Wachaga ni Taifa Teule

Wachaga ni Taifa Teule

Status
Not open for further replies.
Kila mmoja anazungumza kichaga kwa lahaja tofauti, na kila mmoja anaweza zungumza kivyake na mwenzake na wakaelewana , na hii ipo makabila karibu yote sio wachaga tu
Lahaja ni lafudhi.

Haina mahusiano na tofauti ya lugha.

Unachojaribu kisema ni sawa na mtu aseme kuna kabila la KIBANTU, ila lahaja tofauti.

In shoet, Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Wauru, warombo ni makabila tofauti kabisa.
 
Ulaya umekaa sehemu gani kiongozi?Sema huku wanachofanywa na wasukuma ungekijua huu uzi wako ungefuta kaka.Hivi unawajua madogo janja wanavyokuwa wakitoka maduarani?(wachafu na pesa kidogo tu za kutapanya kwa dada zenu)

Sema tu wachaga baadhi walisoma kwa sababu za kikoloni lakini baada ya uhuru kuanzia 1980s wachaga mnatia huruma(Karibu siku moja Bariadi uone dada zako wanafanya nini huku)
Ulaya nimeishi Nordic huko. Mpaka jana Mkoa wa Kilimanjaro ndiyo wenye secondary nyingi sasa unasemaje walisoma ukoloni?
Ila Mchaga hata asiyesoma kabisa huwezi mfananisha na Msukuma mwenye PhD linapokuja swala la kutafuta maendeleo binafsi
 
Kuna kimaro , marangu ,rombo ,machame ,uru kibosho , siha , old mosh , hao kimaro wote wanaongea lahaja tofauti na ni ndugu ,na kipindi cha kale walikua wanatembeleana kwenye matatizo na burudani mbalimbali.
Hayo ni majina ya Mamangi, na koo zao.

Maana mamangi walikuwa wanajimilikisha kila kitu, mpaka wanawake wa watu wanachukua.

Ndio maana kuna muingiliano wa KOO.
 
Ulaya nimeishi Nordic huko. Mpaka jana Mkoa wa Kilimanjaro ndiyo wenye secondary nyingi sasa unasemaje walisoma ukoloni?
Ila Mchaga hata asiyesoma kabisa huwezi mfananisha na Msukuma mwenye PhD linapokuja swala la kutafuta maendeleo binafsi
Wewe ni taahira tu
 
Lahaja ni lafudhi.

Haina mahusiano na tofauti ya lugha.

Unachojaribu kisema ni sawa na mtu aseme kuna kabila la KIBANTU, ila lahaja tofauti.

In shoet, Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Wauru, warombo ni makabila tofauti kabisa.
Unabisha vitu usivyo jua , mimi nina kizazi cha babu yangu wapo uru na wengine marangu , ila kwetu kibosho , unakuta ni ndugu watatu waliamua kila mmoja atoke nyumbani kuwahi kushika maeneo sehemu nyingine, na kutengeneza ukoo , kizazi kitakacho kuja kitazungumza lahaja ya pale ila asili ni sehemu nyingine.
 
Hata sio issue ,wamezipeleka wapi hizo NMB na CRDB zaidi unazijua wewe mtanzania nje ya mipaka ziko wapi tena?
Ziko DRC na Burundi ila siyo kila shirika kubwa linatakiwa kuvuka mipaka ndio liwe kubwa
 
Una hangover ya mataputapu ya huko uchagani, wangekuwa na akili wangekuwa maskini namna ile? Acha kudanganya watanzania wasifahamu uchagani, kwenu kungekuwa kuzuri mngekukimbia? Mngeishi km wakimbizi ndani ya nchi? Hapo penyewe hauko kwenu umevimbiwa sehemu flani hapa Tz. Neno chaga asili yake ni chaka, ni kakabila kadogo kalikuwa kanajificha kichakani chini ya mlima Kikimanjaro na mapangoni ili kisije kuteketezwa na wamasai na wapare. Wachaga ni maskini hawana rasilimali yyte hasa ardhi kwasababu ya unyonge waliokuwa nao. Wakati wa mjerumani wachaga hawakuwa ht na wilaya walikuw kijiji ndani ya wilaya ya Arusha iliyokuwa ndani ya jimbo la kaskazini iliyokuwa na wilaya mbili za Mbulu(Mbulu, Babati, Hanang, Karatu za leo) na Arusha((Ngorongoro, Monduli, Longido, Arusha, Arumeru, Simanjiro na Kiteto za leo). Wapare ndiyo kabila kubwa walikuwa na wilaya yao iliyokuwa inaitwa Pare(Mwanga na Same za leo) ilitokuwa ndani ya jimbo la kaskazini mashariki iliyokuwa na wilaya za Pare, Lushoto na Tanga. Upande wa kaskazini makabila makubwa na yenye rasilimali ni Wairaqw na Wamasai siyo wachaga ushahidi uko wazi ht leo. Wachaga walianza mwamko baada ya kupata elimu wakati wa kudai uhuru kulikuwa na vikundi nao walikuwa na kikundi chao, ni ukweli wao na wameru walikuwa wanataka kudai uhuru wa maeneo yao yaliyokuwa madogo mno, hebu fikiria Japhet Kirilo alikuwa anadai uhuru wa Meru Land na alienda Newyork, eneo la wameru ni ndogo mpk leo haijawa hata wilaya ila ni jimbo moja tu la uchaguzi Arumeru Mashariki. Nyerere alichofanya ni kuunganisha hayo makundi ili kudai uhuru wa nchi moja yaani Tanganyika. Baada ya uhuru mwaka 1963 Nyerere aliunda mkoa wa Kilimanjaro kwa kumega sehemu ya jimbo la kaskazini(uchagani) na sehemu ya jimbo la kaskazini mashariki(wilaya ya Pare) kuunda mkoa wa Kilimanjaro. Ndio maana ni mkoa mdogo zaidi nyuma ya Dar Es Salaam. Kuhusu vijiji vya ujamaa sina uhakika, ila acha upotoshaji hakuna angeweza kubishana na Nyerere hayo umejitungia tu. Suala la kabila teule ni ulevi wako tu, kwanza wachaga siyo kabila moja kuna vikabila vidogo vidogo humo ndani km wamachame, wakibosho, wamarangu, warombo, n.k kinachowafanya muwe kabila moja ni kwa kuwa mko ndani ya blanketi kubwa la Tanzania vinginevyo mlivyo wakabila mngebaguana sana. Ht hivyo kizuri chajiuza kibaya chajitembeza hakuna haja ya kila mara mtokwe na mishipa kujitangaza na kujisifu, mnagombea nini? Km ni uwezo wa kiakili sijui mmepima hizo IQ wapi ila ukweli ni kwamba uwezo hasa wa kiuongozi wa wachaga ni mdogo sana, hakuna aliyewahi nchi hii kuwa kiongozi mkubwa na maarufu, tabia ya wachaga ni uchokoraa yaani uwizi wa kijinga. Mji wa Moshi wenyewe umedumaa pale hakuna ujenzi mpya ingali miji midogo inajengeka kwa kasi mikoa mingine nchi hii. Hizo akili zenu za kunywea mbege tu. Na usisahau umaskini wa kutisha uchagani. Kaeni kimya itakuwa hatari sana kwenu nyie kuchukiwa na watanzania
Una hangover ya mataputapu ya huko uchagani
 
Hayo ni majina ya Mamangi, na koo zao.

Maana mamangi walikuwa wanajimilikisha kila kitu, mpaka wanawake wa watu wanachukua.

Ndio maana kuna muingiliano wa KOO.
Hiyo ni jamii moja ilisambaa kutokea mbokomu old moshi , na kutawanyika na kuchanganyika na koo za makabila mengine na kuunda kabila moja la wachaga mfano , ukoo wa urio asili yao ni wamasai
 
Ukikaa ukatafakari sana unagundua Wachaga siyo kabila la kawaida ni Taifa teule.
Mungu aliwakusanya watu kutoka sehemu mbalimbali toka Shungwaya Ethiopia, Congo, Cameroon, Uganda, na wengine toka kusini huko umbali hadi Zimbabwe akawakusanya Kilimanjaro.
Akawaweka chini ya ule Mlima mkuu akawagawa katika Koo zaidi ya 720, akawapa Wamangi wawaongoze na lahaja tofauti, akawatenganisha kwa mabonde ya mito akawabariki.
Hakuna tena Africa kabila lililofikia leval ya kuwa Taifa kama Wachaga
Nyerere mwenyewe hakuthubutu kuanzisha vijiji vya ujamaa kule
Nchi ile iliyobarikiwa Wajerumani walipokuja walifurahia system iliyokuwepo na kuiendeleza hiyo hiyo.
IQ za wachaga ni 120 wakati Watanzania wengine ni 60
Ukifika leo Uchagani unaona kabisa hawa kweli ni Taifa Tofauti.
Watu waliokuwa na Bendera yao, mipango yao na chini ya KDC
Ni kweli ila wengi wenu ni wezi na wahujumu uchumi kwa maana ya wakwepa kodi.
Ndiyo maana nchi ikipata Mzalendo, huwa mnatoa sauti za kila aina, mfano ni wakati wa Hayati JPM
 
Lahaja ni lafudhi.

Haina mahusiano na tofauti ya lugha.

Unachojaribu kisema ni sawa na mtu aseme kuna kabila la KIBANTU, ila lahaja tofauti.

In shoet, Wamachame, Wakibosho, Wamarangu, Wauru, warombo ni makabila tofauti kabisa.
Hata huelewi unachokiandika,

Sio lazima lugha tufanane asilimia mia moja,

Kwa wachaga kinachokuja ni kuwa kuna maneno fulani yanayotumika sehemu fulani kuliko nyingn

Kingine ni mkazo wakati wa kuzungumza wapo wanaongea softly, wengine kuvuta, wengine km haraka haraka,

Similar na kiswahili hasa hao mwambao wa pwani na bara

Kazi kwenu
 
Mrombo akiongea.

Mmachame akiongea.

Kila mmoja azungumze kivyao.

Wanaelewana???
 
Ulaya nimeishi Nordic huko. Mpaka jana Mkoa wa Kilimanjaro ndiyo wenye secondary nyingi sasa unasemaje walisoma ukoloni?
Ila Mchaga hata asiyesoma kabisa huwezi mfananisha na Msukuma mwenye PhD linapokuja swala la kutafuta maendeleo binafsi
Kuna vitu huwa mnachanganya wachaga.Unaposema wachaga kuongoza shule nyingi za sekondari unasahau hizo shule nyingi kajenga serikali sio wachaga(na pesa hiyo kuna ambayo inatoka kwa wasukuma wachimba madini na walima mpunga)

Wasukuma huwajui vizuri(mimi sio msukuma) ila jamaa wanapesa balaa wachaga bado sana.Sema tu mnachoweza ni kufungua vioski vingi kila sehemu mnayokwenda(a primitive way of making living)
 
Nioneshe ardhi ya mchagga hapo👇👇

Wewe ni taahira tu
Sasa wewe na Iq yako ya 60 utaniita Mchaga yaahira kweli?
Mchaga aliyezaliwa akakuta Umeme na Maji yakitiririka na barabara zina lami?
Akakuta Secondary kila kata.
Mchaga ambaye amezaliwa akala Machalari na Kiburu hakushinda na njaa toka azaliwe.
Wachaga ni Taifa Teule wamebarikiwa kwao na Ugenini
 
Hiyo ni jamii moja ilisambaa kutokea mbokomu old moshi , na kutawanyika na kuchanganyika na koo za makabila mengine na kuunda kabila moja la wachaga mfano , ukoo wa urio asili yao ni wamasai
Kwahiyo kina Urio wakiongea wanaweleana na Wamasai??
 
Ni kweli ila wengi wenu ni wezi na wahujumu uchumi kwa maana ya wakwepa kodi.
Ndiyo maana nchi ikipata Mzalendo, huwa mnatoa sauti za kila aina, mfano ni wakati wa Hayati JPM
Magufuli alikuwa ana wivu, hofu na chuki ya wazi juu ya Wachaga lakini as long as there is death, liberty will never end
 
Kuna vitu huwa mnachanganya wachaga.Unaposema wachaga kuongoza shule nyingi za sekondari unasahau hizo shule nyingi kajenga serikali sio wachaga(na pesa hiyo kuna ambayo inatoka kwa wasukuma wachimba madini na walima mpunga)

Wasukuma huwajui vizuri(mimi sio msukuma) ila jamaa wanapesa balaa wachaga bado sana.Sema tu mnachoweza ni kufungua vioski vingi kila sehemu mnayokwenda(a primitive way of making living)
Mzee ulizia kitu inaitwa KNCU toka 1950s wanajenga shule achana na kujenga kwa kodi kuliko anza juzi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom