Wachaga ni Taifa Teule

Wachaga ni Taifa Teule

Status
Not open for further replies.
Kabila lako wewe utadhubutu hata kulitaja hapa
Mimi ni muhaya huna kingine cha kusema.Kingine nimekwambia Malibu nilienda kukaa sio kazi na hakuna kazi za migambo kule.Nilipo fanya kazi ni Fochville naona unapenda ligi
 
Wachaga walishakuwa mbele ya muda sana kuzidi karibu makabila yote ya Afrika mashariki, kati na kusini. Kuanzia Machame, Marangu hadi Rombo ni maendeleo matupu. Ingawa kwa sasa wanapelekewa moto kibiashara na wakinga ila wachaga kimaendeleo ni habari nyingine. Hakuna kabila linalowasogelea.

Mkuu kule Marangu au Machame kuna maendeleo gani?
 
Ujasusi gani kiongozi?Barmaid ni kazi ya daraja la chini sana man.Hakuna ujasusi wala nini ni uwezo mdogo wa akili tu
Kama hujui vitu mzee kaa kimya. Kwa taarifa yako hata malaya wanaojiuza asilimia 60 ni majasusi achilia barmaid. Watu wakilewa ndio huongea ukweli so sehem muhim za kupata siri za watu ni bar au club. Au sehemu za starehe.
 
Ukikaa ukatafakari sana unagundua Wachaga siyo kabila la kawaida ni Taifa teule.
Mungu aliwakusanya watu kutoka sehemu mbalimbali toka Shungwaya Ethiopia, Congo, Cameroon, Uganda, na wengine toka kusini huko umbali hadi Zimbabwe akawakusanya Kilimanjaro.
Akawaweka chini ya ule Mlima mkuu akawagawa katika Koo zaidi ya 720, akawapa Wamangi wawaongoze na lahaja tofauti, akawatenganisha kwa mabonde ya mito akawabariki.
Hakuna tena Africa kabila lililofikia leval ya kuwa Taifa kama Wachaga
Nyerere mwenyewe hakuthubutu kuanzisha vijiji vya ujamaa kule
Nchi ile iliyobarikiwa Wajerumani walipokuja walifurahia system iliyokuwepo na kuiendeleza hiyo hiyo.
IQ za wachaga ni 120 wakati Watanzania wengine ni 60
Ukifika leo Uchagani unaona kabisa hawa kweli ni Taifa Tofauti.
Watu waliokuwa na Bendera yao, mipango yao na chini ya KDC
We endelea kujisifu ujinga, zanzibar na pwani wapo busy na nchi wanaifisadi, wanajenga wanawekeza we unaleta story za 47. Ndio maana magu aliwazingua, KAMDOMO.
 
Kama hujui vitu mzee kaa kimya. Kwa taarifa yako hata malaya wanaojiuza asilimia 60 ni majasusi achilia barmaid. Watu wakilewa ndio huongea ukweli so sehem muhim za kupata siri za watu ni bar au club. Au sehemu za starehe.
Wale wale kwamba jasusi ni kila mtu unayemuona njiani?akili zenu bhana eti wa hivi naye anakwambia hujui kitu.Malaya yupi ulinunua akakwambia ni jasusi?huyo jasusi kwako anatafuta nini kwako ambacho serikali inataka ambacho haiwezi kupata kwako bila kutumia malaya.Ujasusi hupo ila usipende kuongea hovyo hovyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom