea Km 100 kufuata huduma za Bank?
 
Lahaja ni lafudhi.

Haina mahusiano na tofauti ya lugha.

Unachojaribu kisema ni sawa na mtu aseme kuna kabila la KIBANTU, ila lahaja tofauti.

In shoet, Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Wauru, warombo ni makabila tofauti kabisa.
Shule ulisoma wapi wewe? Lahaja ni Dialect kwanini hamkusoma?
Ni kama English ya Scottish na England
 
Hawa wachaga ambao ni wahudumu wa bar huku kwetu Bariadi watoto wakisukuma wanaruka nao kila siku wakitoka na pesa zao maduarani ndio unasema wana IQ ya ngapi kiongozi?
Jamaa anasema samaki wanapatikana kwenye maji, wewe unasema jamaa ni mwongo kwa sababu wewe unajua samaki wanapatikana Sokoni?🤔
 
Urio ,ya rombo , marangu , kibosho , uru , meru na kwa wamasai wote hawaelewani wakiongea ila asili yao ni moja .
Mwisho wa siku utasema Wafrika wote asili yao moja, maana hao "Wachagga, Wasukuma" wana asili kutoka bonde la Congo.
Kuna wapare mcharo na kuna wachaga mcharo
Kuna wapare ngowo na kuna wachaga ngowo

Kuna wapare mshanga na kuna wachaga mshanga

Kuna wapare mndeme na kuna wachaga ndeme

Kuna wachaga ndosi na kuna wa meru ndosi

Kuna wakikuyu minja na kuna wachaga minja

Kuna wakikuyu mboya na kuna wachaga mboya

Kuna wataita minja na kuna wachanga wakikiyu na wakamba minja
Wakikuyu na jamii za "kichagga" ni moja, kwasababu ni mipaka ilichorwa tu. Kuchora mpaka hakutofautishi Mmasai TZ na Kenya au Mjaluo TZ na Kenya au Mdigo TZ na Kenya.

Ila Kenya hakuna Mchagga kwasababu mchagga siyo kabila.
 
Kwa sisi tuliosoma na kubobea kwenye maswala ya Management tunajua expansion inategemea malengo ya kampuni. Leo Tanzania NMB bado haijamaliza kote unataka iende nje?
Hivi unajua ni asilimia ngapi ya Watanzania wanabank account?
Hivi unajua kuna watu bado wanatembea Km 100 kufuata huduma za Bank?
Ndio ujue wachaga hamna kitu.Umetoka kujibu kwa hizi benki zimefika Burundi na DRC bado unaniuliza swali la mimi watanzania kutembea umbali gani kwenda kupata huduma za kibenki(Am I responsible here?wachaga unaosema ni masuperior kwenye hizo taasisi ndio walitakiwa wawe washapata ufumbuzi mpaka sasa.Kwanini wameshindwa?jibu ni jepesi,uwezo wao ni wakawaida wengine wamebebwa na jamaa zao waliotangulia basi)
 
Mwisho wa siku utasema Wafrika wote asili yao moja, maana hao "Wachagga, Wasukuma" wana asili kutoka bonde la Congo.

Wakikuyu na jamii za "kichagga" ni moja, kwasababu ni mipaka ilichorwa tu. Kuchora mpaka hakutofautishi Mmasai TZ na Kenya au Mjaluo TZ na Kenya au Mdigo TZ na Kenya.

Ila Kenya hakuna Mchagga kwasababu mchagga siyo kabila.
Kwa hiyo unataka kusema hakuna wachaga ila Tanzania kuna wakikuyu?
 
Wachaga wamevuka leval ya Kabila lile ni Taifa.
Wana kila characteristic ya Taifa.
Walivyogawanyika vizuri katika Falme kubwa na ndogo ndogo, wakagawanyika vizuri katika koo yaani kutokupata Uhuru 1959 iliturudisha nyuma sana.
Lakini siku itakuja tutakusanywa tena kama Mungu alivyoahidi katika

Ezekieli 36:24 N​

Jamaa anasema samaki wanapatikana kwenye maji, wewe unasema jamaa ni mwongo kwa sababu wewe unajua samaki wanapatikana Sokoni?🤔
Hamna mimi nilitaka nipate jibu hicho kipimo cha IQ majibu kayapata vipi?maana anachosema na uhalisia ni vitu viwili tofauti
 
Ezekieli 36:24​

“ ‘Kwa kuwa nitawaondoa ninyi toka mataifa, nitawakusanya kutoka nchi zote na kuwarejesha nchi yenu wenye
 
Hamna mimi nilitaka nipate jibu hicho kipimo cha IQ majibu kayapata vipi?maana anachosema na uhalisia ni vitu viwili tofauti
Ilifanyika tafiti nchi hii kabla ya kuanzishwa Quota system ya elimu ili na nyie akili ndogo msome.
Nyerere aliwapa hiyo kazi kampuni ya Kizungu Price water utafute usome
 
Ukikaa ukatafakari sana unagundua Wachaga siyo kabila la kawaida ni Taifa teule.
Mungu aliwakusanya watu kutoka sehemu mbalimbali toka Shungwaya Ethiopia, Congo, Cameroon, Uganda, na wengine toka kusini huko umbali hadi Zimbabwe akawakusanya Kilimanjaro.
Akawaweka chini ya ule Mlima mkuu akawagawa katika Koo zaidi ya 720, akawapa Wamangi wawaongoze na lahaja tofauti, akawatenganisha kwa mabonde ya mito akawabariki.
Hakuna tena Africa kabila lililofikia leval ya kuwa Taifa kama Wachaga
Nyerere mwenyewe hakuthubutu kuanzisha vijiji vya ujamaa kule
Nchi ile iliyobarikiwa Wajerumani walipokuja walifurahia system iliyokuwepo na kuiendeleza hiyo hiyo.
IQ za wachaga ni 120 wakati Watanzania wengine ni 60
Ukifika leo Uchagani unaona kabisa hawa kweli ni Taifa Tofauti.
Watu waliokuwa na Bendera yao, mipango yao na chini ya KDC

Tayari mbege imeanza kufanya kazi. Uko kata 🥤 🥛 ya ngapi vile
 
Ilifanyika tafiti nchi hii kabla ya kuanzishwa Quota system ya elimu ili na nyie akili ndogo msome.
Nyerere aliwapa hiyo kazi kampuni ya Kizungu Price water utafute usome
IQ ya 120 unaenda kuwa barmaid tena unabambiwa na madogo janja wa maduarani(wale wachaga niliwashangaa tena kuna muhitimu wa chuo pendwa cha Dodoma hapo ndio nguvu ziliisha kabisa).Kwahiyo hii ndio akili kubwa ya wachaga sio?
 
Ilifanyika tafiti nchi hii kabla ya kuanzishwa Quota system ya elimu ili na nyie akili ndogo msome.
Nyerere aliwapa hiyo kazi kampuni ya Kizungu Price water utafute usome
Punguza Konyagi kijana.

Kwanza katika jamii iliyotakiwa kila ikiamka asubuhi inamshukuru Nyerere ni "Wachagga"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom